KREMLIN kila GOTI litapigwaJiji la The Hague nchini Netherlands limesema linajitoa kwenye vikwazo vilivyowekwa na EU juu ya gesi ya Urusi...Jiji linasema limekosa mbadala wa gesi ya Urusi, hivyo linarejea kwa Urusi kuomba kuendeleza mkataba wa kugaiwa gesi
Dutch city of The Hague seeks exemption from EU sanctions against Russia | Euractiv
The Dutch city of The Hague on Thursday (25 August) said it would ask for a temporary exemption of EU sanctions against Russia, as it struggles to find a replacement for its contract with Russian gas supplier Gazprom in time.www.euractiv.com
Zimeanza kuwaingia eeh. Huko kwa malkia (Uingereza) mamæ unaambiwa bei ya gesi imepanda kwa asilimia 80 (80%)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shoigu asema wameacha songa mbele ili kuzuia vifo vya raia wa kawaida
Sijui ni PUT IN au ni LAVROV ama ni MEDVED alisema kwambaAfrika Sasa tumejitambua wote. Hata wakenya waliojifanya kichwa Maji mwezi March naona nao akili zimewakaa kuhusu Russia.
===
Ukraine’s latest proposal to condemn Russia has attracted the backing of just 58 out of 193 UN member states, a far cry from the number that symbolically supported Kiev in the General Assembly in March.
Kiev’s envoy to the UN Sergey Kislitsa heralded the proposed resolution on Wednesday, following the Security Council meeting convened on Ukraine’s independence day. The session featured a video address by President Vladimir Zelensky, for which the council had to override protocol requiring in-person appearances, and a series of statements by Western governments denouncing Russia.
Moscow’s envoy Vassily Nebenzia provided the counterpoint by introducing evidence of Ukrainian atrocities into the record and even naming Kiev’s western backers as accomplices in specific instances.
READ MORE: Kiev was gearing up for military conflict since 2019 – security chief
Kislitsa’s resolution also fell short of the support Kiev had back in March, right after the start of the Russian military operation. At the March 2 General Assembly session,141 member countries – or 73% of the UN – voted for a nonbinding resolution to condemn Moscow.
This week, however, that support stood at 30%, with no African, Persian Gulf or BRICS countries on board – and only two Latin American governments, Colombia and Guatemala, standing with Ukraine.
Ilikadiriwa pia wamebakia na chakula chasiku tatuInakadiriwa Urusi imebaki na 20% tu ya "Ballistic Missiles"[emoji848]
Ukraine Situation Report: Kyiv Claims Russia Is Running Low On Missiles
Kyiv estimates Russia has just 20 percent of its Iskander ballistic missiles left as other stocks have dwindled from constant strikes.www.thedrive.com
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kipigo bado kinaendelea tunazidi kuwakata pumzi hwaamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]Inamaana hao 160k wamepungua sana wanaongeza wengine duu waleteni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2336966
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Endeleeni kupiga majengo ya shule na hospitali sisi tunapiga military base View attachment 2336967
Ni kipigo kwa kwenda mbele [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]Leo hii tazama video mrusi amechapika vibaya sana
Kwa ujasusi mahili wa Russia nilijua ni suala la muda muuaji Darya Dugina hatachukua round kabla hajatolewa pumzi na FBS, na kweli amekuwa hunted down mpaka akauwawa.Auae kwa upanga naye hufa kwa upanga. Muuaji wa Darya Dugina akutwa amekufa huku mwili wake ukiwa na matobo Kibaao yapatayo 17. Mrusi so mtu wa mchezomchezo
View attachment 2337553
⚡⚡Ukrainian terrorist Natalya Vovk found dead in Austria with 17 stab wounds, - Austrian publication Express.
They are removing witnesses. No loose ends.
@NeoficialniyBeZsonoV
t.me/Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy, and Analysis, Expert Community
1. Ungetoa tafsiri/tarjama gani ya kiswahili pale Putin aliposema '...military contingents and infrastructures'.1.Hakuna silaha za NATO, kila nchi mwanachama wa NATO inatengeneza, kuuza au kununua silaha kibinafsi kama vile tu ambavyo Uturuki inanunua na kuuzia silaha Urusi. Finland ananunua na kuuza silaha kwa nchi nyingi tu ambazo ni wanachama wa NATO, hakuna hoja ya maana katika hili kwamba tatizo sio kupakana bali ni silaha.
2.Hakuna mgogoro wa mpaka kati ya Ukraine na Russia. Mipaka ya Ukraine iko wazi, hata Russia yenyewe haijwahi kudai Crimea au Donbas ni sehemu ya mipaka yake, walichokifanya ni uhuni wa kuchochea vurugu hayo maeneo yajitangaze huru yajiunge na Russia halafu wakatangaza wanafanya Peacekeeping mission
3.Hakuna raia wa Urusi Donbas, unaposema kuna raia wa Urusi Donbas ni sawa na Kenya kusema kuna raia wake Wamasai Arusha au Msumbiji kusema kuna raia wake Wamakonde Mtwara au Uganda kusema kuna raia wake Kagera au Burundi kusema kuna raia wake Kagera. Ni upuuzi mtupu.
4.NATO haijwahi kutaka au kulazimisha Ukraine ijiunge nayo, kusema hivyo ni kutokujua mchakato wa nchi kujiunga na NATO.Haikuwa na vigezo vingi sana, nchi ZOTE wanachama hazikuwahi kujadili wala kuridhia hilo suala, Olaf, Kansela wa Ujerumani alimuambia Putin hata kabla hii vita haijaanza Ukraine haiwezi kuwa mwanachama wa NATO hata kwa miaka 30 ijayo.
5.Kusema tu Putin na NATO ndio wanajua tatizo la Ukraine kujiunga na NATO ni utopolo.
Kipigo cha kwenda mbele mitandaoni..yaani anapost kp kipanya 44 halafu mwenzie vunjo anampa like na comment ya kumsifu...akipost vunjo naye kipanya anafanya hivyo hivyo...such a situation needs a paper...how come watu wawili for 24 hours wako mitandaoni wakipost content za aina moja na hawachoki...what is behind this 'bravado' ?!?!Ni kipigo kwa kwenda mbele [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]