kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ngoja azidi kuleta chakula Cha mimea ya Ukraine,Putin kaongeza wanajeshi 137,000
Anataka mimea ya Ukraine izidi kupata rutuba zaidi.., maana ameona mizoga aliyoileta awali haijtosha kuongeza rutuba udongo wa jirani yake mpendwaNajiuliza Puttin kuongeza wanajeshi 137,000 ni ishara gani?
Dikiteta anazidi kuhenyeshwa tu [emoji848][emoji848]Malengo ya Urusi Hayafanikiwa kutawala Ukraine yote na kuondoa utawala uliopo. Putin wa Russia amefeli[emoji848]
https://www.facebook.com/
Huu mkong'oto anaotembzewa urusi si wa Karne hii [emoji2][emoji2][emoji2]Tazama Secret warehouse imetunguliwa na Himars.Kipigo heavy
Hii ni mbinu ya kuwapa malole asikari wake maana wanapata kipigo kizito huko fieldSijawahi on a Taifa lenye propaganda za uongo kama Russia Jana wamepiga kombora kituo cha treni na kuuwa raia 22 ,leo wanasema eti walilenga jeshi la Ukraine ambapo wameuwa wanajeshi 200 ,evidence iko wapi? Mbona Ukraine wakifanya tukio kubwa wanakuja na evidence, Hili taifa la mchongo kina matatizo
HIMAS kwisha habari mrusi ashazifanya majivu
Wanaendelea kupoteza maeneo na Maisha.Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
Mbna jamaa wamelieka waziNajiuliza Puttin kuongeza wanajeshi 137,000 ni ishara gani?
Hayo maeneo yatarudishwa bwashee muda bado sana,Wala hatuna harakaWanaendelea kupoteza maeneo na Maisha.
HIMARS zimemfunza adabu kweli kweli super pawer wa mchongo [emoji2]HIMARS zinapakwa mafuta tu huko Ukraine. Wamejitahidi sana kuzipa promo[emoji38][emoji38][emoji38].