Umesahau kumwalika T14 Armata katika komenti hii.Supa-pawa wa mchongo anazidi kutaabika.
Usitikisike sindano ipenyeEndeleni kuleta habari zenu hazina source sisi tunawaletea source za uhakika sio za kukopi magroup ya telegram View attachment 2343912
Chanzo cha habari Ukrainnet. Unachekesha kweliWape vidonge vyaooooo[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Leta ushahidi kuwa kherson imekombolewa au kuna eneo majeshi ya Ukraine yamekomboa toka mikononi mwa Russia.Ivi unafatilia habari au unaongeaongea tu imrad
Asante mkuu kwa elimu basi huku tulidanganywa hivyo, sikujua kabisa na kuambiwa ni blasting. ThanksMkuu blasting of rocks kweli unachafua anga,lakini remember that from the soil or rocks tunapata only dust which will make us cough for a while or allergies.The main problem is this👇(nimei-copy na ku-paste kwa kuwa nilishai-discuss previously)
Mkuu.Unajua,anga wamelichafua sana sana,believe me.Angalia hapa uchafuzi huu ukiendelea,in what are called Chemtrails,na scientists wamefanya utafiti wa kina wa sprays hizo,na wamegundua kwamba zina sumu nyingi.
Hapa chini nimeweka clip ya ndani ya madege hayo yanayofanya-fanya uharibifu huo.5 Chemtrail Royalty-Free Images, Stock Photos & Pictures | Shutterstock
Find Chemtrail stock images in HD and millions of other royalty-free stock photos, illustrations and vectors in the Shutterstock collection. Thousands of new, high-quality pictures added every day.www.shutterstock.com
Mkuu uwe na tabia hii,usibishie kitu ambacho huna utaalamu nacho.
Ni hivii, kwenye anga letu wana-spray chemicals kwa makusudi ya kuharibu ardhi na kuchafua hewa Kama nilivyo onyesha hapo juu.Sasa mvua inaponyesha ina-collect hizi chemicals ambazo ni poisons. Unapokunywa hayo maji,you also drink the poisons!This is scientifically proven.Ndio maji ya mvua yalikuwa mazuri zamani,but not anymore,do not drink it.
Halafuu,mtu akudanganye kwamba maji ya mvua hayafai kunywa ili apate faida gani,na ili iweje hasa,mbona hamna faida yeyote.
Ninyi watu lazima muelewe,people are trying to help you,ili msiangamizwe,so do not take anything for granted,the rulers of this world,the Khazarian Mafia are hell bent to reducing the world population to a bare minimum of 500 million and they will leave no stone unturned unless they achieve thieir evil goal.Sasa wale wanaojua ukweli wanajaribu kuwasaidia,mnachomoka,kazi kwenu,mtaisha na magonjwa yasiyo-ambukiza.Mnadhani haya magonjwa chanzo chake ni nini.
Wazee wa video game mpooo [emoji91][emoji91][emoji91]Tazama hii "Pantsir SAM system destroyed in Kherson" waje waseme video ya kutengeneza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
If so,have they captured Kherson since Russia 🇷🇺 uses outdated Soviet weapons? The answer is NO! Why, propaganda on its apex!Haya mapipa aliyowapora Syria S300 sasa hivi anayatumia kwa mashambulizi maana kwenye defense system ni zero kabisa.Na kwenye mashambulizi ni Less Accurate [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2345350
Watu wame-danganywa sana mkuu,ila tunapo-pata nafasi tunajaribu kuweka mambo sawa.Ni ngumu sana hata hivyo,kwa kuwa watu wame-danganywa kwa muda mrefu sana,na uongo huo umekaa vichwani mwao na umeganda.Asante mkuu kwa elimu basi huku tulidanganywa hivyo, sikujua kabisa na kuambiwa ni blasting. Thanks
Unafaa kuimba taarabuKuna Pro Nato nimekuta ameipost hii anachekelea eti germany wanapesa kwa kutenga bajeti ya kukabiliana na gesi ya Russia asichokijua kuwa uwo mzigo uliotengwa wote unaenda moscow yani ni hela zetu sisi Pro Russià, wasichokijua pro nato ni kuwa putin anawachezea mind game tunawapa gesi kwa miezi 2 then tunaifunga tunasema tunafanya marekebisho ya wiki 1 au zaidi ili kile ki akiba chenu cha gesi mlichokiweka muanze kukitumia kikikaribia kuisha tunawafungulia tena mwendo ni uwo uwo mpaka tuhakikishe ikifika winter hakuna nchi ya ulaya itakayobaki na reserve ya kuweza ku survive kwa season iyo na vile vile lengo la kufanya ivyo ni kupunguza supply kwa wale waliosomea mambo ya uchumi watakuwa wanajua kuwa supply ikiwa ndogo demands uwa inaongezeka na kama mjuavyo kuongezeka kwa demands na kuongezeka kwa bei ni direct proportional ..This is putin himself the Genius..[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2345507
huu mwaka mpaka uje upinduke mtapata tabu sana nyinyi Pro nato yani maumivu yetu yote ya tozo tunamalizia kwenu[emoji109]Unafaa kuimba taarabu
Vichekesho sana ,Ukraine imekushindwa NATO utaiweza?huu mwaka mpaka uje upinduke mtapata tabu sana nyinyi Pro nato yani maumivu yetu yote ya tozo tunamalizia kwenu[emoji109]
Imepigwa leoJana walikuwa wanajaribu kuvusha vifaa vyao kwa Pantoon huko Kherson ila soon tutalipiga hili pantoon