Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Kwanza sinaga hata muda wa kusoma niskishajua ni Copy na paste ya weakpedia. Show source kwa media za kueleweka, Sio kila post ya kiingerreza na maua maua ni genuine information.Umewahi kuandika kuhusu wale wanaoleta magazeti mareefu kila iitwayo siku wakielezea mafanikio ya uwanja wa vita,bila kuweka source yoyote?
Mkuu huna idea na jeshi?Kwa hiyo asikari wakiwa front line hawapati usingizi..,hawalali wao ni kupigana daily,sio??
Na kama wanapata mda wa kulala na kupumzika uwa wanapumzika wapi,[emoji848]
muekee kama hiiHuuu uzi unaharibu na hawa wanaleta malink ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
Ewaaaaa😂😁😁😁View attachment 2327522View attachment 2327524View attachment 2327530urusi imeendelea kutoa kichapo huko kharkiv
Professional kuleta articles za kubumba mbona morogoro mjini sasa hivi analeta picha kama unaumia pita kimya kimya FAMBA wewe.Huuu uzi unaharibu na hawa wanaleta malink ya YouTube ya channel zinazotafuta views picha za tangu mwezi May ndo zitatumika now. Tulete source za kuaminika sio tomato source. Kifupi YouTube in nothing more than kutafuta views. Let us be proffecial.
Sasa kujamba ndilo neno la kujisifilia mbele za wanaume mze?Dah nimecheka mpaka nimejamba ofisini..! kila mtu ana uhuru wa kuongea
Hii ndio video real. Source: Then Sun. Siyo ule uongo wako wa video za ma DJ wa Movie.Yule wanayemwita comedian anaweza kutembelea majeruhi hapo yupo Lviv Hospital je Putin anaweza kutoka Moscow kuja Crimea kuona majeruhi wa vita[emoji38][emoji38][emoji38]
Watalia na kusaga menoView attachment 2327522View attachment 2327524View attachment 2327530urusi imeendelea kutoa kichapo huko kharkiv
Wewe jamaa bana..achana na hizo video games na habari za kupika na propaganda..yaani kiwake Crimea..vyombo vya magharibi vikae tu kimya halafu wewe ndo uzipate...??Tayari huko Crimea dakika chache zilizopita more updates zinakuja cheki video mosh mweusi
Urusi katumia kila kitu, patia picha US wangetuma tomahawk missiles jeSilaha za western zimeshindwa huko Ukraine sasa ni muda wa West kujitafakari na silaha zao maana kwa Upande WA Urusi bado urusi inatumia Soviet made weapons
Naomba unielekeze mkuu namna ya kumuweka mtu kwenye ignore list....kuna watu humu wanaandika comments kama tuko vijiweno...hawajui humu watu wanaingia na kusoma kujifunza na kupata uelewa na kushare baadhi ya mambo...wao wanaandika vitu vya kishabiki sana...Nilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignored
maana naona kama utoto umekua mwingi.