Ameitaka imfikie na wala sina kawaida hiyo labda mtu anianze kwanza.Lugha yako Si ya kistaarabu. Jitahidi kustaarabika msongo wako wa maisha usilete humu.
Hao pro-NATO hawawezi kulikubali andiko hili murua....watakujibu muda siyo mrefu 'slava Ukraine', 'moto unaendelea kwa dikteta', -mziki wa Himmars' hatari'...They don't like to reason or rather they can't reason'....etc..Mig 29 na su 27 Ni Fourth mkuu.
Kumbuka katika 1990 gulf war third generation interceptor ( foxbat) ilidungua fourth general F 18..
Kuhusu ndege ya kirusi yenye air to air kill nyingi Ni mig 21 katika Vietnam dhidi ya f 4..
Nb.
Air to air kill za Eagle ( f15) Ni dhidi ya ndege dhaifu kabisa third generation za kisoviet.
Lakini pia Kuna loss kadhaa wa kadhaa za eagle ambazo Wamarekani hawajai kukubali( si lazima kukubali)
Nb.
Katika Vietnam US ilipoteza ndege 5000+ ikiwemo ile wiaiitayo stratofotress B 52.
Hii inamaanisha walikua dhaifu Sana?
Air to air confrontation ya US made aircraft dhidi ya adui ilitokea katika kipindi ambapo adui ana silaha dhaifu eg ndege..mfano katika air to air confrontation katika Iraq 2003 state of the art f15 block C na F 16 block C ilikutana na Iraq 's mig 29 block A ambazo pia zilikua chache..
Ni Kama Leo ambavyo Ukraine's su 27 zimeshindwa kabisa air to air war dhidi Russian Su 35..
Tofauti yake Ni moja su 27 ya Ukraine Ni less Superior dhidi ya state of the art Su 27 E ( su 35)
Lakini pia haijawahi kutokea Us ikakutana na adui mwenye nguvu katika air confrontation zaidi ya Vietnam.
Wengine wote mdebwedo.
SR-71 ndio nililenga kutype ila nikakosea keyboard, 1 na 2 ziko karibu na always huwa sipotezi muda kufanya uhariri. Ukija kusoma humu that means una akili, mtu akikosea typing unamkosoa au unaamua kuelewa context yake.Ntakujibu kitu kimoja kimoja - cha Kwanza USA ina ndege za upelezi type zaidi ya moja lakini zinazo julikana zaidi ni mbili nazo ni: U-2 (ambazo ziliwahi kutunguliwa huko Urusi na Cuba -.je, wewe hilo unalijua) nyingine ni SR-71 (hawana SR-72 labda kama bado hipo kwenye drawing board au virtual reality!) Urukaji wa SR-71 kukatiza anga la Urusi ulisitishwa ghafla miaka mingi iliyo pita baada ya Urusi kuunda a very fast and high altitude interceptor type MiG-31 yenye lengo la kuipa onyo USA hisiwe inatuma ndege zake za kipelelezi kukatisha anga la Urusi kiholela na kweli - siku moja Warusi wakaitegea ikiruka kutoka Pakistan na kuingia anga la Urusi, jeshi la anga la Urusi lika-scramble ndege mbilirge zake
Shujaa wenu yuko anapigwa na drones za AlibabaKama sio ushujaa marekani na washirika wake wangekuwa wa kwanza kuliangamiza ili kundi.ila walichemka mpaka mzee wa kazi akaingia mzigoni
Shujaa wenu yuko anapigwa na drones za Alibaba
Bado haijapewaHivi Ukraine haijapewa air defense system kutoka NATO ?
Mwamba umerudi na mapwenti kibao.Its only a matter of time...
1. Walisema vita ni uchumi na kwa uchumi wa Urusi asingeweza kupigana hata mwezi [emoji1787]
2. Walisema kwa vikwazo alivyowekewa ni suala la muda tu kabla Putin hajaondolewa madarakani kwa maandamano na raia wake [emoji1787]
3. Walisema Putin mgonjwa na amebakiza siku chache tu atakufwa [emoji1787]
4. Walisema sio tu donbass bali russia hawezi kuchukua hata inch moja zaidi ya territory ya ukraine na crimea watairudisha [emoji1787]
5. Walisema watagomea mafuta na gesi ya urusi wao pamoja na washirika wao. Kumkosesha Urusi pesa ya kupigana vita [emoji1787]
6. Walisema hawatolipia gesi ya Urusi kwa kutumia sarafu ya urusi [emoji1787]
6. Walisema... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
6 months and counting, alafu Putin anawajibu "wala hata hatufanya kitu chochote serious hapo Ukraine"
Mletee mykolaiv
[emoji2][emoji2][emoji2]Super power ambaye kashindwa kuteka mji mkuu
Ukrainians FLEEING Kiev as Gov't Tells Kiev Workers "Work from Home starting Monday"
WORLD HAL TURNER 21 AUGUST 2022
Videos have emerged showing utterly massive traffic jams leading OUT of Kiev, Ukraine Sunday. Residents are FLEEING by the tens-of-thousands.
In addition, the Ukrainian government told all government workers in the Kiev Region to work-from-home beginning Monday.
So what prompted this sudden evacuation?
RUMOR has it that when Turkish President Recypt Erdogan and UN Secretary General Gutierrez visited with Ukrainian President Volodymyr Zelensky this week, they delivered an "Ultimatum" from Russia:
1) Agree to all the terms set out before the start of the Special Military Operation, OR;
2) On August 24, Ukraine will suffer a massive air and missile barrage destroying all the bridges across the Dnieper River, "Key Decision-Making centers", several electric generating stations, and the loss of Nikolaev and Odessa.
While this is RUMOR, clearly something has "spooked" residents of Kiev and they aren't taking any chances; they're fleeing.
Duh! Kipigo anachokioata urusi katika vita hii hatokuja asahau [emoji848][emoji848][emoji12]
Atakuja T14 Armata kazi yake sasa ni kupinga kila kitu cha Urusi hata ukweli huu ata pinga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu sikilizeni magwiji wa vita wanavoizungumzia hii vita
Just to put the current conflict in Ukraine into perspective:
In 1991 Iraq, USA has fired 60,000 rounds for the entire gulf war.
Russia fires this in one day.
The NATO industrial base is not capable of such production numbers.
Europe is not capable of producing an arsenal capable to stand up to the Russian military.
Expert opinion:
According to ex-US marine corp officer Scott Ritter, the British would run out of ammunition in 2 weeks in a war against Russia. Scott Ritter said they would “not even last 2 weeks because they’d lose their entire army by then.”
According to Scott, NATO has been demilitarized. Even the United States,
According to Scott, has run out of rounds for their most important systems which are meant to break down the russian military — in event of conflict.
Scott says that the Russian military, according to leaked documents by Ukrainian ministry of defense itself — inflicted 250,000 casualties onto the Ukrainians. This is 3x the size of Britain’s entire standing army.
Scott estimates that before the war, no European military would stand in a conflict with the Ukrainian army. He explains that the Ukrainian military would decimate Poland, Germany, Romania, etc.
Having internal knowledge due to his US military background/connections, Scott is aware of the level of support, training and supplies to the Ukrainian military since 2014. Scott describes the pre-2022 Ukrainian military as best combat equipped in Europe with more battle experience than any other army in Europe.
Scott Ritter estimates 15,000 combined casualties for Russia and its allies, this is inline with our previous estimation.
Ukrainians are losing thousands of men without ever seeing a Russian soldier face to face. This is inline with the videos we saw from various Ukrainian units who refused to fight and called on the Ukrainian authorities to pull them out of battle. They said the exact same thing. The casualty ratio between Russia and Ukraine is simply jaw dropping. These are numbers we have not seen in modern history.
Russia is doing this with 200k men, a peace time economy. Russia has not mobilized. Russia has employed 20% of its capability.
One more thing to add: while looking at maps, we only see “small advance” arrows. Small advance arrows accomplish one thing, they demilitarize Ukraine and inflict heavy casualties on the Ukrainians without putting Russian lives at danger. Russia is not on a timed schedule here. They have no reason to rush. Anyone who studied history, especially WW2 battles — is aware that big arrow map moves cost big casualties. Thousands of men die. There’s simply no reason for this. In fact, the longer Russia drags this out, the more they demilitarize Europe and drain the United States military supplies and funds.
At the same time, the Russian military is now the most combat experienced military in the world. The longer this drags on, the more soldiers get combat experience due to rotations. The more pilots get to perfect their skills, navy, intelligence, etc.
No modern military has fought a war even remotely similar to the Ukrainian war. This is not a war where the enemy gets bombed to oblivion by aviation, cities get turned into rubble and soldier then move in like heroes with minimal resistance— this is ground warfare in its purest form; artillery battles, territorial conquest. This is where individual skills and strategy are crucial.
The world has not seen anything like this since WW2. Russia will demilitarize Ukraine. Russia will reach its goals. No magical weapon can change that. No one with military background doubts this.
Huu ndio uchambuzi wa kitaalamu tunaoutaka sio wale wa propaganda.Mig 29 na su 27 Ni Fourth mkuu.
Kumbuka katika 1990 gulf war third generation interceptor ( foxbat) ilidungua fourth general F 18..
Kuhusu ndege ya kirusi yenye air to air kill nyingi Ni mig 21 katika Vietnam dhidi ya f 4..
Nb.
Air to air kill za Eagle ( f15) Ni dhidi ya ndege dhaifu kabisa third generation za kisoviet.
Lakini pia Kuna loss kadhaa wa kadhaa za eagle ambazo Wamarekani hawajai kukubali( si lazima kukubali)
Nb.
Katika Vietnam US ilipoteza ndege 5000+ ikiwemo ile wiaiitayo stratofotress B 52.
Hii inamaanisha walikua dhaifu Sana?
Air to air confrontation ya US made aircraft dhidi ya adui ilitokea katika kipindi ambapo adui ana silaha dhaifu eg ndege..mfano katika air to air confrontation katika Iraq 2003 state of the art f15 block C na F 16 block C ilikutana na Iraq 's mig 29 block A ambazo pia zilikua chache..
Ni Kama Leo ambavyo Ukraine's su 27 zimeshindwa kabisa air to air war dhidi Russian Su 35..
Tofauti yake Ni moja su 27 ya Ukraine Ni less Superior dhidi ya state of the art Su 27 E ( su 35)
Lakini pia haijawahi kutokea Us ikakutana na adui mwenye nguvu katika air confrontation zaidi ya Vietnam.
Wengine wote mdebwedo.