Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ingekuwa Iskander tungeenda kubeba vifusi
Sasa kama hamna mshindi Kwa akili yako unafikili Russia yupo tayari kupotea maana Sheria ni mmoja tu ukitumia na wewe unatumiwa Kwa hoja iyo.afu kama Russia aliba U.S Tencholojia Nuklia unafikili wenye Nayo wamefika nayo wap.licha hayo matecnolojia mnayo ipamba nayo Russia Yana ipact Gani kwanye maendeleo ya Dunia zaidi ya kutishia watu Huku kwenye action Russia Inabwera tu huko Ukraine
Alisema Lin Acha kulisha watu matango Pori uku alitoa Lin tamko la kuzivamia izi nchii au unabwabwaja tuRussia alisema Finland na Sweden zikijaribu kujiunga NATO anazivamia. Yuko wapi sasa?
Kaishia kujadili Waziri Mkuu wa Finland aliyekuwa anacheza mziki. Yani kutoka kutishia kuvamia nchi mpaka kulalamika PM wao kucheza mziki. Aibu gani hii
Huyo mbunge aliyesema ndio standards za kijeshi duniani. Kwahiyo mbunge wa Ulaya akisema kitu unafuata kisa mbunge. Hata Babu Tale ni mbunge bwana
Kwanza shika adabu yako na adabu ikushike. Sikufumbua mdomo wangu kukutakunaka kabla.Wewe ndo chizi kabisa sijui mama yako alikuzaa vipi.unaona nimeandika nini hapo.au ujui kusoma
Sijaona hoja ya kupinga alichokiandika kuandika kuingia mara ngapi sijui bila data ya kuaminika ndio hoja?Wewe ndo chizi kabisa sijui mama yako alikuzaa vipi.unaona nimeandika nini hapo.au ujui kusoma
Vip kama wanachama wenzie wame mtuma Ili wazisome?Wakat wewe unamashaka nayo TURKEY ambae nimwanachama wa NATO kaagiza hio s400
Wakat huko kwao kuna PATRIOTIC kuna IRON DOME nk nknk...
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip kama wanachama wenzie wame mtuma Ili wazisome?
Daraja la khersan Himars zimeshindwa kuliangusha chini ingekuwa urusi mbona Hilo daraja muda huu tungeenda kuokota chuma chakavu
Kwa afganistani hakuna wa kumcheka mwenzie hata Russia name alikmbia mbona.Ukiitoa USA hakuna inchi inayoweza kuipiga Ukraine katika muungano wa nato walichemka Afghanistan katika ground battle. Unadhani ujerumani kwa sasa inamsuri hata wa kuipiga serbia? Nato ni USA wengine hamna kitu
Ndo
Hata Uturuki ilipigana na PKK na Peshmerga. Hata India ilipigana na makundi ya magaidi kutoka Pakistan tena ikawafuata ukouko kwao kwenye mission ngumu. Russia kutumia dumb bombs kupigana na ISIS sio jambo la ushujaa wa superpower. Waasi wanaotegemea kuiba silaha na kuziteka kwa jeshi la Syria ni hopeless kwa jeshi la nchi inayojielewa. Na Marekani sio mshirika wa Syria, sio lazima Marekani iitetee vile. Hao ISIS hawakuwa na uwezo wa kusogea Iran, Turkey au hata Pakistan.
Mbona hata Ukraine imepigana upande wa serikali ya Libya dhidi ya Khalifa Haftar aliyekuwa na support ya Russia ila Turkey ikapata gains
Kwani nimekwambia nitakutisha?
Mbona huelewi kinachoandikwa na kila siku unaandika magazeti yasio na maana ili kujifurahisha.
Nimekwambia ushike adabu yako na adabu ikushike.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kwani nimekwambia nitakutisha?
Mbona huelewi kinachoandikwa na kila siku unaandika magazeti yasio na maana ili kujifurahisha.
Nimekwambia ushike adabu yako na adabu ikushike.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Sasa huyo mbunge nawachambuzi wengine wanaoiishi ulaya nawewe Nani aaminiwe maana hata blomberg wamesema yanayofanana na huyo mbungeRussia alisema Finland na Sweden zikijaribu kujiunga NATO anazivamia. Yuko wapi sasa?
Kaishia kujadili Waziri Mkuu wa Finland aliyekuwa anacheza mziki. Yani kutoka kutishia kuvamia nchi mpaka kulalamika PM wao kucheza mziki. Aibu gani hii
Huyo mbunge aliyesema kwani ndio standards za kijeshi duniani. Kwahiyo mbunge wa Ulaya akisema kitu unafuata kisa mbunge. Hata Babu Tale ni mbunge bwana
Unazisomaje wakat Mzigo unaouzwa nautumiwao nawenyewe nimiwili tofautiVip kama wanachama wenzie wame mtuma Ili wazisome?