Subirini mkong'oto wenu soon.Tuliaminishwa humu kuwa Crimea ingeshambuliwa basi ingekuja Ile """ jugement Day""" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ina maana dikiteta Putin hajaona kilichofanyika Crimea [emoji1787][emoji1787]
Dhidi ya Nyonyaji Ufaransa ambapo ameweka mizizi yake.Mali inakombolewa kivipi mkuu?kisa urusi kupeleka vyuma vyake pale? Halafu inakombolewa dhidi ya nan? Ahsante
Kosa walilofanya Wakirene ni kutangaza mpango vita wa kuirudisha Kherison.Baada ya himars kushindwa kuikomboa khersan sasa majeshi ya urusi yamesha ingia sehemu za mji WA mykolaiv kama huu mji ukitekwa hii litakuwa pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi
Good analysis. Keep it UpKosa walilofanya Wakirene ni kutangaza mpango vita wa kuirudisha Kherison.
Wakidhani think tank wa Moscow watapanic na kupunguza baadhi ya askari kule Donbas.
Kumbuka Donbas inapigwa kwa three different offensive zote kwa wakati mmoja.
Yaani Adviika, Pelsk na Bakhmut bila kusahau Seversk, kumbuka hii ni Moja ya maeneo yaliyo fortified kwa miaka 8.
Kitendo Cha hayo maeneo tajwa kuanguka, kitapelekea defence line eastern Ukraine kuanguka, hivyo mapigano tutarajie kupigwa Dnipro au Dniproprotervisk kwa kirusi.
Hivyo strategist wa Wakirene wakajaribu kubet ili Urusi aingie king kwa kupeleka moto south kwenye mji kama Kherison na Jimbo la Kherison ambalo ni pro Russia ili kumpanikisha Mrusi.
Madhala yake Urusi akapeleka askari wenye Umri kuanzia miaka 40 na kuendelea [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Na askari wa Majimbo kuongeza nguvu, hapa askari kutoka Buryat, Ingushetia, Tuva na kule visiwa vya Sakhalin.
Wakirene wakasema Mongol wamepelekwa hivyo Lile jeshi la watu Milioni Moja kutoka Ukirene likapotea kinamna.
Kinachoshangaza hatukutarajia Offensive ya Nikolaev kipindi hiki toka Urusi, hivyo kitendo cha Nikolaev kuanza kupigwa kitazidi kuichanganya Ukirene.
Hapa itabidi Ukirene ibeti kuamua kurudi nyuma toka Donbas na kuongeza nguvu South au Iache Warusi wagain maeneo South, huku wakikomaa na Donbas.
Kumbuka kukombolewa kwa Donbas ni achievement kubwa kwa Warusi kwa sababu ndio ilikuwa primary goal yao, na itabusti morali na kupelekea maeneo mengine kuanguka.
Kumbuka hii ni moja ya miji ambayo ipo fortified kwa kiwango Cha juu.
Inawezekana mpaka mwezi wa Tisa, majeshi ya kirusi yakawa yanapigana kwenye outskirts za Jiji la Odessa.
N.B Mpaka Sasa Warusi wameshaingia outskirts ya Pelsk, Seversk, Adviika na Bakhmut ipo kwenye hali mbaya.
Mkuu, ni jambo la kawaida sana kama beberu moja akimwonea beberu mwingine. Hii ni tabia ya kimsingi kati ya mabeberu. Ukipenda kujielimisha, usome Lenin, sijui kama kijitabu chake kuhusu ubeberu kinapatikana kwa Kiswahili, kwa Kiingereza soma hapa.Huko kwengine watajijua wenyewe hapa AFRIKA kwanza
URUSI hajawahi na hatawahi kuja kua BEBERU zaidi yakua mkombozi wabara letu pendwa
Alitukomboa enzi zilee nayuatukomboa kwasasa ona MALI inavyokombolewa
Hao walio watawala ndio MABEBERU
(Kila anaelia hushika kichwache)
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mlimfadhili Rogo huko Mombasa akaleta majambazi kule kibiti,mmeisha Acha,au mnaendelea?
Hata waliomgea hayati "Thalium" walisingizia ni CoronaNdiyo yaleyale ya Covid-19 kusingiziwa chanzo cha kifo. Those days, hata mgonjwa angefariki kwa ajili, activists, sponsors, na fans wake walidai corona ndiye culprit.
Hii inaitwa TACTICAL INSINUATION. Ni jambo la kawaida sana katika medani za kivita kundi moja kusingizia kuhusika au kutohusika katika tukio fulani dhidi ya opponent wake, kwa lengo la kimkakati zaidi.
Kosa walilofanya Wakirene ni kutangaza mpango vita wa kuirudisha Kherison.
Wakidhani think tank wa Moscow watapanic na kupunguza baadhi ya askari kule Donbas.
Kumbuka Donbas inapigwa kwa three different offensive zote kwa wakati mmoja.
Yaani Adviika, Pelsk na Bakhmut bila kusahau Seversk, kumbuka hii ni Moja ya maeneo yaliyo fortified kwa miaka 8.
Kitendo Cha hayo maeneo tajwa kuanguka, kitapelekea defence line eastern Ukraine kuanguka, hivyo mapigano tutarajie kupigwa Dnipro au Dniproprotervisk kwa kirusi.
Hivyo strategist wa Wakirene wakajaribu kubet ili Urusi aingie king kwa kupeleka moto south kwenye mji kama Kherison na Jimbo la Kherison ambalo ni pro Russia ili kumpanikisha Mrusi.
Madhala yake Urusi akapeleka askari wenye Umri kuanzia miaka 40 na kuendelea [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Na askari wa Majimbo kuongeza nguvu, hapa askari kutoka Buryat, Ingushetia, Tuva na kule visiwa vya Sakhalin.
Wakirene wakasema Mongol wamepelekwa hivyo Lile jeshi la watu Milioni Moja kutoka Ukirene likapotea kinamna.
Kinachoshangaza hatukutarajia Offensive ya Nikolaev kipindi hiki toka Urusi, hivyo kitendo cha Nikolaev kuanza kupigwa kitazidi kuichanganya Ukirene.
Hapa itabidi Ukirene ibeti kuamua kurudi nyuma toka Donbas na kuongeza nguvu South au Iache Warusi wagain maeneo South, huku wakikomaa na Donbas.
Kumbuka kukombolewa kwa Donbas ni achievement kubwa kwa Warusi kwa sababu ndio ilikuwa primary goal yao, na itabusti morali na kupelekea maeneo mengine kuanguka.
Kumbuka hii ni moja ya miji ambayo ipo fortified kwa kiwango Cha juu.
Inawezekana mpaka mwezi wa Tisa, majeshi ya kirusi yakawa yanapigana kwenye outskirts za Jiji la Odessa.
N.B Mpaka Sasa Warusi wameshaingia outskirts ya Pelsk, Seversk, Adviika na Bakhmut ipo kwenye hali mbaya.
Duh mkuu tokA umeanza sentensi Ni hiyohiyo unairudiarudia. Shida niniThis is nature.., hakuna taifa lolote litaloshinda vita ya uonevu dhidi ya taifa lingine
Dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake wajiadae kufungasha virago na kuliacha taifa la Ukraine salama salimimi[emoji120][emoji120]
Watakuja hapa waseme kwamba eti territory hiyo ni just 1/5Tim Rainbow [emoji304] someni habari hii
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Washington Post reports natural resources in Russian-occupied Ukrainian territories is worth an estimated 12 trillion dollars[emoji91][emoji91][emoji91]
Habari hizi zimfikie kp kipanya44 popote pale alipo hata kama ni New York Marekani.Kuna watu wanatoa lugha zisizo sahihi, jamani tuvumiliane tu.
Hakuna sababu ya kutoa matusi, twende na kila anacho amini mtu.
Hakuna ya kuita mtu mjinga, kilaza, shoga etc.
Hayo hayana msaada.
Tuangalie vita na twende na ukweli, kila mtu ajadili au aandike kutokana na chanzo chake.
Pia kupaste paste mambi si sawa mnachosha wengine
Unakuta mtu ameokota habari anaiposta mara 20
Hapo ni Crimea mkuu.ni Jana tumefanya mashambuliziBaada ya himars kushindwa kuikomboa khersan sasa majeshi ya urusi yamesha ingia sehemu za mji WA mykolaiv kama huu mji ukitekwa hii litakuwa pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi
Nope Russia wasijizingizie Kutumia mifumo oldskuli hadi S400 zipo Ukraine still hazileti utofauti kwenye uwanja wa vitaThe targets were a battery of S-300 surface-to-air missile systems operated by Russian forces.
Habari mbaya sana kwa Mrusi......
Harafu anatokea mkenya mmoja na njaa zake anakwambia Russia hajui anachokipata zaidi ya kupata hasara tu.commercial break...
"Ukraine is not a tenant": Russia controls its trillions of dollars of minerals - WP Ukraine's richest mineral deposits worth at least $12.4 trillion are now in the hands of Russia, writes The Washington Post. We are talking about 63% of all coal deposits, 11% of its oil, 20% of gas, 42% of metals and 33% of rare earth elements. Since February, the Russians have seized deposits of titanium, zirconium, lithium, strontium, uranium and gold. And that's not counting agricultural land. “Ukraine has found 117 of the 120 most widely used metals and minerals,” the American newspaper writes. “If the Kremlin succeeds in annexing the captured territory — and US officials believe it will try to do so in the coming months — then Kyiv will forever lose access to almost two-thirds of their fields." However, the fate of the Ukrainians is of little concern to the newspaper: it worries about Europe. It will now be harder for the continent to seek alternatives to imports from Russia and China. “Ukraine will not only lose most of its territory and resources, but will also be constantly vulnerable to a new onslaught of Russia,” WP quotes the opinion of Jacob Kierkegaard, a research fellow at the Peterson Institute for International Economics in Washington. “No private company in their right mind will invest in the rest part of Ukraine if it turns into a frozen conflict." Ahead of Ukraine is the worst, analysts emphasize - "turning into the Baltic States, unable to support its industrial economy."
Huyo jamaa sijui katoka wapi aisee.....yaani jinsi anavobishana kama mashindano vile.......yaani utafikiri yupo kwenye mashindano...uncivilized..Baadhi ya wenzetu humu wamekusahihisha kuwa ni 'judgement' na siyo 'jugement'....uwe msikivu na mwenye heshima kwenye mijadala....haitoshi tu kuropoka sijui ' Andunje' Mara 'jugement' Mara sijui nini'...Leta Mambo ya maana ili wenzio nao waelemike kwa hoja zako....Don't shout, Argue...
Siyo kwamba hawajui kusoma au ni vilaza. Hapana. Sababu ni kwamba akili zao haziamini vile mambo yalivyo kule field. Zile packages za Marekani na NATO, hawaoni matokeo yake.Mpaka sasa nimegundua kitu kwenye huu uzi..aisee pro nato wengi ni vilaza mbaga..sasa tunahangaika ku urge na watu kama hawa ambao hata kuandika kingereza vizuri hawajui jamani! Sasa kusoma articles mbali mbali za uwanja wa vita zilizoandikwa kibeberu wataweza kweli! Si ndo wanaishia kushabikia mlipuko wa crimea na huku ukraine inakana kwamba sio wao...aisee we are wasting our time urguing with these kind of people! I think this thread should be only for Jesus mulokozi and others to give us war updates.