Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.

warusi wa Dar watakwambia umeitengeneza hii.....
 
Ahaaa,nimekupata,ulikuwa na maana ya kuoana!
 
Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika

View attachment 2333097View attachment 2333098
Ni mwendo wa kichapo Cha mbwa Koko tu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
,[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama zinaripuliwa na bado tunaendelea kusonga mbele uwoni kuwa unalishwa matango pori.walisema majeshi ya URUSI yamekimbia KHERSON ila cha ajabu sasa ivi yapo MYKOLAYIV.

Jiongezeni URUSI sio ZIMBAMBWE
Sisi kazi yetu na kulipua ammunition depot na zile sehemu za kimkamkati,au sio[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Urusi kusonga mbele Wala isikupe tabu comred,,
Kuna bajeti ya miaka 5 tayari imetengwa kwa ajili ya hii vita

Uliitegemea urusi wangekimbia Kyiv?

Uliitegemea urusi wangekimbia snake island?

Uliitegemea urusi wangekimbia khakivu?

Uliitegemea urusi wangeondoa meli zao huko crimea??
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]

Super pawer wa mchongo anahenyeshwa tu

Dunia nzima IPO inamshangaa jinsi anavyopelekewa moto na kataifa kadogo [emoji2][emoji2]
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Putin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.

Huwezi kupambana na Mataifa ya Magharibi, US na Canada ukabakia salama wewe.... utakufwaaa vibaya weweeee !!
 
achana nao hao kaka, Putin hawezi kupigana vita hii zaidi ya miezi 6 mingine ijayo, nchi yake itakufa kiuchumi.... sasa hivi na CRIMEA wanaitaka.......ha ha ha ha KAYAKANYAGA MABICHIIII 😀 😀 watoto wa mjini wanasema ya LEO LEO.
 
Russia anasonga mbele ninyi mnapiga kifaru KIMOJA mnafanya sherehe
Kweli mkuu Hawa watu wakipiga kifaru kimoja, ammunition depot..,air base..,command post.., vituo vya rada ..,wanashabikia kweli kama hawana akili vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo hapo mkuu ndio umemaliza wala huna support evidence [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa wanaokoteza habari yoyote wanayoiona machoni Ili kupoza machungu ya kipigo aisee [emoji1787][emoji12]
 
Tu22,Tu95 zote lilikuwa zinakunya mabomu jana usiku almost all over the Ukraine was under air raid
Watu twasherehekea uhuru wetu, wewe waongelea mabomu...
Lini hizo ndege zimepita anga la ukraine?
 
Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika

View attachment 2333097View attachment 2333098
Hili ndo taifa lililoaminiwa kuwa air defense system Bora kabisa dunian [emoji2][emoji2][emoji2]

Maajabu haya [emoji848][emoji848]
 
Zelensky inaonekana anatapatapa coz anaongea Sana warusi wanazidi kuingia ndani zaidi.. say hizi nikolaev na mykolaiv zinakwenda na maji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…