Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Safi kabisaView attachment 2322912
View attachment 2322913
[emoji845][emoji1263][emoji1666][emoji635][emoji630][emoji1130]Tommorow exercises under the command of Russia in Venezuela will begin,will last 2 weeks(August 13-27)
Joint exercises by Tehran, Moscow and Beijing in Barquisimto, located in the north-west of Venezuela
Maduro welcomed the joint exercises of [emoji1263][emoji635][emoji630][emoji1130][emoji845]
Idadi ya Waukraine waliokimbia bado haifikii idadi ya Wasyria waliopaswa kuondoka kwene nyumba zao . . . . Vita ya Putin katika Ukraine ilifukuza wengi. Alichangia pia Syria kwa kumsaidia dikteta Assad. Hasa ndegevita za Urusi zilichangia kuharibu Aleppo na miji mingi . . . . Vita ni balaaUkraine 10million wameondoka..hii ni hatari sana..Zelensky mwenyewe kumbe wazazi wake kawapeleka Israel tayari....
AP News: Russian shelling heavy in east; Ukraine strikes key bridge.
Russian shelling heavy in east; Ukraine strikes key bridge
Ukrainian officials say Russiaβs military shelled residential areas across Ukraine. They also say their own fighters have damaged the last working bridge over a river in occupied southern Ukraine, hurting Russia's ability to resupply its military.apnews.com
Very very true [emoji106]...This tells the whole story about the Zelensky regime.It is an evil regime,the evil of which can only be reserved to horror movies!
USA imebaki karatasi ya DOLA TU...it is over kwelikweliUS hakuna kitu mkuu, it is over,kwa sasa ni debe shinda tu.
Ila we dogo ni mweupe sana kichwani humo, una hoja nzuri shida yako moja tu, PROPAGANDA zimekuharibu sana ni hilo tu unahalalisha ushetani wa US ni sawa ila wengine si sawa.
Unasema Assad ni dikteta unashindwa tambua kwamba hiyo ndo imekua sababu ya West pindi wanapotaka kuvamia taifa lolote kwa kigezo cha udikteta?? Pale maslahi yao yanaposhindikana??
Unatambua kwamba Walitaka kupitisha bomba la gas pale Syria lakin Assad akawakatalia ndo wakamuita dikteta na kutaka kumtoa?? Unatambua hivo vikundi vya waasi mfadhili wao ni Marekani??
Unakumbuka sakata la kule Libya mauaji ya Gadaffi? walisema ni dikteta na wewe kweli unaamini Gadaffi alikua ni dikteta?? wake up kijana.
Tuje na sakata la kule Venezuela??? Kijana uwe una fanya some research kama unataka kuwa keyboard warrior sawa.
[emoji1371]The Western propaganda is successful in turning people into zombies. You've been zombified.
Tuachane na hizo lugha za matusi.
Kwa upande wako wewe niambie kulikua kuna uhalali gani wa marekani kuivamia syria??
Mkataba wa Minsk ulikuwa wa nini?
CCM inakujaje hapa jamani tena?Very very true [emoji106]...
CCM NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Wewe endelea kupiga kelele,Sisi tunaendelea kusonga mbele π·πΊπ·πΊπ·πΊπͺDikteta Bashir Al-Asad alikuwa anawapulizia kamikali za sumu raia wake kama anaua mende.
Na vita ya US na shost zake kule IRAQ ilifukuza wangapi !!!??Idadi ya Waukraine waliokimbia bado haifikii idadi ya Wasyria waliopaswa kuondoka kwene nyumba zao . . . . Vita ya Putin katika Ukraine ilifukuza wengi. Alichangia pia Syria kwa kumsaidia dikteta Assad. Hasa ndegevita za Urusi zilichangia kuharibu Aleppo na miji mingi . . . . Vita ni balaa
Achana propaganda za kijinga we kibarakaDikteta Bashir Al-Asad alikuwa anawapulizia kamikali za sumu raia wake kama anaua mende.
C raia wake wacheni awaueDikteta Bashir Al-Asad alikuwa anawapulizia kamikali za sumu raia wake kama anaua mende.
Na ni chizi asiyefirikiria hivyo pia.Ni chizi pekee ndo anaweza kuhisi Russia ni mbabe wa US, Chizi sana
Russia si mbabe kwa US Ni mbabe was NATO yoote.Ni chizi pekee ndo anaweza kuhisi Russia ni mbabe wa US, Chizi sana