Ingekuwa ni Wale wengine,wangefungua na Uzi kabisa😁Kodema has been completely cleared and is under the control of Wagner PMC.
Hamna haja ya kulalamika consequences of wars are always unpredictable, they are random.View attachment 2348014
🆕🔥🔥🔥We must be more dangerous ”: Putin urged the Foreign Ministry not to cling to the principle of reciprocity when the West refuses to issue visas to Russians.
According to the President, Rostourism should collaborate with the Ministry of Foreign Affairs on an e-visa project for foreigners🔥🔥🔥
Mbona unaandika utoto Kaka? Wapi Putin alisema atamaliza vita kwa siku tano?Pro RUSIANS Bwana.
1. Putin alivamia Ukraine huku akiwaambia wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe.
2. wakati huo huo akidai kazi ya uvamizi huo itakuwa imekamilika ndani ya siku tano.
Wakati akisema hayo, wamarekani na washirika wenzake wa Ulaya walidai ndani ya muda huo Putin atakuwa ameiteka Ukraine yote.
Mimi nadhani hii ndio hoja ya msingi.
Lakini cha ajabu Pro putin kila kukicha wanabadirisha magoli.
Siku tano zilizopopita, 10, mpaka 30 hoja ikawa hoo Putin anapigana na USA NA NATO.
mambo mengi yamebadilika badilika hapo katikati.
sasa imekuwa ni vita ya gas.
loosers bwana.
The last kick of dying [emoji237][emoji237][emoji237][emoji237][emoji237][emoji237]Majuzi Putin alidai ana siraha za kisasa kuliko mataifa ya Ulaya na USA na yuko Tayari kuzishare na friendly nations.
Mwezi haukuisha Urusi ikabainika kwamba inanunua Drones za kivita kutoka Iran.
Ghafla tena inasemekana iko kwenye mikakati ya kununua siraha kutoka North Korea.
hahahahahahahahaha
come on.Mbona unaandika utoto Kaka? Wapi Putin alisema atamaliza vita kwa siku tano?
Hapo vip [emoji41][emoji41]Tazama hapa mateka wakirusi tunawafunga macho leo hii huko Kherson [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi gani duniani ina silaha zifuatazo isipokuwa Urusi?Majuzi Putin alidai ana siraha za kisasa kuliko mataifa ya Ulaya na USA na yuko Tayari kuzishare na friendly nations.
Mwezi haukuisha Urusi ikabainika kwamba inanunua Drones za kivita kutoka Iran.
Ghafla tena inasemekana iko kwenye mikakati ya kununua siraha kutoka North Korea.
hahahahahahahahaha
Hapo je[emoji848]Super power bwana anakwenda hadi na vitz kwenye vita sisi tunapiga tu Tazama video
Dikiteta kaingizwa Cha kikeIran kala pesa ya putin ya bure sio kwa hizi drone zinatumia battery za remote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2347642
sasa nini kinamfanya asimalize hiyo vita upesi? hizo siraha zimekuwa mapambo?Nchi gani duniani ina silaha zifuatazo isipokuwa Urusi?
1.smartan
2.Hypersonic missile.
Unafikiri kununua silaha kutoka nchi zingine ndo Hana silaha? Unaumwa ww.
Lete ushahidi kwamba Putin alisema atamaliza vita kwa siku tano.come on.
You must have awaken from coma recently friend.
haujui hii vita imeanza anza je, imekuwa inaendeleaje.
Mnaleta article za kubumba, tunaleta information live kutoka front line [emoji2]Tazama drone operators walivyofast kuzirusha kutambua enemy yuko wapi na kumlipua zina saidia sana kuliko kwenda kichwa kichwa
Jibu SWALI.sasa nini kinamfanya asimalize hiyo vita upesi? hizo siraha zimekuwa mapambo?
si arushe hizo missiles kiev wajisalimishe?
Mkubwa anavuliwa nguoUkrane ndio haruhusu drone za mrusi angani anazitungua kabla ya madhara yoyoteView attachment 2347062