Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waliloligema watalinywa aliyewaambia wapigane na urusi nani. Style ya urusi nimeipenda hataki kujisifia saaana kwenye kipigo anachotoa ila mhangwa ndie unayeenda kusimulia matendo yake makuu

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Kipigo tulivu cha mahadhi ya Zouk 😂😂😂 kama Adeba ya Monica Seka
 
Huyu ndo atakuwa Rais wa Austria 🇷🇺
 
Na kwa bahati Mbaya Ukraine ilivunja ahadi yake kwa kutaka kujiunga NATO.

Ni sawa na mdogo wako wa damu umlee kwako toka mdogo kisha akishakuwa mtu mzima arubuniwe na jirani yako mwingine mwenye wivu na chuki zake juu yako avunje nyumba yako mnayoishi kwa kuwa amehaidiwa atasaidiwa kujenga kwake.

Kwenye kugundua hio njama unaamua kumtia kolokoloni kisha watu waje juu kuwa unamuonea mdogo wako.
 
Mbona ziara ya Lavrov tayari imeshafeli? Hapo hata ziara ya USA bado haijaanza.
 
The buyer refused Ukrainian grain, which was on the Razoni vessel (first ship that left odessa) to the Lebanese port of Tripoli, the Ukrainian Embassy in Beirut reports. The refusal was justified by the delay of the cargo for a period of more than five months.

Now the ship's supplier is looking for a new buyer in Lebanon or any other country. Razoni is the first dry cargo ship with Ukrainian grain that left the port of Odessa as part of an agreement to unblock Ukrainian ports. There are 26,000 tons of corn on board.
 
Namimi nakumbusha tu, hizo $40b alizotenga USA kama bajeti ya muda mrefu ya kukata upepo wa Russia kwenye operation yake, ni sawa na mauzo ya gas na mafuta ya Urusi kwa nchi za UE pekee kwa mwezi.
Mimi siongei sana, acha nikuwekee ushahidi kutoka kwa mabwana zenu wa [emoji304]

●Russia earned what is very likely a record 93 billion euros in revenue from exports of oil, gas and coal in the first 100 days of the country's invasion of Ukraine, according to data analyzed by the Center for Research on Energy and Clean Air, a research organization based in Helsinki, Finland.13 Jun 2022

●Russia Nearly Doubled Its Income From Energy Sales To The EU During Wartime, Study Shows.

Haya sasa naamini fuvu limefunguka sasa baada ya kusoma hizo tafiti hapo juu, naomba nikurudishe kwenye hiyo $1b iliyo kuchanganya wewe pengine kwasababu ya kuishi kwenye bara masikini na nchi masikini.

Hiyo $1b kwa Urusi ni mauzo ya mafuta kwa siku kwa bara la ulaya pekee (EU). Hii siyo kwa mjibu wangu mimi bali kwa mjibu wa mabwana zenu wa [emoji304] "EU foreign affairs chief Josep Borrell has estimated that oil exports provide Moscow with $1 billion a day".30 May 2022

NAOMBA NIKURUDISHE KWENYE UWANJA WA OPERATION AU VITA(kwa mjibu wa mabwana wa[emoji304]).
Ni mwenda wazimu au mjinga pekee ndo anaweza fikri kuwa msaada wa $1b utaidhoofisha Urusi kijeshi na anaefikri hivo atakuwa haijui urusi kijeshi na namna inavyoendeshwa.

Kwanini?, Hako ka $1b unako kaona kama mkombozi wa Ukraine dhidi ya kipigo cha Urusi, ndo matumizi ya jeshi la Urusi kwa siku kwenye operation yake nchini Ukraine. Hii nayo siyo kwa mjibu wangu bali nikwamjibu wa data na tafiti zilizofanyika kama hii, "Russia Spending an Estimated $900 Million a Day on Ukraine War"

Nilichogundua nikuwa, watu wanakuja hapa na akili za kimasikini kuchambua bajeti za ulaya kwa fikra za matumizi ya umasikini wa nchi zetu, ndo maana mtu kama kp kipanya44 anaiona $1b kama matrillion ya pesa, wakati kwa matumizi ya ulaya ni pesa ya kawaida sana, tena hasa katika bajeti za kivita.

Naomba kuwasilisha wakuu bila kuathili Msimamo wangu wa "I STAND WITH A MAN WHO IS SAVING THE WORLD VVP [emoji635][emoji635][emoji635]
 
BAADA YA KUKUPITISHA HUKO NAOMBA NIKUULIZE SASA HAYA MASWALI WEWE Pro-NATO kp kipanya44

1. Ukiwa na ugomvi na jirani yako, yeye bajeti yake yakupigana nawewe kwa siku ni $1b halafu wewe unategemea msaada ili uweze kupigana nae, na msaada unao pewa ni $1b baada ya miezi miwili au zaidi, unadhani utamudhoofisha au kutikisa hali ya mgomvi wako anae tumia hiyo $1b kwa siku na si kwa miezi miwili kama wewe?

2. Kwa mjibuwa wako ni kuwa "mpaka sasa tumeshatumia $8.8b" kp kipanya44 (bila shaka hapa ulijikuta treasure wa Washington DC), sasa basi ukiwa kama treasure wa Pentagon Taja mafanikio matano tu ya hizo $8.8b baada ya kuzipeleka Ukraine kama msaada wa kijeshi.

3. Kwa akili zako ulizozikusanya kusanya kwenye taasisi za elimu ulizopitia unadhani $40b inayotolewa kwa mchongo na kidogo kidogo inaweza kuidhohofisha kijeshi nchi iliyopigana vita ya dunia na ikashinda?
Je unajua kama Russia na USA ndo wamepigana Operation/Vita nyingi kuliko nchi yeyote ile duniani na bado nguvu zao kijeshi zinazidi kupanda kadiri wanavyo pigana?

Kama kweli kichwa chako si kwajili ya kufugia nywele na kuhifadhia meno na ulimi, hayo maswali utayaelewa na utayajibu ipasavyo ila kama akili zipo kiunoni basi nitahesabu kama nimepoteza muda wa kuuliza na Utanisamehe kwa kukupa hoja zilizo nje ya uwezo wa akili yako.

"USHINDI WA RUSSIA NDO USALAMA WA DUNIA MPYA, VIVA [emoji635][emoji635][emoji635])
 
Hizi mbinu za encirclement watakuwa wamejifunza vizuri tokea kwa Jeshi la Russia. Russia Amry walikuwa hawaangaiki na Ukraine Nazis Army, zaidi ya kuwafanyia encirclement na kuwaacha wafe kwa njaa au wajisalimishe.
 
Dah! Sina la kuongezea🙌
 
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa report kamili ya idadi ya wapiganaji wa nje (Mercenaries) walioingia kupigana upande wa Ukraine.

Report inaonyesha kulingana na nchi idadi walioingia, waliouawa, waliokimbia na waliobaki.

Mfano: Kati ya wapiganaji 565 kutoka USA, 241 wameuawa, 243 wamekimbia na kubaki 81.

Hizo namba za kijani na nyekundu pembeni na chini ni mabadiliko kati ya tarehe 5 August na tarehe 7 August.

 
Ilikuwa dhaifu sana,na imefika apo kwa sababu ya misaada na Russia kuwa dhaifu, ni mpuuzi pekee ataedhani Ukraine inaweza mpiga Germany au ata Wingereza, au Ufaransa pekee, kama we pia umeamini hyo, we ni mpuuzi pia
 
Hizi ni Propaganda, haiwezi kuwajua ata angetaka kutoa
Wangekuwa ni waafrica yani ukiwaua unajua huyu sio Caucasian labda
 
USA anazd kupoteza ushawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…