Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unajichosha Sana habari za you tube wote tunazijua ni za akina Lufufu
Russia anchnjwa vilivyo baada ya kuingia Ukraine kwa mbwembe zote
Tutaendelea kumtembezea kichapo Mpaka Aite maji mmaa [emoji12]
[emoji1258][emoji123]
 
Usije dhania humu eti wote ni watoto. Na video zako fake za Youtube. Video Original za vitani na Fake zina julikana. Hizi ulizo kazana nazo ni za Ma DJ wa Propaganda wa NATO. Ebu aoneshe akiwa Ground akifanya coverage ya Vita.
Jamaaa anawapiga sindano za moto[emoji12]
 
Tunataka tuwavutevute Ili vita izidi kuwa ndefu

Tunataka kumpigisha mtu danadana Mpaka achakae kabisa na hasirudie upumbavu
Vita haishindanishwi kwa mapicha na Video feki. Ila kwa real battle kwa ground. vunjo punguza porojo vita siyo story. Umesababisha wataalam wame kimbia. Weka facts na video za reliable sources. Mfano: Reuters. Hatutaki hizo za source zako za Youtube direct. Ni za kitoto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amefanya akimbie hata yule mtabe wetu T14 Armata Pro-NATO besti besti, namba moja duniani, shabiki asiyeigiza wala kulazimishwa. 🙂
 
Hizi video zikiletwa na pro-Russia wenzio ndo unaona ziko sahihi,sio?

Mtaukubali tu huu mziki wa huyu mnayemuita comedian zelensiky
 
Zenye realiable Source. Na Link. Plz.
Siyo kupakua kila kitu Youtube. Una tujazia Servers. Youtube kuna video hadi wanaume wana jifungua.
Mbona ujalalamika kuhusu wale pro-Russia wanaoleta magazeti mareefu kila iitwayo siku,bila kuweka chanzo chochote Cha habari??
pro-Russia wanatunga tu story na kuweka humu jukwaani wakidai eti ni taharifa kutoka field ,
Umewahi kuwakemea??

Huoni kwamba unaendeshwa na hisia kuliko uhalisia?
VUNJO anakuletea habari pia anakuwekea source, tatizo liko wapi
 
Hiyo ilikuwa base yao na kiongozi wao aliwatembelea baada ya kutuma picha mtandaoni ikawa kosa Ukraine wakalitambua eneo chuma kikarushwa hakujatoka hata mfupa.

Sio kweli aseee hizo ni propaganda huwezi kuua wanajeshi wengi kwa pamoja hivo labda ulipue kambi nzima kama vile JKT ruvu napo ipo separate ni ngumu.

Hao jamaa nawajua vzr wanatafuta viewers tu hata kuua wanajeshi 50 kwa pamoja bado ni ngumu sana.
 
Magazeti kwenye vita ndio reliable source. Plus Link zao. Uki rejea hilo gazeti online uta ona. Pia huonesha wame ongea na nani (chanzo chao taarifa). Ila siyo Youtube [emoji3574]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…