Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Brigedia Generali Oleksiy wa Ukraine anasikitika na kulalamika kuwa Urusi imeongeza dozi ya mashambulizi ya anga kwenye tageti za kijeshi za Ukraine, inashambulia maradufu ya mashambulizi iliyoyafanya wiki zilizopita.

View attachment 2321176
Always majibu ya Russia Huwa cyo rafik hasa anapojeruhiwa[emoji635]
 
Mkuu sidhani kwamba kuna haki ya kubadilisha mipaka kwa njia za vita. Marekani ilipigania vita karne ya 19 kurudisha majimbo ya kusini yaliyoasi, lakini kwa macho ya leo nisingekubali tena. Urusi ilipotea sehemu nyingi ambazo iliwahi kukamata kama koloni zake (Azerbaijan, Lithuania, Turkmenistan, na mengine). Hapana haina haki kushambulia nchi hizi.
Nchi hizo zote hazikuachana na Urusi kwa sababu ya ushawishi wa nje. Ziliachana kwa sababu ya historia yao ya ndani.

Kuna ukweli kwamba wakati wa vita baridi pande zote mbili zilijitahidi kuangusha upande mwingine. Urusi ilifaulu kuangusha serikali nyingi Ulaya baada ya 1946, tokeo lake lilikuwa NATO.
Urusi ilitumia pesa nyingi kugharamia vyama na makundi ya upinzani katika Ulaya, MareKani ilitumia nafasi yake kurusha propaganda huko Urusi.
 
Mzaha wa magasho uta uona tuu
 
Urusi hawapendi sifa???

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Malalamiko yako yamejikita kwa pande zote au wale wanaosema "URUSI TAIFA TEULE" hawapo?


Kila mmoja anaongea analopenda kwahiyo sikila analongea mwengine utalipenda.

Humu wapo wanaoita wenzao mashoga kwa Kila comentário je umechukia hilo?

Uliyemuona anakosea ni yule anaeandika ""jugement day""?
Jaribu kubalance kabla ya kuangalia upande mmoja.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Walipue tu....kwani nani atapata madhara zaidi..si wao na watoto wao na Ardhi yao....tuwaache wakazi fuvu...
"Mbu akitua kwenye kende, ndo mtu hujua namna ya kusolve matatizo kwa akili bila mihemko" Hicho kinu cha nyuklia ni kama Kende za Ukraine, na hao Waruss hapo ni kama Mbu tu..sasa wachague wao nini cha kufanya
 
tutulie tusali kidogo
MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI TUNASHUKURU KWA KUTUAMSHA ASUBUHI YA LEO SALAMAMA KWA WOTO WENYE MATATIZO NA SHIDA MBALILI MUNGU WATIE NGUVU NA UWAINUE
MUNGU TUNAWAKABIDHI PRO-WEST/NATO MIKONON MWAKO BABA LAINISHA VICHWA VYAO VIPATE AKILI MANA VIMEJAA UPOPOMA MUANGALIE MK254 AMEJAA UKABILA NA UDINI KAMA NI MAPEPO MUNGU YATOE MANA NI HATARI KWA AFRICA YETU TUNAOMBA HAYA MACHACHE NA MENGI YALIYO MIOYONI MWETU TUKIJUA KWAKO YOTE YANAWEZEKANA
wote tuseme amen
 
@kp kipanya44 amka usali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…