Hizi nchi ni kama zimegeuka kua mikoa ya EU. Hazina maamuzi yao wao kama wao kwa Raia wao.
Tunasoma habari za mapigano tu . HATUTAKI notes za F6Tatizo kubwa la EAC, SADC na AU ni pamoja na kuww umoja majina tu, huwezi kuwa na umoja imara kama kila mwanachama anajifanyia anachotaka. Hapo unakuwa na genge la wanywa kahawa tu.
Tunasoma habari za mapigano tu . HATUTAKI notes za F6
Israel sio kwamba ni mbabe wa yeyote dunia hii wala hatunishiani misuli na mtu. Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake ambapo kama hamuwezi kubaliana kwa jambo basi mtashindana, watu hawawezi kufanya makubaliano kisha tuseme mmojawapo anaomba ruhusa.Nashindwa kuelewa incidence ya namna hii inaprove vipi kwamba israel ni babe kiasi cha kuitunishia misuli urusi licha ya syria tu bali popote pale duniani.
At the pathetic state of NATO is now the member state can't fight this war ...not unless they have a death wish ...Russia will grind them slowly ......Winter is ComingUkraine Tells Crimea Residents "Prepare Bomb Shelters / Get Food"
WORLD NEWSDESK 06 SEPTEMBER 2022
The government of Ukraine is officially telling Russians in Crimea to prepare bomb shelters and stock up on supplies as Kyiv presses ahead with plans for a major counteroffensive to drive Russian troops out of what Kiev calls "Occupied Ukrainian territory."
Ukraine has, for weeks, been telling residents in its occupied south to be ready and to evacuate before it launches a counter-offensive. Still, Monday's warning was notable because it was addressed to residents of Crimea, which voted in a Referendum to return to Russia in 2014, after the European Union and United States fomented, incited, and financed the violent overthrow of Ukraine's President, Viktor Yanukovich.
Crimea had been part of Russia for at least 300 years before then-Soviet Communist Party Chairman Nikita Khrushchev, (a Ukrainian) GAVE Crimes to Ukraine. Crimea was part of Ukraine for only about 50 years, by Communist Party dictate; they voted to return home to Russia.
The European Union and United States flatly refused to recognize that referendum, claiming it was a rigged vote. They applied economic sanctions to Russia, but none of it made any difference; Crimea is now part of Russia by vote of the Crimean population, and laws enacted by the Russian Federation legislature.
The ongoing Special Military Operation by Russia, to de-militarize and De-Nazify Ukraine, has gone on for slightly over 6 months. Prior to the start of that operation, Ukraine had the largest standing army in all of Europe. That army had been trained by NATO for ten years, and in less than six months, the Russian Army has basically chewed it up and spit it out.
Ukraine is now losing the war very badly, and has absolutely no chance of winning . . . at all.
Their only hope is to have something take place that will bring NATO into the fight. Ukraine is not a member of NATO, yet NATO/US/EU are inextricably intertwined in the war, supplying Ukraine with money and all manner of weapons and intelligence.
It is clear by Monday's announcement, that Ukraine plans to attack Russian Crimea, which will likely result in an utterly massive Russian response. Perhaps so massive that NATO uses it as some sort of excuse to get involved.
The trouble with that is simple: At the beginning of Russia's Special Military Operations, Russian President Vladimir Putin made clear in public remarks that he knows Russia's conventional forces do not compare with NATO; that NATO is superior. He also went on to say publicly that "Russia is also a nuclear power, and many of [Russia's] weapons are superior to all other countries" He went on to say, "If NATO declares Article 5 (collective self-defense) against Russia, "it will be a war that no one will win."
As all educated readers know, the ONLY war that "no one will win" is a nuclear war.
Now that Ukraine is openly telling people in Crimea to build bomb shelters, it is clear Ukraine is planning on attacking (Russia) territory - Crimea- and that will be a massive escalation in the fighting taking place in Ukraine. The world is literally on the precipice of actual nuclear war.
Sadly, the mass-media in Europe and in the United States is not covering these developments very well, and the general public in both Europe and America remain blissfully unaware that we are facing an actual nuclear war,if indeed Ukraine attacks Crimea possibly within weeks.
Nchi za Middle East vigumu kuwa na amani ya kudumu, hizo nchi zinanafikiana. Saudi Arabia hapo haiipendi Qatar ila haina jinsi, few years ago iliweka embargo ila uzuri Qatar ilikuwa na foreign reserve ya kutosha. Muslims Brotherhood wanaungwa mkono na Qatar ila hawapendwi na Misri na Saudi. Iran haipendwi na Israel na Saudi Arabia. Iraq inagombewa influence baina ya madhehebu mawili. Palestina imetekelezwa na serikali za Kila hadi flighhs za kwenda Israel zimeanzishwa. Mambo ya MENA magumuNdio nilitaka kumanisha Golan nasio Sinai ya misri, Mkuu unaujanja mwingi mno na unakwepesha mambo Ila ukweli nikwamba nchi za middle East zikiwa na amani na vita ikaisha pamoja na machafuko mbali mbali ndio utakua mwisho wa Hilo taifa feki la kiyahudi hapo middle East.
Hawa Wazungu wamegeuzwa kuwa Mazombie kiasi kwamba they don't see the danger ahead of them,very pathetic indeed.At the pathetic state of NATO is now the member state can't fight this war ...not unless they have a death wish ...Russia will grind them slowly ......Winter is Coming
Israel yupi ambaye asingeweza pambana na Syria. Syria huyu huyu ambaye hawezi zuia wahuni mtaani mpaka aitwe Iran na Urusi, Syria huyu ambaye Islamic State ilitafuta breeding ground ikampata yeye na Iraq kama nchi dhaifu ndio waanzie kujitanua.Kabla ya kilichosababisha machafuko SYRIA hao HIZBULLAH walikua wanapelekewa silaha na IRAN kupitia njia gani MKUU ambao waliweza kupigana vita na ISRAEL 2006
Kiufupi ISRAHELL anajipigia SYRIA tokea jamaa waanze kua na migogoro ndani kwao wala sio IRAN
Hapo jamaa waamue kupigana na ISRAHELL ama kupigana na wanaosumbua ndani
Kabla ya kilichotokea 2011 ISRAHELL asingweza kupambana na SYRIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Russia ilipofanya evacuation kutoka Kyiv ilisemaje na muda huo mazungumzo yalifanyika. Case kama hiyo inaweza tumika.Okay, kwa hiyo wawapatanishe patanisheje kwa mfano?
Israel sio kwamba ni mbabe wa yeyote dunia hii wala hatunishiani misuli na mtu. Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake ambapo kama hamuwezi kubaliana kwa jambo basi mtashindana, watu hawawezi kufanya makubaliano kisha tuseme mmojawapo anaomba ruhusa.
Sielewi hiyo surveillance aircraft ya Russia ilishindwaje kuona air defence system zimekuwa activated wakati ni mojawapo ya kazi yake. Hata fighter jets tu zinakuwa na radar receivers kama hizo za Israel zilivyoweza tambua
Naomba nitofautiane nawe kwenye Ukraine kukaza kichwa, maamuzi ya kumaliza huu mgogoro kwa upande wa Ukraine hayako kwa Zelensky bali kwa Mabwana wakubwa zake kule Washington ...na hao tayari wamesha invest kiasi kikubwa mno kwenye hii project na ndio wanaokaza vichwa ....Waliwekeza wakiamini kuwa Ukraine hatimaye ingemdhibiti Mrusi na nia zao ovu zingetimia ..lakini mambo yamewaendea kinyumeKumbuka Russia ilipofanya evacuation kutoka Kyiv ilisemaje na muda huo mazungumzo yalifanyika. Case kama hiyo inaweza tumika.
Ili Russia ikubali upatanishi inabidi ipate sababau ya kuondoa kuonekana imeshindwa. Ili Ukraine ifikie hatua hiyo inabidi ishinde counter offensive kadhaa na ionekane ina uwezo wa kupigana zaidi. Sasa hivi wote wanakaza vichwa
West wamemuweka Kibabu ili wapitishe mambo yao ...hebu vuta picha angekaa Trump pale DC ....tusingekuwa na hii thread sasa hiviDementia Biden hawezi atakufa
Ukraine inapewa silaha ili pamoja na mambo mengine liwe fundisho kwa Russia kwamba hatoweza msumbua jirani yake mwingine.Naomba nitofautiane nawe kwenye Ukraine kukaza kichwa, maamuzi ya kumaliza huu mgogoro kwa upande wa Ukraine hayako kwa Zelensky bali kwa Mabwana wakubwa zake kule Washington ...na hao tayari wamesha invest kiasi kikubwa mno kwenye hii project na ndio wanaokaza vichwa ....Waliwekeza wakiamini kuwa Ukraine hatimaye ingemdhibiti Mrusi na nia zao ovu zingetimia ..lakini mambo yamewaendea kinyume
Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaUnaongea tu pumba wala ujafatilia tukio vizuri.ndege ilikuwa inarudi kutoka kwenye mission.kwa iyo walikuwa wanajiandaa kutua.ghalfa wakapata warning ya kuwa wameingia kwenye target ya anti air missile(kumbuka ni kitu ambacho awakukitegemea maana wanajua wapo eneo salama)
Trump angefanya nini? So far mfumo wao wa kimaamuzi haumtegemei rais wa nchi sana. Sana sana bunge la senate.West wamemuweka Kibabu ili wapitishe mambo yao ...hebu vuta picha angekaa Trump pale DC ....tusingekuwa na hii thread sasa hivi
Hawa washenzi wamekua hawana tofauti na MBWAView attachment 2348747Ona Pro NATO mlikofikia na mahakama zenu