Wacha wango ule mji wa Alepo umeharibiwa na Russia na mwenzie Asad.Angalia mji wa maliopol ulivyo haribiwa fatilia Russia ilivyo vamia Georgia utagundua kituUkraine inapaswa kumshukuru Putin kwa huruma alizonazo anaipeleka SMO bila kuleta maafa kwa raia. Jaribu kufananisha NATO walichofanya Syria/Afghanstan/Iraq/Yugoslavia/Libya then linganisha na Ukraine utaona jinsi Russia wanavyo ipeleka OP yao kisomi kuepusha mauaji ya Raia.
Ukraine yote itachukuliwa itakua Russian Federation
Kwani mashoga kwa nato ni tusi mkuu si ndio kitu wanapigania kienee sehemu zote. Hata mashirika mlioajiriwa si yanasapoti movement ya mashoga? Sasa iweje mtu kumuita pro nato shoga iwe tusiKuna watu wanatoa lugha zisizo sahihi, jamani tuvumiliane tu.
Hakuna sababu ya kutoa matusi, twende na kila anacho amini mtu.
Hakuna ya kuita mtu mjinga, kilaza, shoga etc.
Hayo hayana msaada.
Tuangalie vita na twende na ukweli, kila mtu ajadili au aandike kutokana na chanzo chake.
Pia kupaste paste mambi si sawa mnachosha wengine
Unakuta mtu ameokota habari anaiposta mara 20
Harafu anatokea mkenya mmoja na njaa zake anakwambia Russia hajui anachokipata zaidi ya kupata hasara tu.
Yoda , FUSO , HIMARS , MK254 , kp kipanya44 , na UPOPO
Piteni hapa muone mafanikio yaliyoletwa na HIMARS za Bwana mkubwa wenu.
"Wanachukua mali zetu kwenye makaratasi sisi tunachukua mali zao kwenye ardhi"Medvedev
●A fact you have to know: Moyo wa uchumi wa Ukraine upo mashariki na kusini mwa Ukraine na hapo kwenye moyo ndo Mrusi kapakalia, hizo sehemu zingine zilizo baki haziwezi kutoa uhai wa uchumi wa Ukraine. Ila kwasababu wa Afrika tumeumbiwa mafuvu magumu ndo maana hatuelewi huu uhalisia hata tuambiwe vipi.
Another fact: Kijeshi, Ukraine haina uwezo wa kurudisha hata kijiji kimoja cha majimbo yake ya mashariki na kusini yaliyotwaliwa na Russia, Russia nae haiwezi kuruhusu hata kipande cha mita70 kutoka kwenye miji iliyo itwaa kurudi mikononi mwa Ukraine, unless kuwepo na mazungumzo yenye mashiko kwa pande zote mbili kitu ambacho kinaonekana kama "it is too late"
Air Defense shot down 9 UAVs, 2 Tochka-U missiles, 7 HIMARS missiles, 4 Smerch missiles.
Na hayaUkraine inapaswa kumshukuru Putin kwa huruma alizonazo anaipeleka SMO bila kuleta maafa kwa raia. Jaribu kufananisha NATO walichofanya Syria/Afghanstan/Iraq/Yugoslavia/Libya then linganisha na Ukraine utaona jinsi Russia wanavyo ipeleka OP yao kisomi kuepusha mauaji ya Raia.
Ukraine yote itachukuliwa itakua Russian Federation
Saivi Kwa kuwa hakuna sehemu salama ya kuweka silaha Warusi wanaweka silaha kwenye Vinu vya nyukliaUkraine inapaswa kumshukuru Putin kwa huruma alizonazo anaipeleka SMO bila kuleta maafa kwa raia. Jaribu kufananisha NATO walichofanya Syria/Afghanstan/Iraq/Yugoslavia/Libya then linganisha na Ukraine utaona jinsi Russia wanavyo ipeleka OP yao kisomi kuepusha mauaji ya Raia.
Ukraine yote itachukuliwa itakua Russian Federation
Himars ni mfumo wa makobola tu mkuu.Usi sahau zipo 12 tu lakin SI mnaoana majabu iyo fanya vipi wakiwa na mifumo kama hiyo 200Niliona hii habari japo western wameikausha kama vile hakuna kinachoendelea.UKRAINE mdomo mwingi kuliko vitendo
Lakini naona hamaongelei kufeli Kwa mifumo S400 na S500 matokeo yake madude yana penya hadi CrimeaNiliona hii habari japo western wameikausha kama vile hakuna kinachoendelea.UKRAINE mdomo mwingi kuliko vitendo
"" jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka sasa nimegundua kitu kwenye huu uzi..aisee pro nato wengi ni vilaza mbaga..sasa tunahangaika ku urge na watu kama hawa ambao hata kuandika kingereza vizuri hawajui jamani! Sasa kusoma articles mbali mbali za uwanja wa vita zilizoandikwa kibeberu wataweza kweli! Si ndo wanaishia kushabikia mlipuko wa crimea na huku ukraine inakana kwamba sio wao...aisee we are wasting our time urguing with these kind of people! I think this thread should be only for Jesus mulokozi and others to give us war updates.
""jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Subirini mkong'oto wenu soon.
Cheki ushahidi uwo.hata moscava Russia walikanusha cheki jam hiyo warusi wakirudi bara mapemaHivi wewe kp kipanya44 habari za kuwa Ukraine ndo imehusika kwenye mlipuko wa crimea jana unazitoa wapi? Au ndio Telegram channel zenu za Pro-Nato ndo zinavyo waambia hivyo.
Maana media za pro nato zote zinasema tofauti, Hata msaidizi wa Raisi wa Ukraine kasema Ukraine hausiki na shambulio hilo.
Tena viongozi wa ngazi za juu wa Ukraine including Raisi wenyewe Zelensky wali zikimbia ofisi zao na kwenda kwenye bunkers wakiofia Rusia watadhani ni wao wamefanya shambulizi na hivyo kulipiza kisasi.
Soma hizi habari za media za west utaelewa...
Ukraine war: Blasts rock Russian airbase in annexed Crimea
Black smoke is seen rising from the territory, which Russia annexed from Ukraine in 2014.www.bbc.com Blasts rock Russian military airbase in annexed Crimea
One killed and eight injured in Russian-annexed territory, with Ukraine saying partisans may have been responsible.www.aljazeera.com Ukraine hints blasts at Russian base in Crimea were an act of sabotage
The social networks were abuzz with speculation that it was an attack by Ukrainian-fired long-range missiles, but the Kremlin denies this.www.euronews.com Five injured as blasts rock Russian air base in annexed Crimea
Blasts rocked a Russian air base near seaside resorts in the annexed Crimean peninsula on Thursday, injuring five people according to local authorities in what Moscow attributed to detonations in ammunition stories.www.reuters.com
Mimi najitahidi kabla ya kuleta habari humu, naifanyia uchambuzi Source mbalimbali kwa undani.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Tulifanyiwa surprise, maeneo yetu yakachukuliwa, lengo letu sasa ni kurudisha maeneo yetu maana tayari tumepewa zana nzuri za kivita
Kwa mujibu wa taarifa Yako Ukraine saiv Haina ndege hata mmoja[emoji298]️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
[emoji3503]The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.
[emoji95]High-precision strikes of the Russian Aerospace Forces have destroyed 1 ammunition depot of the 54th Mechanised Brigade in Krasnogorovka, Donetsk People's Republic. The losses on the Ukrainian side amounted to up to 30 servicemen, over 6,000 artillery shells and mortar shells of various calibres, as well as 7 vehicles.
[emoji95]As a result of the Russian Aerospace Forces' strikes on the temporary deployment points of the 93rd Mechanized Brigade of AFU near Andreyevka, Kharkov Region, up to 100 nationalists and over 20 units of military equipment have been destroyed.
[emoji95]As a result of Russian Aerospace Forces' strikes, the 56th Motorized Infantry Brigade of AFU has lost its combat effectiveness near Peski, Donetsk People's Republic. Up to 70% of personnel has been eliminated. Most of the Ukrainians mobilised citizens to make up for the brigade's losses, refused to move to the line of contact and deserted.
[emoji95]Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.
[emoji3503]5 command posts have been hit, including those of the 46th Airmobile Brigade near Andreyevka, Kherson Region, the National Guard's Khortitsa regiment in Kushugum, Zaporozhye Region, Aidar nationalist formation in Novoselovka, Donetsk People's Republic and the 56th Motorized Infantry Brigade in Nikolaev city.
[emoji3503]7 ammunition and mossile and artillery weapon depots have been destroyed near Nikolaevka, Fedorovka, Vyemka in Donetsk People's Republic and Kushugum in Zaporozhye Region.
[emoji3503]1 Gepard anti-aircraft missile and gun system supplied to Kiev regime by Germany has been destroyed near Novopavlovka, Nikolaev Region. In addition, 1 launcher of Ukrainian S-300 anti-aircraft missile system has been destroyed near Kramatorsk, Donetsk People's Republic.
[emoji95]As part of the counter-battery warfare 2 Ukrainian platoons of Grad MLRS, as well as 2 artillery platoons of D-20 guns and 2 platoons of D-30 howitzers at firing positions near Kirovo, Seversk and Verkhnekamenskoye of Donetsk People's Republic have been suppressed.
[emoji95]Russian Aerospace Forces fighter aircraft have shot down 3 Ukrainian Air Force aircraft in aerial combat over the territory of Nikolaev Region: 1 Su-25 near Novokhristoforovka, 1 MiG-29 over Troitsko-Safonovo and 1 Su-27 near Novosel'e.
[emoji95]Russian air defence means have destroyed 9 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Chervonyi Yar, Andreyevka, Pervomaiskoye, Vernopol'e, Novoye in Kharkov Region, Ivanovka, Peski, Valer'yanovka in Donetsk People's Republic and on the western outskirts of Donetsk city.
[emoji3503]In addition, 2 Tochka-U ballistic missiles have been shot down in the air over Krynki, Kherson Region, and 7 shells of HIMARS multiple-launch rocket system near Novaya Kakhovka, Lyubimovka and Chervonyi Mayak, Kherson Region. Also, 4 shells of Smerch multiple-launch rocket system have been intercepted near Veselyi Kut, Nikolaev Region.
[emoji408]In total, 267 Ukrainian airplanes and 145 helicopters, 1,720 unmanned aerial vehicles, 365 anti-aircraft missile systems, 4,283 tanks and other armored combat vehicles, 795 multiple launch rocket systems, 3,286 field artillery and mortars, as well as 4,807 units of special military vehicles were destroyed during the operation.
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Air defence system gani? Wewe lini uliwahi ona superpower inashambuliwa kienyeji hivi
Lakini pia wanaweza piga afu Waka kanushu pia.lakin pia angali mwenyeweKwanza, usianze amisha goli. Tukio la jana Crimea siyo Ukraine. Tumekubaliana kwenye hili au bado unakaza shingo?
Udhibitisho nimekupa. Nadhini mada hiyo imeisha.
Tuingie hii uliyo ilete...
Unavyo ongelea utadhani mashambulizi makubwa au ata shambulizi zaidi ya moja wakati ni bomu moja tena lakurusha kwa mkono lililowekwa kwenye drone hizi za kuchukulia video na picha ambazo youtube blogger wa Bongo wanazo.
Tukio ambalo lilitokea kwenye kambi ya Russia ya Naval kwenye mji wa Sevastopol.
1. Hawaku attack meli yoyote bali ni eneo ndani ya kambi ambapo drone ili jidondosha na kulipua granade iliyokuwa imebeba.
2. Hiyo drone yenyewe, siyo military drone, bali ni civilian (local drone) ambayo wanachofanya ni kuweka granade (bomu zile za kurusha kwa mkono) na kudondosha sehemu usika.
3. Drone hizo ndogo haziwezi ruka umbali mrefu wala kukaa hewani muda mrefu. Kwahiyo ni kwamba ni mtu ambaye alikuwa maeneo ya karibu na eneo hilo.
Ukisoma pia kwenye media Ukraine pia walikana siyo wao. Kwa hiyo ni likely ni mtu tu mwenye mapenzi na Ukraine kama wewe akaamua kufanya hiyo tukio.
Punguza mihemko, ukipata news uko kwenye magroup yenu, Tulia kwanza, fanya utafiti. Usilete kiherehere humu.
Sasa huoni kama ni aibu Kwa super power kuomba msaada hasa Kwa Iran?na huo ni mziki wa Ukraine je U.S sindo atakuwa wakwaza kukimbilia nyuklia?US na UK anawashwa anamfatilia sana Russia [emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2320013
Ni kweli Kwa Uchumi wake? ila Russia imetia aibu na haijui ita malizaje hiyo vitaUkraine Inaumia kwenye hii vita aise,tuache utani.
Hiyo dini ya kujilipua IPO kwenu ndio maana Rogo kaanzisha Mombasa Republic,Al Shabbab ambao wapo huko kwenuRogo si pia ni mpiganaji wa dini yenu hiyo ya kujilipua mabomu.
🤣🤣🤣Tuambie ww unaejuaNi kweli Kwa Uchumi wake? ila Russia imetia aibu na haijui ita malizaje hiyo vita