Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Nipo busia Kenya. Kenya ndo mnaongoza kwa ushoga Hapa east Africa Kenya ushoga mpaka jeshi upo danganya wageni wa Hapa KenyaHuwa mumezagaa kuanzia Mombasa kupitia Tanga hadi Pemba, na hayo ndio maeneo ambayo yanafahamika sana kwa ushoga, maana kwamba sio mabomu ya kujilipua ila pia na ubwabwa
Wamezingirwa fbHivi mnakumbuka tuliambiwa wanajeshi 2000 wa urusi wamezungurukwa huko khersan vipi wamesha tekwa ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu Sasa hawaangalii makunyanzi [emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2321511
[emoji298]️[emoji1221][emoji631][emoji327] Hey Blinken, welcome in a multipolar world [emoji881][emoji298]️
Nipo busia Kenya. Kenya ndo mnaongoza kwa ushoga Hapa east Africa Kenya ushoga mpaka jeshi upo danganya wageni wa Hapa Kenya
Ulaya na america uko waliporuhusu ayo mambo ni watu pwani?Wana ongoza kwa ushoga ni Wapwani huko kwa dini yenu ukanda wote huo....
Pro russia wenzangu nina wasi wasi na uyu mkenya usikute ndio yule aliyepiga kura amevaa taulo[emoji16][emoji16]Wana ongoza kwa ushoga ni Wapwani huko kwa dini yenu ukanda wote huo....
Hivi unajua Ukraine ilianza kupewa misaada toka 2014? Hivi unajua hivyo vihela Ukraine anavyopewa, Urusi inaingiza kiasi kwa siku,na kwa mwezi?Wamezimwaga tena, atachomoka kweli ?? Ni TZS Trillion 3.6
The British defence secretary has said Russia is unlikely to succeed in occupying Ukraine as Western nations pledged 1.5bn euros ($1.55bn) more to to help boost the Ukrainian military in its fight against Russia.
Huku kwetu Kenya hakuna Pwani,iko huko Dar na Zanzibar tu.Naongea kuhusu sisi Waafrika, ya Ulaya hayanihusu, ila kwa sisi Waafrika maeneo yanayo ongoza kwa ushoga ni huko huko Pwani, ukitaja hicho kitu mikoani unaweza ukafa.
Ndio ukweli hamna yalichofanyaHakuna maajabu, yale ni matoyi ya watoto kuchezea.
Kwani busia kakamega nakuru zipo pwani? Nairobi nayo ipo pwani? tena Nairobi ndo si mchezo kwa ushogaWana ongoza kwa ushoga ni Wapwani huko kwa dini yenu ukanda wote huo....
Umewahi kulaani Israel inavyoshirikiana na marekani kuua wapalestina?
Tulikuwa kwenye mlo wa breakfast asubuhi, mkuuHivi Crimea imekuwaje imepigwa wakati kuna defence zakutosha?
Ngoja HIMARS aje ajielezee mwenyewe
Hakuna mtu aliyekukatatza kutaja mabaya Urusi, mbona unakuwa mkali US inapotajwa kwa maovu yake?
Humu sio mahakamani na Wala Russia hajitetei humu!Sisi wana JF ambao sio warusi Wala wamarekani Wala wachina ndio tumo humu tunajadili!Mnachofanya ni utoto wa mtuhimwa aliyefikishwa mahakamani kwa wizi wa kuku wa jirani yake halafu anajitetea mbona fulani huwa anaiba Nguruwe mara nyingi tu lakini hakamatwi.
Huo sio utetezi wa mtu mwenye kichwa kizuri.
Very nice,sasa leta list ya nchi za ulaya unazotetea zikizovamia nchi za Africa na kuzitawala na kuiba rasilimali na kuua watu,mwisho,leta list ya nchi Marekani ilizovamia toka ipate Uhuru mwaka 1776!
Katika historia ya Marekani ya miaka 300, imedumisha amani cumulatively kwa miaka 10 tu! Sounds familiar? In short, US na wote wanaomuunga mkono hawana uhalali na haki ya ku-police mataifa mengine.Mkuu sidhani kwamba kuna haki ya kubadilisha mipaka kwa njia za vita. Marekani ilipigania vita karne ya 19 kurudisha majimbo ya kusini yaliyoasi, lakini kwa macho ya leo nisingekubali tena. Urusi ilipotea sehemu nyingi ambazo iliwahi kukamata kama koloni zake (Azerbaijan, Lithuania, Turkmenistan, na mengine). Hapana haina haki kushambulia nchi hizi.
Nchi hizo zote hazikuachana na Urusi kwa sababu ya ushawishi wa nje. Ziliachana kwa sababu ya historia yao ya ndani.
Kuna ukweli kwamba wakati wa vita baridi pande zote mbili zilijitahidi kuangusha upande mwingine. Urusi ilifaulu kuangusha serikali nyingi Ulaya baada ya 1946, tokeo lake lilikuwa NATO.
Urusi ilitumia pesa nyingi kugharamia vyama na makundi ya upinzani katika Ulaya, MareKani ilitumia nafasi yake kurusha propaganda huko Urusi.