Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi nakuambia ikipigwa kura ya maoni duniani kati ya Putin na Biden,Putin atamgaragaza pakubwa mno Biden
 
Ukizoea udaku, mkichwa unajaa udaku, Kila kitu kinakuwa udaku. Mwambieni Sam Missago size yake ni udaku tu hizi mambo zingine atulize makalio. Aendelee kufatilia Wema kavaa nini, Mond kamla nani, Kiba kagombana na nani.... Period!

Wakati ambao "dashboard" ya mwenzenu mmoja hapa jamvini, Mzee wa matangazo ya vifo Jackal ikisoma 44k+ ya Sam Missago inasoma 86k+ 😂😂😂 almost two times ya Kiev Independent (ambayo of course nayo ni matango pori).

Nyie nao mlivo vimeo as long as inazungumza 'ill' kuhusu Russia hata kufikiria mara 2 hakuna mbio mbio kuipost 😂.

Mwisho wa siku mkiitwa nanhiu mnalalamika. Anyway kazaneni wadau, kikubwa posho kwa sana wawazingatie. Mnajituma mno so kidogo 🤗.
 
SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

Ngoja tuone kiporo chetu kama hakijachacha[emoji41][emoji41]
 
SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Je FSB inakuwa wapi kwa muda huo?
 
Kama unaongea haya ina maana hujui Range ya HIMARS au hujui Geographical location of Ukraine na CRIMEA
 
Hata Mimi nashangaa, mashambulizi ya hivi hata TISS wanaweza kuyazuia[emoji848]
Si rahisi kihivyo, kama TISS wanashindwa shauri kuhusu Tozo, usitegemee wakaweza kitu kama hicho.
Chuki iliyopo kati ya Tz na wananchi wake ikitokea Vita watu wanaweza muunga mkono adui
 
Tazama video live Rada ya Russia ikipigwa kombora.Kichapo bado ni heavy usiku na mchana hakuna kupumua.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…