Mkuu jibu lako lingekuwa sahihi kabisa kama "beberu" ni matusi tu. Hapa ungekuwa huru kuitumia jinsi unavyopenda. Mimi najua ufafanuzi wa BAKITA unaosema "taifa linalopanua madaraka yake kupitia ukoloni kwa kutumia nguvu za kijeshi au njia nyingine". Kwa hiyo ni neno lenya maana yake kama tunapenda au tusipopenda. Linalingana na tabia za Urusi, zamani pia za Uingereza. Unafaa pia kwa Marekani.Da maswali mengine bana.
Haya nakujibu,
Kwa kua Mimi naiunga mkono Urusi kwa op hii nasema mabeberu ni USA na allies wake.
Na kwa kua wewe huipendi Urusi basi kwakon wewe beberu ni Urusi.
Nafikiri nimejibu sahihi.
Kwa nini, Mkuu?
[emoji845][emoji635][emoji3575][emoji576][emoji1159] Russia has handed over military helicopters and planes to Mali[emoji845]
View attachment 2319383
The Russian Federation has transferred several Su-25 and L-39 attack aircraft to Mali, as well as several Mi-8 and Mi-24 helicopters.
Russia's military-political presence in North-West Africa creates the prerequisites for further weakening of the role of France in Africa
Hivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Usikute wamepigwa kitu kizito kichwani. Au wamesafiri, tusiwahukumu mapema. Tuweni na subra!Hawa jamaa kwa kujikausha hawajambo.., yahani kama hawapo vile,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Da! basi bana,nimeamua kukubaliana na wewe tu ili yaishe.Mkuu jibu lako lingekuwa sahihi kabisa kama "beberu" ni matusi tu. Hapa ungekuwa huru kuitumia jinsi unavyopenda. Mimi najua ufafanuzi wa BAKITA unaosema "taifa linalopanua madaraka yake kupitia ukoloni kwa kutumia nguvu za kijeshi au njia nyingine". Kwa hiyo ni neno lenya maana yake kama tunapenda au tusipopenda. Linalingana na tabia za Urusi, zamani pia za Uingereza. Unafaa pia kwa Marekani.
Urusi iljenga himaya kubwa za koloni katika karne 5 zilizopita. Kutegemeana na namna ya kuhesabu ilishnda au kushindana hata na Uingereza. Tofauti na Uingereza inashika sehemu ya maeneo iliyotwaa kama koloni hadi leo katika Asia na sehemu za Ulaya. Sasa hivi inajaribu kurudisha ukoloni juu ya Ukraine.
Sijui nani beberu kuliko Urusi?
Huo ndio unafiki wa Magharibi sasa. Huku anadai Ukraine iachwe huru ijiamulie ipendavyo, then anavunja msimamo uleule kwa kuzikataza nchi zingine zisijichagulie marafiki wanaowapenda wenyewe.Mkuu naomba nikuambie kitu ambacho nadhani hujakijia.
Kauli ya kwanza ndio kauli halisi.
Museven alipokutana na Sergei Lavrov alimpa kauli halisi kabisa kua Afrika itasimama na Urusi kwa kuwa Afrika na Urusi zimetoka mbali,na mabeberu hawana uhalali wa kitichagulia rafiki,ama Adui wa mabeberu sio Adui wa Afrika.
Hii ndio kauli ya kwanza ya museven.
Kauli ya pili ya Museven sio halisi kwa sababu ametishiwa,au waafrika tumetishiwa na Marekani.
Kwa hiyo kwa unyonge wetu waafrika imebidi museven aongee kwa kuogopa vitisho vya Marekani.
Ni akili ndogo TU.
Je Kuna mtu atakataa mafuta ya Bei rahisi ya Urusi kwa sababu ya Ukraine?,halafu aende akanunue mafuta ya nchi nyingine kwa Bei ghali?
Ikiwa matajiri India na china wanachamgamkia mafuta ya Bei Chee ya Urusi,sisi Afrika ni nani?au Uganda ni nani?ana Nini?
Kama ukielewa andiko hili nadhani utajua kuwa, Museven kafunika kombe mwanaharamu Marekani apite.
Marekani imewahi kuzitisha hata India na china juu ya mafuta ya Urusi,lkn kwa vile India na china ni matajiri wamempuuza.sasa anaonea vidagaa.
Hahah, nishaagiza mkuu na mhudumu amesema hakuna shida baada ya kumwambia kijana wa putin atakuja kulipia, maana Russia inaaminika sana Africa.PRO RUSSIA wanatoa facts mpaka unatabasamu wakati unasoma comrade agiza VODKA ntalipia.
Je, unaelewa maana ya NATO should never make further eastward expansion? Mbona wenye Kipala wanakuwaga na miakili sana mkuu?Mkuu unamaanisha ahadi gani katika mapatano gani? Sikumbuki mkataba ambako Ukraine ilitia sahihi kutojiunga na NATO. Ukiweza kuutaja nitashukuru sana!!
Ninakumbuka tu mapatano ya Helsinki ambako Urusi ilikubali kwamba kila nchi ya Ulaya iwe huru kushiriki au kutoshiriki katika ushirikiano na nchi nyingine.
TOFAUTI NI KUBWA SANA MKUU! USA anaongozwa na ulafi uliofichika kwenye vazi la demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Kwa bahati mbaya sana hajawahi kamwe kulivaa vazi hilo since aanze safari za ughaibuni za exploitation.Mkuu mantiki yako kuhusu faida za bei nafuu inaeleweka. Ila najiuliza je kuna sababu gani kuona tofauti kati ya Urusi na wabeberu wengine? Je nani beberu mkubwa kuliko Urusi?vazi
Mkuu, maneno huwa na maana. Ufafanuzi wa beberu hautegemei Afrika ya pekee. Koloni zilikuwepo kwenye mabara yote.
Nimepewa dokezo hapa kwamba ni TACTICAL EXPLOSION imetokea hapo--kwamba ni jambo la kawaida sana kutokea maeneo hayo ya Crimea particularly wanapokuwa kwenye masuala ya vita. Wanasema hakuna lolote geni.Russia Airbase Huko Crimea Yalipuka:
Russian Airbase In Crimea Erupts In Massive Explosions (Updated)
If Ukraine did strike the base, it would be further evidence that the war has arrived in the Russian-occupied stronghold of southern Crimea.www.thedrive.com