Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kipigo cha leo kimeharibu ratiba za Zelensk mamia ya wanamgambo wa Ukraine wameuwawa baada ya kuchomwa na vitu vyenye ncha kali huko Kharkiv [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]
 
Lete habari inayoonesha idadi ya wanajeshi walio uwawa sio mnapiga makazi kuuwa raia wawili then mnakuja kupiga kelele huku
 
Europe news inaripoti kua Foreign Marcenaries 90 wameuwawa kwenye Base ya muda huko Kharkiv. [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2327694
Sasa mmepiga makazi mkauwa watu 7 na kujeruhi 20 ila Russia defence ministry wao wanasema wameuwa 90 mercenaries huoni kuna mkanganyiko.
 
Tazama hii Donetsk Region Russian ammunition imekwenda na maji kitu kizito kimetua tutaelewana baadae nani anapiga sehemu muhimu kwenye mshono.

 
Siku hizi habari za Ukraine front line kwenye vyombo vya habari vya magharibi unatafuta kwa tochi.

Wakati hapo nyuma tulikuwa tunaletewa na kulazimishwa kuzisoma zikiwa zimepambwa kwa kila aina ya mapambo.

Inashangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…