Hizo Brahmos ziko kwenye matengenezo wa ushirika wa Russia na India..Muhindi lini akatengeneza silaha ndugu yangu?? muhindi zake ni biashara za kimagumashi.... π π π yaani sawa na mchina tu, Putin hawajawajua hawa watu wa Asia...
I'la huku mnakimbia kuelekea magharibi mwa Ukraine.Sisi kazi yetu na kulipua ammunition depot na zile sehemu za kimkamkati,au sio[emoji41][emoji41][emoji41]
kumsikiliza mvuta ganja ni ujinga...π hapana mkuu em kwanza msikilize kwanza Afande Sele kidogo uianze siku yako kwa burudan kiduchu. Jamaa nilikua namchukulia poa kumbe ni Simba asiye mwoga inapokuja issue ya kuzungumza ukweli.
Hiki kideo kina'deserve masikio ya millions if not billions of people.
Ha ha haPutin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.
Huwezi kupambana na Mataifa ya Magharibi, US na Canada ukabakia salama wewe.... utakufwaaa vibaya weweeee !!
kaka lini Muhindi na Mchina wakaaminika...hapa ndipo Putin anapobugi.Hizo Brahmos ziko kwenye matengenezo wa ushirika wa Russia na India..
Na Wala sio makombora ya MLRS Kama HIMARS.
Kama kuna pro Russian atakujibu nitag mkuuUrusi kusonga mbele Wala isikupe tabu comred,,
Kuna bajeti ya miaka 5 tayari imetengwa kwa ajili ya hii vita
Uliitegemea urusi wangekimbia Kyiv?
Uliitegemea urusi wangekimbia snake island?
Uliitegemea urusi wangekimbia khakivu?
Uliitegemea urusi wangeondoa meli zao huko crimea??
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]
Super pawer wa mchongo anahenyeshwa tu
Dunia nzima IPO inamshangaa jinsi anavyopelekewa moto na kataifa kadogo [emoji2][emoji2]
Mimi updates nyingi nazipatia kwenye channel za warusi za telegram naweza nikaleta hapa hizo frequency za ndege za Tu22 na 95 ..Mimi just niliwapasha tu kabari kiundani fatilia mwenyeweKwahiyo hapo mkuu ndio umemaliza wala huna support evidence [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah,Ili tuwavutevute zaidi,na matokeo yake vita izidi kuwa ndefu..,hili ndio lengo letu haswaa [emoji12][emoji12]I'la huku mnakimbia kuelekea magharibi mwa Ukraine.
Mkuu,ni kwamba, Sasa hivi kibao kimegeuka.., urusi kakimbiza ndege zote kwenye anga la Ukraine,hanusi hata pua ,Samahani wakuu hivi Hadi Sasa nani mbabe kwenye vita hii nilikuwa chimbo sielewi chochote Toka vita ianze naomba wajuzi mnieleze Hadi Sasa pamekaaje hapo Ukraine
So far Ukraine Ni mbabe mkuu,amekamata maeneo mengi ndani ya nchi ya Russia Hadi majuzi imebidi Russia aombe Msaada wa Kijeshi kutoka Iran maana Moscow ilikua imeshazungukwa na wanajeshi wa Ukraine tayari kwa kuichukua.Samahani wakuu hivi Hadi Sasa nani mbabe kwenye vita hii nilikuwa chimbo sielewi chochote Toka vita ianze naomba wajuzi mnieleze Hadi Sasa pamekaaje hapo Ukraine
Yaani Pro NATO sijui mna tatizo gani kwenye bongo zenu!Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.
Na vile wanazidi kumchosha, nafikiri atakuja kuwa nazo baada ya miaka 150 mbele [emoji1787][emoji1787]Mnaosema aircraft carriers ni ujinga ndio maana Russia hazijengi. Nawajulisha kuwa Russia mwaka huu alikuwa na concept models tatu za carriers kwenye maonyesho ya Army20222. Kabla ya hapo ana model nyingine aliwahi zitoa. Lengo lipo ila bajeti na teknolojia hamnaView attachment 2333194
Ni video game sio? Hii video game tunaomba ziendelea hata huko kwenye ammunition depot, Air base.., command post,nk,nk.[emoji2][emoji2][emoji2]Yaani Pro NATO sijui mna tatizo gani kwenye bongo zenu!
Ina maana wakati huyo Askari anapiga,akawa anarekodiwa,halafu kukawa na kamera nyingine angani kwenye drone ikawa inachukua video!
Mpaka mshtuke,watu watakuwa wamepiga views za kutosha na Hela wameingia!Use your head
Endeleeni kupigwa MB zenu!π€£Ni video game sio? Hii video game tunaomba ziendelea hata huko kwenye ammunition depot, Air base.., command post,nk,nk.[emoji2][emoji2][emoji2]
Kama tunaweza kumudu Hela ya wese MB kitu gani[emoji848]Endeleeni kupigwa MB zenu![emoji1787]
Na hili ndio taifa lililoaminiwa dunian kwa kuwa na mifumo ya ulinzi wa anga yenye ufanisi wa Hali ya juu[emoji2][emoji2]Putin wiki sasa na ushee anahangaika na vi- Drones kule CRIMEA inamtoa mshipa !! π π π
Vinapenya bila kuwa detected na mifumo yake ya kiulinzi na vinatwanga vibaya mno !!
kwa akili zako unafikiri jeuri ya Ukraine kusema anaitaka na CRIMEA inatoka wapi ?Na upande wa Ukraine ni ngapi?