Mkuu, kama hufahamu kwa kifupi ni kwamba Israeli imeuza sana silaha na vyombo vya kujilinda barani Ulaya khasa baada ya Russia kuchukua Crimea mwaka 2014 na imepata mabilioni ya fedha. Mwaka jana pekee Israeli ilituma vifaa vya kijeshi vyenye thamani ya dola bilioni 8 na asilimia 30 ya silaha hizo zilienda barani Ulaya.Licence production na kufungua production plant inafanyika kwa faida ya kampuni, sio kwa faida ya mteja. Mfano India ikitoa tenda ya silaha inapenda sana kuweka kigezo cha Make in India, jeshi halipendelei ila serikali ndiyo inataka hivyo unakuta bidders wanatoa offer ya kufungua plant na kushirikiana na makampuni ya India kama TATA kutengeneza baadhi ya components. Na pia kuna technology transfer.
Kampuni isiyofanya hivyo hakuna anayeilazimisha ila itakosa tenda mwishowe inaamua yenyewe.
Rafael Defence System au hata IAI, Elbit Systems, etc wanalazimika wafungue plants kwingine kupunguza production cost na attracting bids. Wanazo silaha wanatengeneza kwa ajili ya wateja wa nje tu na hatuwezi sema eti Israel ndio imezipeleka zikianza kutumika. Kama zipo tusaidiane uzitaje.
Hata BAE Systems ya UK imepewa tenda na US Marines kutengeneza amphibious vehicles. Ikiamua kutengenezea plant za Marekani ni sawa
Kwanza nionyeshe niliposema marekani kapeleka silaha zake latest??, Pili nimesema Kwa sasa MTU pekee WA kupigana na urusi ni USA Ila atasimama yeye maana Kwa Hali ilivyo Kwa ulaya kutokana na vikwazo pamoja na tatizo la nishati hawana uwezo wa kupigana na taifa kubwa kama urusiKwamba Usa kapeleka silaha zake ambazo ni latest emu tutajie silaha zilizopelekwa ukraine ambazo ni latest? MR MAJANGA
Hapo juu nadhani ndio swali langu lilitoka.Baada ya west kupeleka silaha nyingi na za kisasa ndiyo muda mzuri mrusi alikuwa ameua ndege wawili Kwa jiwe moja
1) Kwanza alipata kujua technology iliyotumika kwenye kutengeneza silaha zile akaangalia udhaifu wake na pia aliangalia ni Kwa jinsi gani anaweza kuzidhibiti zisilete madhara makubwa
Kwanza nionyeshe niliposema marekani kapeleka silaha zake latest??, Pili nimesema Kwa sasa MTU pekee WA kupigana na urusi ni USA Ila atasimama yeye maana Kwa Hali ilivyo Kwa ulaya kutokana na vikwazo pamoja na tatizo la nishati hawana uwezo wa kupigana na taifa kubwa kama urusi
'uchambuzi' mzuri...Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123]
Hapana mkuu,kinachotakiwa ni hoja tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uchambuzi umeegemea upande wako ndio unaukubali angesifia Ukraine ungesema anajaza jamvi
Hapa pia wasome vunjo MK254 ,tunahitaji kupanuana mawazo kama hivi na sio vijembe Kwa Lengo la kukera watu!Asante kunitag. Kachambua vizuri na it makes sense mfano suala la gesi nakubaliana nae ila kusema kwamba Ulaya itaishiwa ghala la silaha kisa kuisaidia Ukraine nalikataa hilo. Wala kusema Marekani itawekewa vikwazo na Asian countries baada ya Ulaya kuanguka kisa gesi ya Urusi kukatwa nakataa vilevile. Kwani Russia ikiipiga Ukraine ikaitwaa kisha ikakata gesi kwa Ulaya inapungukiwa nini, mbona unahangaika hadi sasa mpaka Ukraine imeanzisha counter offensive. Bado naona udhaifu wa jeshi lao.
Silaha zinazopelekwa Ukraine nyingi ni versions za zamani. HIMARS zilianza za zamani ila wakaongeza GMRS za kisasa, Gepard za Ufaransa zilishaacha kutumika uko kwao, Bushmaster IFV za Australia zilitumika vita ya Iraq na Waingereza walishaunda nyingine za uwezo mkubwa. AGM-88 zinazoua S-300 zote ni old version. Poland ambayo imekomba vifaru na kupeleka Ukraine ni kwamba imevichoka, ilikuwa na mpango wa kuvitunza kwenye ghala ichukue vingine. Kuna silaha nyingi za NATO wao wamezichoka ila Ukraine inazihitaji. Italy ina Leopard 1 MBT zilizoundwa na Oto Melara kwa leseni, ziko outdated kwa level zao. Canada ina Leopard 1 MBT vilevile na ziko modified ila hawazitaki tena. Hizi silaha zikikutana na silaha za Mrusi zinaonyesha uwezo. NATO mara nyingine wanatoa silaha nyingi kwa mfumo wa phasing out ili wapate mpya. Poland ilitaka itoe Mig-29 zote kwa Ukraine, bado hawajazitoa ila hawazitumii. Kuwaza eti kuna nchi ni wajinga watatoa silaha zote waishiwe ni sawa na Kusema USAID itagawa hela zote za Marekani mpaka Federal Reserve iishiwe.
Na pia NATO unabadili mifumo kabla ya kutuma hizo silaha. Ujerumani ilitumia muda mwingi kabla haijatoa Pz2000 howitzer kutengeneza software mpya na kuijaribu, tena ilikuwa na kasoro maana walikurupushwa. Italy ilitoa mine resistant vehicles ikazitoa mfumo wa mawasiliano wa NATO. Ukikamata zana na injini zake kapambane ukeshe ujaribu bahati yako, jambo la muhimu huwa ni blueprints na ndizo China hucheza nazo.
Tatizo la humu mtu ukiweka uchambuzi ujipange kujadili 80% matusi na 20% content jambo ambalo nowadays siko tiyari nalo. Matusi najua sana ila muda sasa ndio nakosa. Na uzi unajazwa porojo ndio maana ni kama naupotezea kiasi, nadhani itabidi tuje kuongeza ufahamu sio kupimana uwezo wa kutukana
The new generation are dumb because of globalization....we are overpowered culturally, socially, economically and psychologically ...we are doomed...we didn't prepare ourselves for this ...globalization can be defined as capitalism at its predatory and devilish stage...As a Nation hatuna Cha kufanya kwa Sasa labda capitalism Ife yenyewe...Yeah,it is catastrophic.Mmoja nakumbuka aliuzwa China iko wapi,akasema iko South Africa.
Okay,na wewe nataka niku-challege kidogo,wewe una-fikiri tatizo ni nini,maana zamani nakumbuka wakati wetu vijana walikuwa smart sana kweli kweli.By STD.VI we could speak English fluently and participate in Debating Societies.
Ni vizuri kujua kwamba we were using English Books in all subjects,and by Std.V you wasn't allowed to speak Swahili in School.English was only a subject! Leo kijana anakuambia Kingereza ni kigumu sana,wanasema wenyewe haki-pandi!You wonder,ugumu wake unatoka wapi,mbona ni lugha tu kama Kigogo?No, something is terribly wrong.
Anyway,back to my question,"why do you think today's generation is so dumb?"Na wengine ni hawa hawa humu JF wanaojiita Pro-NATO,they obviously do not know,I mean completely,what they are defending.
Taratibu wavamizi wanazidi kufurushwa tu[emoji1255][emoji1255][emoji123]Tumeingia vysikopololila
View attachment 2346777
Source??Urusi inapata tabu sana huko Kherson!
Na ndo kitu wanakitakaKwa mwendo huu sijui tunaelekea wapi?
Daah! Mpaka aibu mkuu
Ndio maana wanasiasa wanaweza kufanya watakavyo kwa sababu taifa lina watu wajinga wasiojua kuhoji wala kupambanua mambo
Upo huru hapa kwa mujibu wa sheria za JF. Jisikie vizuri Hata kama unatumia kimoyo moyo!Unatapatapa najua zinawakera Pro Russia na nitaongeza speed ya kuleta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hizi taarifa umepata wapi? Kwamba kuna silaha za Israel zinadunguliwa na Russia zikionwa na satellites.Mkuu, kama hufahamu kwa kifupi ni kwamba Israeli imeuza sana silaha na vyombo vya kujilinda barani Ulaya khasa baada ya Russia kuchukua Crimea mwaka 2014 na imepata mabilioni ya fedha. Mwaka jana pekee Israeli ilituma vifaa vya kijeshi vyenye thamani ya dola bilioni 8 na asilimia 30 ya silaha hizo zilienda barani Ulaya.
Silaha na vifaa hivyo ni pamoja na missiles, rockets, air defense systems, communications, drones, intelligence systems, radar, early warning systems, ammunition, armament, manned aircraft, avionics, observation na electro-optics.
Hawa Rafaeli ni mfani tu ila bado mzigo mkubwa wa silaha hutokea Israeli na huchukuliwa na ndege za kivita za US kisha kuwagwa katika moja ya nchi za NATO na kuingia Ukraine kwa barabara.
Zingine ndo hudunguliwa zikionekana kwenye satelite za Russia.
Hizi silaha nyingi zatokea Israeli lakini kwa makubaliani maalum kati ya Jelusalem na nchi hizo na Russia lazima afahamu, ndo maana mapema baada ya operesheni kuanza PM wa Israeli alikwenda kumuona Putin Moscow.
Silaha nyingi kutoka Israeli ambazo ziliuzwa kwa nchi za NATO zote zimepelekwa Ukraine lakini kwanza kwa ruhusa ya Israeli.
Kuna website moja yaitwa The army recognition hio huweza kukupa specific info za silaha zitumikazo mahala zatokea wapi kisha wakisanya data hutayarisha reports.
Hatma ya nchi Iko mikononi mwa dikiteta mmoja tu,hii ni hatari sana,Kama Russia wangekuwa na Bunge lenye sauti hakika, hii vita isingekuwepo.
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]KHERSON IS GETTING BACK HOME, MDOGO MDOGO
View attachment 2346870
Hypothesis yako ni nzuri sana haijakaa kwamba haiwezekani. Angekuwa ni China kwenye vita ya kiuchumi na Marekani angalau ingeleta mantiki ila sio hii Urusi. Energy sources ziko sehemu nyingine nyingi ingawa for the short run kutakuwa na shida. Olaf Scholz ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu awe Chancellor alianzia Senegal, uko kuna gesi inafunguliwa na kampuni ya Total mwakani tena kwa vile demand ni kubwa basi watafanya haraka. Kuna shipyards kibao za kujenga meli, sijaona wakijenga hivyo sijui mpango wao ni upi. Kwa miezi hii ya haraka sijaona watafanyaje ila uhakika ni kwamba Russia atafute mapema wateja wa gesi yake, baada ya hii vita asahau kuuza gesi kwa Western Europe ambao ndio consumers wakubwa, 40% ya gesi ya Ulaya ni from Russia.Kwa kama umesahau subiri tukukumbushe
1) marekani soko lake la bidhaa Kwa asilimia kubwa ni ulaya, sasa kutokana vikwazo pamoja na kukosa nishati viwanda vya ulaya vinaenda kufungwa, kinachofata ni raia kukosa kazi na umasikini, uchumi wa ulaya utaanguka maana yake nchi za ulaya hazitaweza kununua bidhaa za marekani, kutokana na umasikini
Sasa kufatia bidhaa za marekani kukosa soko litasababisha viwanda kufungwa au kupunguza uzalishaji kutokana na bidhaa wanazozalisha hazina wanunuzi, hii itasababisha kupunguza wafanyakazi, wafanyakazi wakianza kupunguzwa ndiyo mwanzo wa raia wa marekani kupunguza matumizi ambapo ndipo uchumi wa marekani ulipo
Kwa hiyo hii itapelekea demand ya dolla kupungua, kitendo kitakachosababisha dolla kuanza kushuka thamani wakati pesa yuan na rubo zikichukua nafasi kutokana na ndiyo sehemu ambayo nchi nyingi duniani wanategemea kupata bidhaa kutoka Asia
Ila haya yote yanaweza yasitokee kama ulaya itatii matakwa ya urusi na kumalizika Kwa Vita ya Ukraine,
Au waanzishe Vita na urusi na washinde Ila kinyume na hapo ulaya inaenda kuwa masikini
Wanaanza kulainika taratiibu, wameshausoma vyema upepo kwamba hauko sawa upande waoA representative of the Moscow-installed military administration in the occupied parts of Ukraine's Kherson region says a referendum on joining Russia has been postponed as Ukrainian armed forces continue military operations aimed at regaining control over the area.
"We have prepared for the voting, and we wanted to hold the referendum in the nearest future, but due to the developments happening at the moment, I think we will pause [with the referendum]," the Russian-appointed deputy governor of Kherson, Kirill Stremousov, told the TASS news agency on September 5.
Kherson, an important port city on the Black Sea, has been fully under Russian control since early March, just weeks after Moscow launched its unprovoked invasion of Ukraine.
In late August, Ukraine launched a counteroffensive in the south, and particularly in the Kherson region. Kyiv claims to have taken back some territory and heavy fighting continues.
Stremousov, who said earlier in June that Kherson was now "a full-fledged" part of Russia and a referendum on joining Russia would be held in early September, said recent statements by Ukrainian Deputy Prime Minister Iryna Vereshchuk will not disrupt any possible referendum.