Yaani vijidrone viwili vitatu kuangusha mabomu ndio imekuwa kipigo?Na Russia naye asemeje Sasa?Maana jinsi alivyoigeuza Ukraine kuwa magofu sio mchezo!Maneno ya kwenye kanga sio? Huoni kipigo kinavyotembezwa huko crimea, mpaka super pawer wa mchongo akaona isiwe kesi,akaondoa meli vita zote[emoji2][emoji2]
Wasubiri hiyo 2023!Warusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.
Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine
Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, “around a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,” the spokesman told AFP news agency.
nani kakwambia vita inaisha leo.... vita hiyo ni kama ukimwi ndugu - mrusi atalegea tu - killing softly.Wasubiri hiyo 2023!
Mmesharudisha maeneo yote mkuu mpaka mnaenda kuchukua Cremia,🤣🤣🤣hongereni mkuu. Nasikia askari wa Russia wamekufa njaa na risasi na mabomu wameishiwaachana nao hao kaka, Putin hawezi kupigana vita hii zaidi ya miezi 6 mingine ijayo, nchi yake itakufa kiuchumi.... sasa hivi na CRIMEA wanaitaka.......ha ha ha ha KAYAKANYAGA MABICHIIII 😀 😀 watoto wa mjini wanasema ya LEO LEO.
Urusi mnajua kajiandaa Kwa vita ya muda gani?Ogopa mtu Yuko vitani mwezi wa 6,lakini Bado anatuma silaha na troops kwenye nchi nyingine kuendelea na operation nyingine!nani kakwambia vita inaisha leo.... vita hiyo ni kama ukimwi ndugu - mrusi atalegea tu - killing softly.
Simple...mwambie babako amalize vita !! tatizo lipo wapi wakati yeye ni supa pawa !!Mmesharudisha maeneo yote mkuu mpaka mnaenda kuchukua Cremia,🤣🤣🤣hongereni mkuu. Nasikia askari wa Russia wamekufa njaa na risasi na mabomu wameishiwa
keep on dreaming !! yaani Mrusi huyu huyu ni wa kuomba msaani Irani?? Iran??? kweli ?Urusi mnajua kajiandaa Kwa vita ya muda gani?Ogopa mtu Yuko vitani mwezi wa 6,lakini Bado anatuma silaha na troops kwenye nchi nyingine kuendelea na operation nyingine!
Ni wapi aliomba Huo msaani?keep on dreaming !! yaani Mrusi huyu huyu ni wa kuomba msaani Irani?? Iran??? kweli ?
Waulize FUSO and pro- NATO ,ndiyo wameteka maeneo mpaka Cremia . Mwaka huu watu wataharisha moto.Samahani wakuu hivi Hadi Sasa nani mbabe kwenye vita hii nilikuwa chimbo sielewi chochote Toka vita ianze naomba wajuzi mnieleze Hadi Sasa pamekaaje hapo Ukraine
Kiingereza shida sana Kuna tofauti Kati ya support na msaadaPutin, in Tehran, gets strong support from Iran over Ukraine invasion
Vladimir Putin won staunch support from Iran for his country's military campaign in Ukraine, with Supreme Leader Ali Khamenei saying the West opposes an independent and strong Russia
Hivi umeelewa kweli kilichoandikwa?Hapo ni wapi ameomba Huo msaani/msaada?Putin ameahidiwa kuwa Iran itakuwa Royal!Putin, in Tehran, gets strong support from Iran over Ukraine invasion
Vladimir Putin won staunch support from Iran for his country's military campaign in Ukraine, with Supreme Leader Ali Khamenei saying the West opposes an independent and strong Russia
Unajitambua kweli watu wanaendelea kuchukua maeneo wewe unaleta babamba.Yaani Putin ni kama MANDONGA, mkwara kibao leo mwezi wa 6 kitu kimenasa dadadeq na badoo CRIMEA hawalali drones kama inzi kwenye pilau.
Tatizo ni kwamba mlitangaza "" judgement day "" iwapo Crimea ingeshambuliwaYaani vijidrone viwili vitatu kuangusha mabomu ndio imekuwa kipigo?Na Russia naye asemeje Sasa?Maana jinsi alivyoigeuza Ukraine kuwa magofu sio mchezo!
Pro NATO mnachekesha sana,mkipigwa ngumu 100,halafu ninyi mkarusha ngumi Moja basi hizo kelele ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo jeuri ya Ukraine in military terms inaitwa ' fools courage'
Hamjaona warnings zimeshaanza kutolewa na watu wa West kuwa Kyiv hali inaweza kubadilika!US wamewaambia Raia wao waondoke!Tatizo ni kwamba mlitangaza "" judgement day "" iwapo Crimea ingeshambuliwa
Sasa inadoshewa mabom kama mvua lakini hatuoni reaction yoyote,
Wenyewe wanasema kwamba ni sabotage [emoji2][emoji2][emoji2]
kwa akili zako unafikiri jeuri ya Ukraine kusema anaitaka na CRIMEA inatoka wapi ?
Maeneo yenyewe Sasa,utasikia wanatangaza Kijiji flani..,mara wameteka makazi..wakati wenzao wanalipua maghala ya silaha, wanalipua radar.., wanalipua air base..nk,nk,huyu akiteka Kijiji tu ni kelele nyingi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]Unajitambua kweli watu wanaendelea kuchukua maeneo wewe unaleta babamba.