Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Watu hawakurupuki kwa mihemko mkuu we Unafkiri Russia anashindwa kumaliza ops hata kesho dunia ikatangaziwa hakuna tena taifa la Ukraine bali ni eneo hatari lenye mionzi ya nukeMchina panya fuko tu. Huu ugeni wa pili ni matokeo ya mikwara bubu zile alizopiga.
Kitendo cha kumruhusu Pelosi aingie na kutoka Taiwan kilikuwa cha kinyonge sana.
Principle moja muhimu ni kwamba hata kwa mtoto, usimtishie na jambo ambalo unajua huwezi kulitekeleza. Ukimtishia alafu ikatokea amefanya kile kile ulichomkataza bila kuona utekelezaji wa ulichomtishia nacho, anajua ilikuwa ni mikwara tu. Unakuwa umepoteza point muhimu sana hususani katika kumuwajibisha na kupoteza heshima.
Hiki ndicho alichokifanya mchina. Hivi karibuni Marekani atatangaza kutambua uhuru wa Taiwan na mchina hatafanya lolote.
Kashaanza kuleta poem zake ambazo hazina source mnaokote vihabari mnaleta huku source hamuweki[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2325532
Ajaribu aone aliwahi kusema Crimea ikiguswa atapoteza mtu sasa anapigwa kila siku Crimea hakuna super power hapoWatu hawakurupuki kwa mihemko mkuu we Unafkiri Russia anashindwa kumaliza ops hata kesho dunia ikatangaziwa hakuna tena taifa la Ukraine bali ni eneo hatari lenye mionzi ya nuke
We kunguru Unafkiri si watoto wenzio mnao tafuta habari you tube kwenye viblog vya watoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kashaanza kuleta poem zake ambazo hazina source mnaokote vihabari mnaleta huku source hamuweki
oh haaaaaa!!!Oh hoooo!!!
Hivi hao mashoga mnao watumikia wanawapaga nini? Au mnapewa mapedi ya kuzibia chembaAjaribu aone aliwahi kusema Crimea ikiguswa atapoteza mtu sasa anapigwa kila siku Crimea hakuna super power hapo
Ulishawahi kujiuliza LIBYA walipigana na mataifa mangapi tokea magharibi na walichukua muda ganiWe huon Russia ana Geographical advantage kubwa sana kulko, na bado jeshi lake liliaminiwa ni la pili kitu ambacho kwa sasa ni debatable,, af support anayopewa ni ndogo sana, yani ni kasehem kadogo sana kwenye silaha za Western, hizo siraha najua ata we hukuzijua kabla
Wewe ni mtu maalum kuliko yeyote duniani🤔🤔🤔Unataka video ingine boss sema zipo za kutosha uone kipigo cha mbwakoko supa pawa
Usa na mashost zake waitumia miaka 20 afghanistan walikuwa wanauwezo sawa na wataliban?Umeandika mambo mengi kwa point ndogo sana. Russia ni kubwa mara 28 zaidi ya Ukraine, Russia ilionekana ni ya pili kijeshi duniani wakati Ukraine hata top 20 haipo, Russia inaizidi Ukraine kiuchumi, inaizidi idadi ya silaha na wanajeshi na mambo mengi.
Sasa Russia tangu tarehe 24 February hadi leo inapigana na dogo Ukraine. Hapo ndio kuna superpower?
Hao hackers hata North Korea wapo, sio kitu cha ajabu hata Iran na Israel wanapokezana mashambulizi ya hacking. Russia mwanzoni tu walishindwa kuhack satellites za Elon Musk. Hakuna cyber war, ni enthusiasts wanaamua. Mbona walihack sites za Rosatom shirika la nyuklia la Urusi. Mbona walihack TASS shirika la habari la Urusi.
Misaada inayotolewa kila washirika wakijisikia, inayochelewa kufika, ambayo haitoshi. Hiyo siyo sababu ya msingi kwa jeshi linalodai lina silaha za kisasa na jeshi imara. Misaada iliyotolewa ni kama $10 billion, haifiki hata robo ya bajeti ya Russian military kwa mwaka. Russia wahangaishwa na hela ndogo hivyo miaka yote walikuwa wanajenga jeshi gani.
Russia ni nchi kubwa ila haina uwezo wa kusimama kwenye international arena kama inavyojiaminisha. Huwezi pigana na Ukraine ambayo ni jirani, unavuka tu mapori unamvamia ila unatumia miezi sita unahangaika kisha unajiona superpower. Huyu Russia akipata mission ya kuvuka bahari masafa marefu kupigana hata na Brazil hawezi
Kwani SMO ilikua na dead line da y !!!??Mtu yeyote anayejua uhalisia anajua Ukraine hatakiwi kushinda vita hii. Alitakiwa awe ameshindwa mapema kabisa ila hadi leo dalili za vita kuisha hamna
Hamna kitu mule...washakimaliza ...watu wa magharibi ni mafia balaa.Kibabu kina mikwara hiki[emoji1787]
Mtu yeyote anayejua uhalisia anajua Ukraine hatakiwi kushinda vita hii. Alitakiwa awe ameshindwa mapema kabisa ila hadi leo dalili za vita kuisha hamna
Hawa jamaa wanadai eti Ukraine ina misaada. Since day one Russia wametokea Belarus, huo sio msaada? Makombora mengi tu yalirushwa kutokea Belarus, treni zilipeleka silaha, airbases zinaruka na kutua ndege za Urusi. Msafara wa machumachuma ulipitia Belarus ili ufike Kyiv mapema, kile kikosi cha VDV makomandoo kilichoteketezwa pale Hostomel airport kilitokea Belarus.
Bado wana msaada wa waasi wa Donetsk na Luhansk. Na sasa wanachukua drones za Iran soon tutaziona. China kawaacha wenyewe hata kama kapewa vitisho, am convinced aliamua mwenyewe kutoshiriki yasiyomhusu.
Hata majirani waliotakiwa kumsaidia Russia ni hao hao anaoishi nao kwa mashaka. Mbona majirani wa Ukraine wametoa misaada
Ulishaanza kujitapa humu umetutuliza wakati tuna ushahidi wa matukio wa kutosha kipigo cha kibabu putin naleta zingine soon piga domo tenaWewe ni mtu maalum kuliko yeyote duniani[emoji848][emoji848][emoji848]
Alisema Crimea ikishambuliwa basi itakuja Ile siku hambayo wao waliita ""jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787].., mpaka Sasa hatujaona hiyo siku aliyoita ""jugement Day ""[emoji1787][emoji1787]Ajaribu aone aliwahi kusema Crimea ikiguswa atapoteza mtu sasa anapigwa kila siku Crimea hakuna super power hapo
Kipigo anachotoa US dhidi ya Russia kupitia wakala wake Ukraine kinatosha aisee [emoji848]Wanaume hao wamemfata biharusi huko huko,,,,tuliwaambia mtulie mkabisha haya na nyie rusheni ndege zenu Urusi mkione[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KabisaKipigo anachotoa US dhidi ya Russia kupitia wakala wake Ukraine kinatosha aisee [emoji848]