Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ebhana eeeeh jamaa katishaa
Kwa biti hiloo watafute pa kujifichaa
Haswa huo mstari wa mwishoooo
Kazi wanayooo
 
Bei ya gas Europe imefika $3,500 kwa kila cubic meter 1,000. Kabla ya vita, bei ya gas hiyo ilikuwa kati ya $200 mpaka $280.

Ongezeko la gas na oil limesababisha mlipuko wa bei kwenye nchi zote za Europe. Na ongezeko lina tarajia kukua maradufu msimu wa baridi ambao huwa kwanzia December mpaka March.

Hii ni kutokana na baridi kubwa na nchi hizo kutumia nishati kwa wingi sana kupata joto.

Mwezi wa 4, Uingereza walipandisha bei ya nishati kwa asilimia 32. Sasa wametangaza bei itaongezeka tena kwa 80% mwezi wa 10.

Ina maana, bei itakuwa hivi
1. Mtu mwenye chumba kimoja na kuishi mtu 1 mpaka 2. Bei ya gesi na umeme itakuwa £2,400 - TSh 5,600,000 kwa mwaka.

2. Vyumba vi 3 watu wawili mpaka 3 £3,500 - TSh 8,170,000

3. Vyumba vi 5 watu 4 mpaka 5 £5,100 - TSh 11,900,00

Kwahiyo, kwa wastani, bei ya gesi na umeme itakuwa £3,500. Wana tarajia wastani huu utaongezeka Januari mpaka kufikia £5,386.


Wakati hapa Tanzania mlipuko wa bei (inflation) mwaka huu ni 4.5%. Hii ndiyo hali kwa wenzetu

[emoji116][emoji116][emoji116]

sources: BBC.com/news/business-58090533
Statista.com/statistics/225698/monthly-inflation-rate-in-eu-countries/

Kipute mwaka huu.
 
Donald Trump alijua kuishi kwa akili na huyu jamaa... Sasa huu ugumu wanaoupitia wataelewa.
 
Kichapo kinaendelea na maeneo yanaendelea kumegwa. Wengine nendeni YouTube mkashinde vita.

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

💥High-precision weapons strikes of the Russian Aerospace Forces have destroyed the temporary deployment point of 95th Airborne Assault Brigade of AFU in Slavyansk, Donetsk People's Republic. The attacks have resulted in the elimination of up to 150 nationalists, as well as 10 units of weapons and military equipment.

▫️Allied Forces offensive in Donetsk direction have resulted in losses of 204th Battalion of 241st Territorial Defence Brigade near Artemovsk exceeding 60 per cent of its personnel. The command of Liman task force has withdrawn brigade units from the combat area to Kiev to be re-staffed.

💥High-precision strike near Slavyansk in Donetsk People's Republic has eliminated more than 100 nationalists trained at AFU reserve training centre.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against Ukrainian defence industry facilities where weapons are manufactured and repaired.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have hit production halls where Ukrainian air force helicopters were being repaired at Motor Sich plant in Zaporozhye city.

▫️In addition, 3 AFU command posts, including those of 54th AFU Mechanized Brigade near Kurakhovo, Donetsk People's Republic, as well as 42 artillery units at firing positions, and 139 areas of AFU manpower and military equipment concentration have been hit.

▫️1 oil storage depot near Nikopol', Dniepropetrovsk Region, which was used to supply fuel to AFU units in Donbass, has been destroyed.

▫️8 missile and artillery weapons and ammunition depots near Seversk, Kramatorsk, Ulakly in Donetsk People's Republic, Travnevoye in Kharkov Region, Kavkaz in Nikolaev Region and Marganets in Dniepropetrovsk Region have also been destroyed.

💥Russian air defence means have shot down 6 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Staromaiorskoye, Dokuchayevsk, Komsomolskyi, Maksimovka in Donetsk People's Republic, Semenovka in Kharkov Region and Belaya Krynytsa in Kherson Region.

▫️28 projectiles of multiple-launch rocket systems Olha and HIMARS have been intercepted near Ol'ginka, Novotroitskoye in Donetsk People's Republic, Chernobaevka in Kherson Region, Antonovskyi and Dariyevskyi bridges, and over Kakhovskaya HPP.

▫️In addition, 1 Tochka-U ballistic missile has been shot down in the air near Novaya Kakhovka, Kherson Region.

📊In total, 274 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,826 unmanned aerial vehicles, 370 anti-aircraft missile systems, 4,400 tanks and other armored combat vehicles, 822 multiple launch rocket systems, 3,349 field artillery and mortars, as well as 5,095 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

❗️Kiev regime continues provocations to threaten a man-made nuclear disaster at Zaporozhye NPP.

▫️Over the past 24 hours, 2 AFU artillery attacks on the territory of the nuclear power plant have been recorded.

▫️A total of 9 shells have been fired, 3 of which landed near Special Building No 2, where TVEL's fresh nuclear fuel and solid radioactive waste are stored. As a result of the shells hitting the nuclear power plant area, pipeline line was hit by shrapnel.

▫️As a result of the second shelling, one shell landed near Unit 6 and five other shells fell in front of Unit 6 pumping station, which provides cooling for this reactor.

▫️Ukrainian artillery shelling of the nuclear power plant was carried out from Marganets area in Dniepropetrovsk Region.

▫️In counter-battery warfare, AFU units shelling NPP have been suppressed by return fire.

▫️Currently, a full-time technical staff monitors the technical condition of the nuclear plant and ensures its operation.

▫️The radiation situation in the nuclear power plant area remains normal.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Na Khazarian ndiyo hawa Ashkenazi Jews waliolowea Israel kwa sasa kuanzia 1945.

Hawa walifanya mapinduzi ya bolshevik nchini Urusi na baada ya wao kupinduliwa wengine wakakimbilia US.

Khazaria asili yao ni mapagani. Walilazimishwa kuchagua dini mojawapo na mataifa makubwa yaliyowazunguka kutokana na kuvunja mipaka ya kutokuwa jamii isiostaaribika. Walikuwa kama mabedui wanavamia misafara ya nchi nyengine ikipita.

Licha ya baadaye kujisalimisha kwenye dini ya Uyahudi lakini walichanganya dini na tamaduni zao za kiasili za kuabudu na kitabu chao kukiita Talmud. Tofauti na Sephardic Jews ambao wao bado wanatumia Taurat na ndio jamii daraja la chini ya Ki-yahudi nchini Israel kwa sababu utawala nchini Israel unaongozwa na hawa wanaoitwa Ashkenazi Jews ambao ni Khazarian.
 
Hivi hii ishu ya denazification of Ukraine ikoje mkuu? Maana siijui ndo nin
 

Hata EPL inachezwa mchana na jioni kweli hali ni mbaya aseee
 
Mrusi amechezea kichapo Melitopol kwenye base yake yamebaki majivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…