Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
OK. Ila ninachojua akifa Putin na vita vinaisha.Hata iwe miaka 5,Cha msingi malengo yatimie!
What's your point anyway? Kwamba Ukraine hakutakiwa kusaidiwa? Au kwamba Urusi inawaogopa US na EU ndio maana imeshindwa kumaliza vita mapema? What's your point fella?NATO+EU usijitoe ufahamu mkuu😀🤓
Muone huyuMagaidi wapi shida wewe kila kitu unaweka udini mbele
Sio kweli ukumbuke Yale majimbo yalikuwa yanakaliwa na watu wente asili ya urusi.think
We utakua msambaaNikwambie kitu mkuu,habari za kusema msafara wa kwenda Kiev ulifikia 56Km habari hizo zinaletwa na western media, walijua wapi kwamba msafara ulikuwa unaelekea Kiev tu, kwa nini mnaamini sana media za wenzetu hawa-yaani mnasahau kwamba hivi sasa actually Urusi inapigana indirectly na mataifa zaidi ya 26 ikiwemo Merikani yenyewe - na yeye ndiye kinara anaye chochoea vita hii - yenye lengo la kutaka kuisambaratisha Urusi kwa kutumia ujinga wa Zelensky na jeshi lake - kitu ambacho Biden na wapambe wake hawatafanikiwa hasilani - na wakiendelea na ujinga wao wakutaka kutishia existence ya Taifa la Urusi basi Wamerikana wajitayarishe to kiss their Nation good bye - sijui niwakumbushe mara ngapi kwamba Russia is not a Banana Republic she's still a super power militarily - nyie as laymen endeleeni kuibeza beza lakini Wamerika wanajua fika uwezo mkubwa wa kijeshi wa Taifa la Urusi, ndio maana hawajiingizi kichwa kichwa kutaka kupigana ana kwa ana na Russia wana watumia mazezeta kama Zelensky kuihujumu Urusi, sijui kwa nini nyinyi hilo hamulioni, kasi kumbeza beza Putin eti jeshi lake si lolote si chochote wameshindwa kuuteka mji wa Kiev as if Putin aliwahi kusema lengo la special operation ni kuuteka jiji la Kiev among other things - uongo mtupu, Putin hakuwa na mpango wa kuuteka wala kukalia jiji la Kiev, alitumia mbinu kupeleka token ya wanajeshi na baadhi ya zana za kivita kama DECOY tu, lakini watu wanabisha tu bila ya kufanya utafiti wa kina, kisa? Media za magharibi zina eneza propaganda kwamba lengo kuu la Putin lilikuwa kuteka jiji la Kiev na kumkamata Zelensky - ulaghai mtupu!!
Labda nimalizie kwa kuwakumbusha kwamba past events ndio YARDSTICK ya kupima uwezo wa kimbinu za kushinda vita - hapa naona baadhi ya JF members wanambeza Putin na jeshi lake kwamba wameshindwa na jeshi la Ukraine yaani hawana habari kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilikuwa kubwa kuliko yote barani Ulaya na lilikuwa na zana nyingi za kivita, vile vile kieneo Ukraine ina eneo kubwa sana Barani Ulaya, kieneo inazidiwa na Urusi tu. Mnao sema jeshi la Urusi kwamba linalemewa na jeshi la Ukraine mbona hamsemi jinsi jeshi la Merikani (a super power) lilivyo shindwa na kudhalilishwa na wakulima wa mpunga na wavaa sandals (katambuga) huko VietNam, je, Wataliban jamaa wa marehemu Mulla Omari mwaka juzi walifanya kitu gani mpaka wakafanikiwa kuwatoa mkuku wanajeshi wa Merikani mjini Kabul wakasahau mpaka zana zao za kivita vyenye thamani kubwa, mfano: Ndege mpya tu, Helicopters, tanks na artillery - hilo hamlisemi kazi kuwakandia Warusi tu na Putin - kwani Urusi iliwahi
kulifanyia kosa gani bara la Afrika, actually kama hisingekuwa msaada wao WA silaha na mafunzo ya kijeshi kwa viongozi wa wapigania uhuru, nchi nyingi za Kiafrika zingekuwa bado chini ya Wakoloni wa mataifa ya magharibi, hilo wengi wenu either hamulijui au mnajifanya kulisahau!!
Ngoja tuone kama hata hii ya kutoka BBC watasema ni video game [emoji2]Tazama BBC hawa Russia anatembezewa kichapo huko south
Ni mkong'oto kwa kwenda mbele [emoji91][emoji91][emoji91]Tazama Secret warehouse imetunguliwa na Himars.Kipigo heavy
Kuleta hoja ni mpaka mtukane watu bila ya kutukana hutaeleweka?Upo nyuma sana wewe mwehu mkubwa. Angalia source hii Al Jazeera.
Russia-Ukraine war: August 25 updates [emoji3593]
[emoji837] Follow our LIVE coverage: EU warns Russia to be held accountable for ‘rocket terror’ https://t.co/9XaA9YBIlS
UN’s Bachelet calls on Putin to halt armed attacks on Ukraine
UN human rights chief Michelle Bachelet has called on Russian President Vladimir Putin to halt attacks on Ukraine and said the Zaporizhzhia nuclear plant must be demilitarised.
Yeye mwenyewe alianza kunitukanaKuleta hoja ni mpaka mtukane watu bila ya kutukana hutaeleweka?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mkuu nikielewa vema wwengi wanaoangalia vita hii wanahisi, Urusi haina silaha za kisasa za kutosha. Si mantiki kupoteza wanajeshi wengi bila kutumia silaha bora zinazopatikana. Unaonaje?Kumbe Urusi ni habari sana,kama amepeleka wanajeshi wachache kiasi hicho na bado anatumia zana za kipindi cha Soviet na bado anapeleke moto dhidi ya zana za kisasa za NATO siku akiamua atumie zana za kisasa-hao Ukraine & NATO si watajknyea.
Sasa hivi ni mwendo wa kupiga maeneo kama hayo maana wanajeshi wa maadui (Ukraine) wanajifichamo humo wanajifanya raia. Kumámæ zaoRussia imedungua garimoshi ilokuwa imebeba mzigo wa silaha ulokuwa ukipelekwa huko Donbass kwa makombora ya masafa marefu.
Raia 25 na wanajeshi wapatao 200 wa Ukraine wameawa.
Russia says it killed Ukrainian troops in rail attack in Chaplyne
Russia’s defence ministry says it had killed Ukrainian troops in a railway station attack in central Ukraine that Kyiv said left 25 people, including children, dead.
“As a result of a direct hit by an Iskander missile on a military train at the Chaplyne railway station … more than 200 servicemen of the reserve of Ukraine’s Armed Forces and 10 units of military equipment en route to the combat zone in Donbas were destroyed,” the ministry said in its daily briefing.
Moscow also said it had destroyed eight Ukrainian fighter planes in raids against airbases in Ukraine’s Poltava and Dnipropetrovsk regions. That would be one of the heaviest losses for Ukraine’s air force in recent weeks.
Source: Aljazeera.
Ukraine walidhani Russia wapo "busy" na kushambulia sherehe za mapinduzi kumbe wana mpango mingine ambayo hawaelezi.Sasa hivi ni mwendo wa kupiga maeneo kama hayo maana wanajeshi wa maadui (Ukraine) wanajifichamo humo wanajifanya raia. Kumámæ zao
Urussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
aisee ko gharama zote za fedha na wanajeshi kufa lengo ni kushinda tu bila maslahi yoyote kwa urussi kama ndo hivo basi putin ni kichaa
Hivi US kutumia billions of dollars anamukomoa nini Putin? Huoni Kama ni kuzidiwa kwenye uwanja wa vita? Kila mara ana fund mihangaiko ya Zelensky bila mafanikio yoyote kwenye uwanja wa vita.mingi ya hii ni misaada ya masharti karibu na sifuri nia hasa ni kumkomoa Putin !! kushindana na mwenzio kila uchao anamwagiwa misaada ya kijeshi lazima uchakae kama si kuchoka hata kama wewe unajiita supa pawa !!