Na bado mkuu. Ardhi yao inaendelea kwendaMsafara wa kwenda Kyiv uligeuka sizitaki mbichi hizi[emoji2][emoji2][emoji2]
Huu moto ni motoURUSI KACHAFUKWA ANAITAKA ODESSA NA MYKOLAYIV [emoji635][emoji635]
Hii Ni hatari Sana.URUSI KACHAFUKWA ANAITAKA ODESSA NA MYKOLAYIV [emoji635][emoji635]
Odessa lazima aichukue, ila ataichukua kwa njia ya land kwa sababu black Sea wameiwekea sea mines.URUSI KACHAFUKWA ANAITAKA ODESSA NA MYKOLAYIV [emoji635][emoji635]
Kwamba "Qsiby" 😎😎😎.... Bro bn ha ha!Jasmon,tsh,qsiby,mathauza,morogoro. Umelikimbia jukwaa tupo wengi tnawahitaj tunajfunza vingi kupitia ninyi yaleteni maarifayenu tupat kujifunza yaliojficha gizan
n.b darasa lazima liwe na vilaza pro nato bnafsi nmewaweka ktk kundi hli kwa saabu ya ubishi
na kutokutaka maarifa
Sign to accept defeat. ConcededUkrein yaanza kuwakamua fedha raia wake.
Just 200,000 hryvnias (about $5,000) per head!
Zelensky has legalised the departure of men from Ukraine, for money.
Travelling abroad for up to 7 days will be possible, however 7 days before the trip one will have to deposit 200 thousand hryvnias into an account in the Oshchadbank. If a man does not come back within 7 days, this amount will be withdrawn in favor of the state.
Human trafficking at the state level now gives the "slaves" the opportunity to ransom themselves and to avoid dying in trenches for US interests.
Also, millions of Ukrainian families will now have the opportunity to "ransom" their loved ones from Zelensky at a "market price", because now crossing the border costs from $1,500 to $8,000. u
Bila Oddessa Cremia sio salama. Moldova itasaidiwa ijikomboeHuu moto ni moto
Ndani ya wiki mbili Oddessa Myklaov mkononi. Oddessa na Myklaov zilishapigwa sana na kudhoofika.Mrusi anapiga makombora maghala garage kambi , mafuta madaraja kisha anaongiaOdessa lazima aichukue, ila ataichukua kwa njia ya land kwa sababu black Sea wameiwekea sea mines.
Ila kipindi cha winter ndio kitakuwa kipindi kibaya Sana.
Kama ilivyokuwa kwa Nazi Germany, ndio itakuwa hivyo hivyo kwa Nazi Ukraine.
URAAAHFour towns watu hawalaliiiiiiiii
shukrani mkuu,mda ni mwalmu utaamua kati ya uongo na ukweliKwamba "Qsiby" 😎😎😎.... Bro bn ha ha!
Huh binafs yangu nipo wala sijatoroka uzi labda kwa wengine. Kilichopo ni vile tu huwa sijadiliani na hao ambao text zao zimetamalaki kwa wingi hivi sasa hapa kwenye uzi huu of course hata mda huo pia sina.
Mfano kama hapo umejionea mtu kitu kidogo tu kama mamlaka ya malkia wa uingereza hayajui, utajadiliana nae nini wa namna hiyo kuhusu geopolitics? Ok kutokujua sio dhambi, but swali... Yuko tayari kujifunza?
Kitendo cha kumpiga chizi sio ushujaa bali unaonekana chizi pia hata kama ugonvi kauanzisha yeye kwasababu wote wanajua opponent wako hana akili timamu. Kwenda battle nae ni kujitoa utimamu vile vile.
The best someone can offers kwa asiejielewa ni ukimya kwa kukupuuza kwani huezi shindana na mjinga kufanya ujinga. NEVER ever, hapa tunaweza tumia hata century kubishana (yes kubishana coz sio majadiliano tena hayo) uhalali au uharam wa Russia kumchapa Ukraine as long as emotions zinahusika kufikiri na kufanya au kutoa maamuzi.
For that case watu tunaamua kua wasomaji tu au kuzungumza kidogo inapobidi.
Kwangu haipiti siku huwa nahudhuria hapa kusoma yaliyojiri kama yanayovyoletwa na wadau wetu wa nguvu to mention but few kama Sikirimimimasikini, green rajab Champagnee manning Nkuba25 Daemushin na wengineo.
That's why hujan-tag/mention ila text yako nimeiona kwenye msururu wa post nyinginezo.
Ila tupo pa1 bro!
political monger senior ,MALCOM LUMUMBA ongezea hapo[emoji1787]Jasmon,tsh,qsiby,mathauza,morogoro. Umelikimbia jukwaa tupo wengi tnawahitaj tunajfunza vingi kupitia ninyi yaleteni maarifayenu tupat kujifunza yaliojficha gizan
n.b darasa lazima liwe na vilaza pro nato bnafsi nmewaweka ktk kundi hli kwa saabu ya ubishi
na kutokutaka maarifa