Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wahurumieni pro-Russia, msiwapeleke Kasi sana,wenyewe wameshajichokea maana super pawer waliyemtegemea amewavunja moyo
 
Buseresere,
Kasungamile,
Isunganghoro,
Nyarugusu,
Nyakanazi
Katoro,
Chato,
Rubondo,
Msalala,
Kizugwangoma,
Nyampulukano,
Karumo,
Buhongwa,
Kisesa,
Ibinzamata,
Kizumbi,
Ipuri,
Ipilili,
Igalula,
Sikonge.[emoji14][emoji1787][emoji123][emoji3581]
Mlole
Masanga
Kibirizi
Ujiji
Mwandiga
Kazegunga
Kasaka
Msimba
Simbo
Nkungwe
Kidawe
Nkundusi
Kazulamimba
Mwanga
Saigoni
Kahabwa
Gungu
Zulu
Masanga
Vamia
Katosho
Mwasenga
Katubuka
 
Haya boss tazama nahii ni DW wamereport angalia video zote zimekuwa uploaded lini basi tuambie hiki kipigo cha mbwa koko kimetokea eneo gani

We jamaa utaua,punguza Kasi kidogo,watu wana presha wakiona mtu waliyemdhania kuwa ni super pawer akichakazwa namna hii[emoji848]
 
Hili suala lilisha tolewa ufafanuzi muda mrefu Sana. Kumbuka hii ni operation sio total war. Jamaa Hana shida na raia. Anajitahidi Sana kupunguza casualties. Lazima aende taratibu
Ko we ndo umekuwa mtetezi wake, ila kiukweli ni kuwa ni wa kawaida, ata yeye kutokuteka anga inaonesha haamini au vyombo vyake vya anga haviaminiki
 
Wapiga vuvuzela wa Putin ni kama wamechanganyikiwa baada ya kuona super pawer anadharirishwa kwa kias hambacho hawakutegemea ,Wana kiwewe,kwa hiyo msiwachukulie seriously saana
 
Kwenye maonyesho ya Army 2022 juzi pale Russia ilionyesha hili robot la kijeshi lililovishwa kininja.
Kwenye Alibaba unajipatia robot hili lisilovalishwa. Hapo haihitajiki hata akili kuelewa nini kinaendelea
 
Hahahaha wamelinunua alibaba wakalivisha sweta kuwa ni bomu la hatari la robot
Hawa kwa porojo wako next level. Sasa ukiona hiyo Su-75 Checkmate waliyozindua mwaka jana this time wamesema prototype itafanya first flight mwaka 2024. Hapo washasogesa mbele, ila ikifika hiyo 2024 watasogeza tena na tena. Su-57 waliianza 2006 mpaka leo hawana hata ndege kumi ukiachana na prototypes
 
Hawa ni super power wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…