SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,656
- 10,420
Vibibi kama hivi eti ndio unakuta vinakaa kumjadili Putin. Mtapata tabu sana!View attachment 2347811
This is the closest friend of the new British Prime Minister Teresa Coffey, who is expected to become Deputy Prime Minister and Minister of Health. As you can see, she is not alien to a healthy lifestyle.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2347791
[emoji848]
Sifahamu kama upo. My default position ni kwamba hakuna.Karibu mara zote Israel inapofanya mashambulizi Syria wanakuwa wanatarget silaha na miundombinu ya Iran. Je kuna mkataba uliopo wa Urusi kuyalinda masrahi ya Iran nchini Syria?
Beautiful Oddessa CoastLine for free bread in Odessa
View attachment 2347832
Lqbda haujui incident ya hii kitu ilikuwaje. Kilichotokea hapo ni kwamba ndege za israel zilienda kushambulia syria wakati hiyo ndege ya reconnaissance ya urusi inatua. Air defences za syria zikaanza kushambulia ndege za israel ila waisrael wakachelewa kuwaonya warusi kwamba air defences za syria zinafanya mashambulizi ya anga hivyo waitoe ndege yao inaweza kutunguliwa.Tusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokeaView attachment 2347762
Na kama Russia inataka air defence systems zake zidharauliwe afanye engagement kwa IDF jets flying over Syria. Sera ya usalama ya Israel huwa haibadiliki
Nilishawaambia pro nato kitambo tu kuwa apo kremlin kuna watu wanaroho mbaya sana kwenye mambo ya vita yani wanamuona putin anawadekeza ukraine
Wazee wa kudownload pesa
British Prime Minister Liz Truss intends to print 130 billion pounds and send them to pay electricity bills.
She believes that this will help solve the problem of a sharp increase in electricity and gas prices for ordinary consumers, according to Bloomberg.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] duhhh Israel uyu uyu anayeomba kibali kwa Russia akitaka kupitisha ndege zake syria mmesahau ilikuwa kila mwezi netanyau anaenda moscowTusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokeaView attachment 2347762
Na kama Russia inataka air defence systems zake zidharauliwe afanye engagement kwa IDF jets flying over Syria. Sera ya usalama ya Israel huwa haibadiliki
Leo umefunguka Vizuri sanaDah,thankyou for your reaction,umejaribu,ila there is more to it than what you have put across.Kabla sija highlight sababu za msingi hasa,naomba utambue kwamba tatizo hili limekumba binadamu wote,hasa wale ambao kwa kupenda wao wenyewe au kwa sababu ya mazingira yanayowa-zunguuka,wameshindwa kujua kimsingi mambo maovu yaliyopangwa kuwadhuru Wanadamu kwa makusudi,na hivyo kuweza kuya-epuka.
Naomba ikumbukwe kwamba mipango miovu ya kumdhuru mwanadamu haijaanza leo,imeanza baada tu ya kuporomoshwa mnara wa Babeli Wanadamu waliokuwa wanaujenga,eti ili wamfikie Mungu na Mungu mwenyewe.
Hata hivyo jinsi miaka ilivyozidi kuongezeka,mipango hiyo imekuwa mingi zaidi,mikali,
miovu na isiyokuwa na huruma kwa Binadamu kabisa,nia kubwa ikiwa ni kumtesa mwanadamu,kumtenganisha na Mungu wake na hatimaye kumuua!Hii inaonekana wazi kwa kuongezeka uovu;kumdhuru mwanadamu kwa mbinu mbali mbali za siri ambazo ni nyingi,ili atokane na uasili wake,na hatimaye asiwe na mawasiano na Mungu kabisa.Mbinu hizi naweza kuziita Mind Control Methods.Chanjo zinachukua nafasi kubwa sana katika uovu huu,pamoja na medications,what is called Planned Parenthood,Air Pollution,Paints,Plastics,Simu,etc.etc.The list is long.Haya ndiyo hasa yanayo-sababisha dumbness and even Dimentia kwa watu,sio vijana tu.
Naomba niseme pia kwamba mbinu hizo ndizo zilizoleta magonjwa yasiyotibika.
Pamoja na kuwadhuru Wanadamu kwa mbinu nilizo-taja hapo juu,naomba pia uniruhusu niseme yafuatayo.Inaonekana wazi kwamba majanga yakiwemo ya mioto mikubwa kila mahali Duniani inayoharibu mali za watu na kuleta vifo,hasa Ulaya na Marekani;mafuriko;joto kupanda duniani hasa Ulaya mwaka huu,India na Marekani na hatimaye kusababisha,ukame na njaa duniani kote;ukosefu wa mvua au mvua kunyesha bila mpangilio, vimbunga na Volcanoes yameongezeka sana.Haya pia ni matukio ya makusudi yenye nia ya kumdhuru mwanadamu na hatimaye kumfisha.
Niseme pia kwamba magonjwa yanayotibika yameongezwa nguvu na Wanadamu kwa kuwafanya wadudu hao,bacteria na virusi kuwa wakali zaidi kwa kutumia technolojia(Enhanced Fusogenicity &Pathogenicity),na nia ikiwa ni moja tu, kuwadhuru Wanadamu.Hii ni mipango miovu kabisa.Wanadamu badala ya kutumia Science kwa maendelea ya Wanadamu wanazotumia kuua Wanadamu,ni uovu uliopindukia kabisa.Mbu,Bacteria na Virusi wamefanyiwa utundu huu sana!Mbu wasio na majira,Fallworms,Covid-19 na UTI vimetokana na utundu huu,na sio bahati mbaya,it is intentional.
Kwanini ablockiwe anafanya komedi. Acha tucheke sisi. Lkn Ukraine wakiziona post zake wataona anawang"ong"a tuUkimblock VUNJO usisahau kuniblock na Mimi, maana ni pacha wangu huyo[emoji41][emoji41][emoji41]