mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Cheki ramani.iyo nyeusi ni eneo walilokuwa wanashikilia kwenye nchi ya SYRIA.ilikuwa ni zaidi ya nusu ya NCHI nzima.iyo ya 2 baada ya WARUSI kuingiaSouth Ossetia si ni kama jimbo tu. Na sikusema haikushinda ila ilikuwa na performance mbovu sio level za kupigana na NATO. Russia ligi zake ni kupigana na jirani mwenye population ya watu milioni 20 hivi na uchumi mbovu. Chechnya ambalo ni eneo la ndani lilipigwa, hiyo hata Tanzania tunaweza. Georgia ukubwa wake unazidiwa na Tabora, kwahiyo superpower wenu mlimpa vyeo kisa kaipiga nchi inayozidiwa na Tabora? Maajabu!
Russia level zake ndio hizo. Haina maajabu kwenye mataifa yenye nguvu
Unachotetea ni ushindi wa Russia dhidi ya Georgia. Unagombanisha tembo na panya kisha unashangilia ushindi wa tembo. Georgia ina uchumi mdogo sana, jeshi dogo, population ndogo na kila kitu ni mbali sana na Russia ila performance ya jeshi la Russia kwenye real wao nao ilikuwa ni kuwatoa jasho. Hapo hakuna superpower ni mbwembwe tu
Tsar bomba ni bomu la kipuuzi tu kwa leo hii. Bomu ambalo ni lazima ulibebe na ndege kubwa ndio ukalidondoshe kwenye ardhi ya adui. Hiyo bomber iliyolibeba ililazimika kubadilishwa bomb bay na baadhi ya vitu ili iwe kulibeba. Lilipewa parachute ya tani kadhaa ili lichelewe impact mpaka ndege itoke anga hilo isogee mbele. Hiyo ilikuwa ni risky mission ndio maana walikuwa wanaunda mawili ila moja hawakumalizia.Hakuna bomb kama Tsar bomba na ni rahis kutengeneza maana formular ni moja, kwenye atomic bomb kuna limit ambayo ukiongeza ujazo bomb haliwi na ukubwa zaidi, ila kwa hydrogen bomb ambayo ni nuclear za kisasa ni unaongeza ujazo tu na mlipuko unaongezeka, theoretically unaweza tengeneza hydrogen bomb moja linaloweza kulipua dunia nzima(though itabidi liwe kubwa kama nchi, which is hard, though possible) thats the denger of Hydrogen bomb, atomic bomb ni kama zile za Hiloshima na Nagasaki ambazo ni ndogo tu
Na kuna Cobalt bomb ambalo ni hatali zaidi kuliko yote
Ambalo ni Hydrogen bomb ila imefunikwa na cobalt, ambayo inaongeza emission baada ya mlipuko
Kww kifupi, Tsar bomba ni Hydrogen bomb lenye megatons nyingi kulko yote maana lilikuwa kubwa kuliko yote, about 28 or 30 tons
Ambalo kiuhalisia ni ngum ata kuliweka kwenye ICBM, Inabidi libebwe na bomber, ambayo ni easy kuitungua, Warusi walitengeneza mawili tu enzi hizo
Wazee wa video games mmeannza Tena kutia huruma baada ya kutamba sana humu Kwa hizi siku chache!Hitler aliiteka Poland yote plus maeneo ya Urusi ila hatima ya uvamiz ni aibu na fedheha tu
Hata Uturuki ilipigana na PKK na Peshmerga. Hata India ilipigana na makundi ya magaidi kutoka Pakistan tena ikawafuata ukouko kwao kwenye mission ngumu. Russia kutumia dumb bombs kupigana na ISIS sio jambo la ushujaa wa superpower. Waasi wanaotegemea kuiba silaha na kuziteka kwa jeshi la Syria ni hopeless kwa jeshi la nchi inayojielewa. Na Marekani sio mshirika wa Syria, sio lazima Marekani iitetee vile. Hao ISIS hawakuwa na uwezo wa kusogea Iran, Turkey au hata Pakistan.Alafu sijui unapata wapi jeuri ya kudharau WARUSI ikiwa Dunia ina elewa msaada wake kwenye mambo ya kijeshi.ISLAMIC STATE (IS) imesumbua ile mbaya,MAREKANI + NATO wamesumbuka zaidi ya miaka 2 lakini jamaa wakawa wanazidi kuteka maeneo ila baada ya WARUSI kuingia mzigoni ukawa mwisho wa utawala wao
Cheki ramani.iyo nyeusi ni eneo walilokuwa wanashikilia kwenye nchi ya SYRIA.ilikuwa ni zaidi ya nusu ya NCHI nzima.iyo ya 2 baada ya WARUSI kuingiaView attachment 2330931View attachment 2330933
Kumbe hawana uwezo wa kulinda daraja. Mmekubali sasa hizo 'changamoto' za madaraja. Air defence ziko wapi? HIMARS si mlisema zimepigwa. I bet hizo pontoon bridges zitapigwa na nitakujulisha hapa hapaUpande mwingine WARUSI wanaonekana kujenga boti za vivuko kwa ajili ya kusaidia endapo daraja likija kupata changamoto nyingine
View attachment 2330920View attachment 2330922
Kuna siku urusi alikiri mojakwamoja kwamba anapigwa na kuharibiwa vifaa vyake pia?Jamani, kwani kazi air za air defense systems ni zipi hasa? Tusipendelee kubeza beza vitu bila ya kujua vizuri vinavyo fanya kazi, Warusi wanasema milipuko kwenye maeneo/jimbo la Crimea yana sababishwa na hujuma na sio missiles, lakini nyinyi mnaendelea kuhoji kuhusu ufanisi wa Russian Air Defense Systems ambazo wengi wenu mnafikiri ufanisi wake ni highly questionable, kitu ambacho si kweli kabisa - kitu cha kwanza rada hazina uwezo wa kuona/tambua objects/bodies ambazo RCS zake ziko chini ya threshold/kiwango/ukubwa/size fulani ie radar software algorithms zinakosa enough information za kuziwezesha ku-command roketi launcher ifyatuwe type hipi ya roketi ili ku-intercept incoming missiles/drones/ndege - ndio maana special forces/commandos wakitumia: motor, specialises RPG, artillery shells hivyo vyote havionekani kwenye rada screen kutokana na size zake kuwa ni ndogo.
Mnao beza beza SAM za Urusi,je, mliwahi kujihoji ni kwa nini air defense za Merikani (Patriot, THAAD, Aegis)zilishindwa ku-intercept roketi 12 za Iran mpaka zikafanikiwa kushambulia kambi mbili za jeshi la Merikani na kuharibu vibaya infrastructure zikiwemo majengo,uwanja wa kuruka na pia wanajeshi wa Merikani kwenye makambi hayo walipata madhala licha ya kujichimbia kwenye mahandaki yaliyo jengwa kwa zege kali, lakini hilo halikuwasaidia kitu.
Sasa swali: ilikuwaje Taifa linalo jisifia kwamba wana uunda Integrated Air Defense Systems ambazo hakuna mfanowe popote Duniani, ilikuwaje tena zikashindwa miserably kudhibiti/intercept Roketi za akina Ayatolla Khali Khali Khomeni?? Si hilo tu, Air defense systems za Kimerikani ziliwahi kushindwa kwa mara nyingine tena huko Saudi Arabia ambako home/backyard made/DIY roketis za rebels wa Yemen zilishambulia a Petrochemical Complex na kusababishia Taifa la Saudi Arabia hasara kubwa, Mbona hayo hamuyasemi mko kimya kabisa!!
Air defence system gani za Ukraine zimefeli. Ndege za Urusi ziko wapi mbona hatuzioni angani.Ujerumani Hao ndo walioipa Ukraine Irish air defense system na bado zimefeli pia ujerumani imetuma artillery za kisasa kwa Ukraine lakini wapi. Leo hii ujerumani tuipiganishe hata na serbia ujerumani haitoboi kwa strategy weapons hawana yaani kama wantegea tomahawk za USA basi wamefeli tomahawk zilipukutishwa nyingi na Syria. Hizo submarine za Israel alizo nunua kwa ujerumani zilishwai kukutana na mtiti wa underwater drone za hamas mpaka Israel ikazippeleka Cyprus. Urusi Ana underwater misseli yenyewe uwezo wa kunguzauka dunia hata mwaka mzima kisha ika hit target
Wewe uliyenaakili umempinga kwa hoja gani.?Wewe kweli ujielewi kabisa kwa mifano yako iyo.yani una hata akili,unakurupuka kwenye kila jambo.ISRAEL inaingia zaidi ya mara 40 kwa TANZANIA,ina maana sisi ni bora kuliko jeshi la ISRAEL.
UK anaingia zaidi ya mara 8 kwa TANZANIA,ina maana jeshi la TANZANIA ni bora kuliko UK.
Kumbe hawana uwezo wa kulinda daraja. Mmekubali sasa hizo 'changamoto' za madaraja. Air defence ziko wapi? HIMARS si mlisema zimepigwa. I bet hizo pontoon bridges zitapigwa na nitakujulisha hapa hapa
Oddessa + MoldovaHii habari niliizungumziaga tangu majuzi kuna dogo akaniona naleta propaganda
Daraja la KHERSON likiwa kwenye hatua za mwisho kukamilika,ili kuanza kutumika tena
HIMARS zimepiga wee hilo daraja lkn bado liko ngangari. Ingetua iskander hapo tungekua tunaongea mengine muda sana.
Sasa kama hamna mshindi Kwa akili yako unafikili Russia yupo tayari kupotea maana Sheria ni mmoja tu ukitumia na wewe unatumiwa Kwa hoja iyo.afu kama Russia aliba U.S Tencholojia Nuklia unafikili wenye Nayo wamefika nayo wap.licha hayo matecnolojia mnayo ipamba nayo Russia Yana ipact Gani kwanye maendeleo ya Dunia zaidi ya kutishia watu Huku kwenye action Russia Inabwera tu huko UkraineHivi unajua vizuri destructive power za thermonuclear weapons walizo nazo Warusi, USA,Uchina na Korea Kaskazini, je,umewahi kusikia kitu kinajulikana kama Tza La Bomba kilipuliwa na Urusi mwaka 1961 takribani miaka 61 imekwisha pita na hakuna Taifa lolote limewahi kuunda thermonuclear bomb lenye nguvu za kufikia au kuzidi kiwango hicho that was 61 years ago,je,hivi sasa Urusi ina surprises zipi za silaha za nuclear ambazo ni even very scary - tusifanye utani, Warusi hawasemi mengi lakini watu wenye akili timamu Duniani wanajua Urusi ni moto wa kuotea mbali wakihamua kufanya kweli, najua watu watajaribu kunibeza beza lakini ukweli unababaki pale pale.
Labda niongezee kwa kusema kwamba nuclear scientists wana wakumbusha wana siasa mara kwa mara kwamba Nuclear war is not winnable na ukiwekea maanani formidable delivery systems owned by Russia and China - I am telling you USA won't dare trying Putin's patience - ukweli ndio huo take it or leave it up2U.
Labda nimalizie kwa kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba tafuta kwenye mtandao kuhusu Russian TZar La Bomba kuna kitu utajifunza - tafuta kwenye Google au Utube - hutajuta.
Ndyo maana nakuitaga mpiga buluji ni vita gani ambayo watu hawatashambuliwa yani Rusia amshambulie Ukrein Tu na wote wako vitani unaongea kishabiki kama mtoto WA la pili anachofanya Ukrein ni kumpagawisha RUSSIA Ila Hana ata wazo la kurudisha creimia na hatakaa kaa aweze kufanya ivyoo Jimbo la kreison analitaka sana Ila ndyoo ivyoo atabaki kujifariji izoo drones zingekuwa zinatoka nje ya mipaka ya Russia tungeongea mengine apa Ila sleepers wanafanya haya kitu ambacho hakuna madhara kwenye muendelezo WA hii vita na ardhi iliyochukuliwa haitarudiiUrusi haina uwezo wa kupigana na drones zinazonunuliwa Alibaba. Drones ambazo hazina teknolojia ngumu na mbaya zaidi zinashambulia makao makuu ya kikosi cha jeshi kinacholindwa na mifumo yao wanayodai mikali. Sio hivyo tu, zimeshambulia makao mara mbili. Bado drone kama hiyo ilishambulia air base
Drone ambayo inatoa sauti angani, inaonekana kwa macho hadi watu wanairekodi ikipaa speed ndogo kabisa. Hiyo tu inawashinda ila wako humu wanapiga kelele eti makombora ya HIMARS yamedondoshwa.
Unashindwa kulinda air base na military HQ utaweza vipi kulinda ammo depot uko maporini njiani