Umeshahesabiwa??🤣🤣Putin wiki sasa na ushee anahangaika na vi- Drones kule CRIMEA inamtoa mshipa !! 😀 😀 😀
Vinapenya bila kuwa detected na mifumo yake ya kiulinzi na vinatwanga vibaya mno !!
Hiyo jeuri ya Ukraine in military terms inaitwa ' fools courage'kwa akili zako unafikiri jeuri ya Ukraine kusema anaitaka na CRIMEA inatoka wapi ?
Wanatumia fomeshen ya kufungwa twafungwa lkn chenga twawala[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama zinaripuliwa na bado tunaendelea kusonga mbele uwoni kuwa unalishwa matango pori.walisema majeshi ya URUSI yamekimbia KHERSON ila cha ajabu sasa ivi yapo MYKOLAYIV.
Jiongezeni URUSI sio ZIMBAMBWE
Mbaya zaidi mnapigwa kwenye utapeli,kama blogs za bongo!Kama tunaweza kumudu Hela ya wese MB kitu gani[emoji848]
Maneno ya kwenye kanga tu hayo!kwa akili zako unafikiri jeuri ya Ukraine kusema anaitaka na CRIMEA inatoka wapi ?
Mwambia babako amalize vita !!Maneno ya kwenye kanga tu hayo!
Au fool hardnessHiyo jeuri ya Ukraine in military terms inaitwa ' fools courage'
Maneno ya kwenye kanga sio? Huoni kipigo kinavyotembezwa huko crimea, mpaka super pawer wa mchongo akaona isiwe kesi,akaondoa meli vita zote[emoji2][emoji2]Maneno ya kwenye kanga tu hayo!
Kwa sababu vidrone sio silahaPutin wiki sasa na ushee anahangaika na vi- Drones kule CRIMEA inamtoa mshipa !! 😀 😀 😀
Vinapenya bila kuwa detected na mifumo yake ya kiulinzi na vinatwanga vibaya mno !!
Urusi kusonga mbele Wala isikupe tabu comred,,
Kuna bajeti ya miaka 5 tayari imetengwa kwa ajili ya hii vita
Uliitegemea urusi wangekimbia Kyiv?
Uliitegemea urusi wangekimbia snake island?
Uliitegemea urusi wangekimbia khakivu?
Uliitegemea urusi wangeondoa meli zao huko crimea??
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]
Super pawer wa mchongo anahenyeshwa tu
Dunia nzima IPO inamshangaa jinsi anavyopelekewa moto na kataifa kadogo [emoji2][emoji2]
Putin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.
Huwezi kupambana na Mataifa ya Magharibi, US na Canada ukabakia salama wewe.... utakufwaaa vibaya weweeee !!
Putin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.
Huwezi kupambana na Mataifa ya Magharibi, US na Canada ukabakia salama wewe.... utakufwaaa vibaya weweeee !!
mwambie babako amalize vita !!MANENO YANGEKUWA TANAJENGA,SISI WOTE HUMU TUNGEKUWA NA MAGHOROFA
Operesheni ya kuondoa utawala wa wanazi imegeuka malengo yake sio?. , Ngoja zelensiky aendelee kuwapigisha danadana tu hakuna namna [emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]URUSI AKITOKA KWENYE IYO MIKOA NJOO UNIKATE KICHWA.IZO ARDHI NDK ZISHAONDOKA NA ZELENSK ASIPOKUBALI MATAKWA YA MRUSI LAMANI ITAZIDI KUPANUKA.
alijitamba ana mitambo ya ulinzi wa anga ya kisovieti balaaa, mbona mchekea !! watu wanajibokolea.Kwa sababu vidrone sio silaha
Mnaosema aircraft carriers ni ujinga ndio maana Russia hazijengi. Nawajulisha kuwa Russia mwaka huu alikuwa na concept models tatu za carriers kwenye maonyesho ya Army20222. Kabla ya hapo ana model nyingine aliwahi zitoa. Lengo lipo ila bajeti na teknolojia hamnaView attachment 2333194
Well,I will not go to that level!I'm better than that!Mwambia babako amalize vita !!