Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikupuuza na kukuona debe tupu linalopiga kelele tu nilipoona unazungumzia Coordinated Weapons Production in NATO kama silaha zinazozalishwa na NATO na eti kila silaha inayotengenezwa na nchi mwanachama wa NATO inahesibika ni silaha ya NATO.

Yani Urusi wanapoomba kiwanda cha Bayraktar TB2 kijengwe nchini mwao au wauziwe hizo drones wanakuwa wanataka silaha za NATO[emoji1787]
Urusi walipowapa Wafaransa contract ya kuwatengenezea submarines mwaka Meli za kivita mwaka 2011 ilikuwa ni NATO iwatengenezee Warusi meli za kijeshi.
Huo ulioandika ni utumbo mtupu ndio maana niliupotezea tu
 
[emoji636]The UK has temporarily lost the newest aircraft carrier, the Prince of Wales.

The ship worth £3 billion broke down immediately after entering the exercises with the United States.

The main version of the breakdown is called damage to the right propeller shaft, Sky News reports.

[emoji3502]"The Prince of Wales was launched in 2017, but already in 2020 it was out of order.

As it turned out later, the prince decided that he was a submarine, a number of important units were flooded on it.

T14 Armata kwamba hawa jamaa hawana pesa yakuendeleza kama RUSSIA ama hawana tech kama RUSSIA
Subscribe to @Sputnik

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapiga maendo ya kilaia View attachment 2338149
Sasa kama majeshi ya Ukraine yanaweka kambi mashuleni, hospitalini na kwenye huduma za kijamii ili kuwatumia raia kama ngao ulitarajia majeshi ya Urusi yawapelekee biscuits, pipi na juice cola?!
 
Jomba ase heshima ako [emoji847]
 
[emoji1787]
Mnachekesha sana pro nato. Kuhamisha magoli ndio sifa yenu/yako kuu. Na utaachaje kufanya hivyo!? Kujifanya mnashinda vita ambayo kila siku mnashindwa inahitaji ujuzi na nguvu kwenye kuongopa na porojo. Mimi hoja zangu zinabaki pale pale wewe endelea kujipigisha makelele yasiyo na mpango.

1. Kwa urusi, Kujiunga kwa Ukraine nato ni tofauti na kujiunga kwa Finland na Sweden. Urusi haina tatizo na #FinSwed kujiunga na nato ila tu zikiruhusu deployement ya majeshi na silaha za nato kwenye nchi zao Moscow itarespond. Kwa mujibu wa putin mwenyewe. Sasa wewe endelea kukomaa hakuna silaha za nato [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yoda vs Putin

2. Urusi haina migogoro wala issue za kimipaka na finland na sweden kama ilivyo na Ukraine. Kwa mujibu wa putin mwenyewe. Sasa wewe endelea kubisha kwamba hakuna. Mbishie putin mwenye nchi yake. yoda vs Putin [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

3. Wakreni wanaoongea kirusi (Russia speaking Ukrainians) wamekuwa wahanga wa matendo ya kikatili ya majeshi ya zelensky na manazi wa azov. Kuwasaidia ni moja ya malengo ya operesheni ya kijeshi ya urusi. Wewe sema hawakuwa na shida. Mbishie putin na wabishie wadonbass wenyewe walioomba msaada kwa putin

Umenipuuza wakati umenijibu tena kwa mara ya nne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Paundi bilioni 3 ndio zimekwenda hvyo!?
 
Kinachofurahisha zaidi sijui na nyie mmekiona?
Kila shambulio la Urusi kwa Ukraine linadaiwa ni Raia wamepigwa, kila shambulio la Ukraine kwa Urusi ladaiwa kua wanajeshi wavamizi wamepigwa.

Hapo kunazuka maswali kadhaa kwa wenye akili timamu lakini.
1. Kama Urusi wanashambulia Raia na makazi yao, so military facilities za Ukraine bado zipo kama awali kabla ya Operation kuanza au?

2. Lel say it's true, so Ukraine jeshi lake pia lipo kama awali halijapungua si ndivyo? Since wanaopigwa ni Raia sio wao.

3. Wale wanaopambana na jeshi la Urusi kama ni raia sio wajeda, inakuaje sasa hawa west wanawapa silaha Raia wa kawaida wasio kua na mafunzo wakapigane?

4. Kama hao tunaowaona wakiwa ndani ya gwanda na silaha ni Raia tu sio wapiganaji hao wajeda haswa wakoje? Au ni aliens 😂.

5.
6.
7.
8.
9.

10. Kwa mujibu wa data za UN, tangu February Russia inaongoza kwa kua na wakimbizi wengi kutoka Ukraine kuliko nchi zote za EU. Kama Russia inashambulia Raia je, hao zaidi ya Mil 2 waliolekea Urusi kutoka Ukraine inakuaje wapo hai hadi leo.
 
Mimi nipo humu special kwa kuchukua taarifa na kuwaambia watu wa ofisini so TOE MIENENDO YA VITA BILA FIX WAUNGWANA nimejipatia sifa kwa staff nzima hasa mademu kisa huu uzi
Yes,
Wanakuona bonge la Military analyst.
Lkn safi TU ,kwa sababu unafatilia Kila kinachoendelea,unasoma na unatazama,so ni kweli unakua na Cha kuelezea,na kusoma na kuona ndio njia za kupata knowledge..

Ila hao mademu wanakuelewa kweli?
Habari za vita na wao wapi na wapi?
 
Mademu wananielewa maana wanatamani vita iishe japo wengi wao mwanzo walikuwa ni Pro Ukraine(waliona ndio muonewa si unajua wanawake kwa huruma na kumshabikia mnyonge)

But now wengi ni pro Russia baada ya kujua russia alichokozwa na anachangiwa na NATO (si unajua wanawake kwa kupenda mtu anaesimama yeye kama yeye au mbabe)
 
KGB wanazidi kuweka bayana team ya magaidi wa Ukraine waliohusika kulipua gari la Darya (binti mwandishi wa habari) na kumuua huko Urusi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…