Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?
Kwakweli huku tunabishana na vichwa maji[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] vitu vinaandikwa vingine we unajibu vingine uwe unasoma kabla ya kunyanyua vidole ku type ujinga
 
Ushahidi kuwa hao ni warusi uko wapi?Mtaliwa sana mb kutafuta video za michongo!
Ningeanza kupost Mimi na nikasema tazama wa Ukraine wakiwa hoi!
Hahahah ni wakongoman hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?
Mrusi alijiandaa karibu mwaka mzima na kutaba operation itachukua siku 30 tu kuimaliza Ukraine.Leo ni miezi sita wanajivunia kuua raia na askari kweli kweli .Zelensky na serikali yake inapeta tu.
 
Kp kipanya. Vunjo. Fuso na pro nato wengne naomba MTUME SALAMU KWA WATU WATATU
mana kazi mnaifanya vizuri
Mwisho wa mwezi huu mjomba 😂

Kwakweli huku tunabishana na vichwa maji[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] vitu vinaandikwa vingine we unajibu vingine uwe unasoma kabla ya kunyanyua vidole ku type ujinga
😂😂😂
 
Huyu Scott Ritter sio mtu Mzuri kabisa ,anawavua nguo kila siku Hawa NATO.
Anaongeza ukweli mchungu sana kwa NATO.
Hata Hawa NATO wa humu JF hakika hawampendi.
Angekua ni mwarabu au mwafrika wangesema ni walewale wa Pro Russia.
Lakini huyu ni beberu damudamu Tena ni beberu aliyefanyiwa vetting katika kazi yake ya Ushushushu.
Pro NATO wa JF wekeni silaha chini mshashindwa nyie.
Kama kaongea huyu jasusi mbobevu nyie ni nani hata mumbishie?
 
"Tayyip Erdogan key ally of Putin "
Ashauri Urusi kuirudisha Crimea 🤔
 
Pole sana...nakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…