"No sustainability" hii ni unategemea advance ya ukraine itarudishwa tena au ni wamesharudishwa? Na unakubali kwamba Ukraine wame rudisha baadhi ya maeneo.Katika NGUMI mara chache utashinda bila kupigwa hata kangumi kamoja . Ukweli ni kwamba offensive imefanyika kwa mtindo wa wapiganaji wa karne za kina Daudi na Goliath. Yaani askari wengi kwa maelfu na mafarasi yanamfuata adui na mishale majambia . Ndicho alichoganya zelensky . Hapo ni wazi wengi watakufa na kujeruhiwa lakini pia kwa wingi wao na masilaha yao wataweza kuuwa na kuteka ingawa kwa vita vya kisasa ukienda mtindo huo utapata mafanikio ya kuingia kilometer 10 kwa masaa machache na unaweza rudiahwa km mia mbili baada ya muda machache maana hukuacha mistari ya defense nyuma yako. Hii ndio hadith ya Kherson . No sustainability
Root,unatusumbua sana aiseeKharkiv pamoto sana muda huu
Mimi nililitegemea tamko hili.Wazee wa price cap munasalimiwa na boss wenu anayewaweka mjini
Putin : We will not supply anything to anyone: neither gas, nor oil, nor coal - if it is unprofitable for us.
Duh,nimeipenda sana hii[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ukraine imeweza songa mbele km 50 ndani ya masaa 24
Kikubwa SI wanasonga mbele hata kama hayo maeneo hayajulikani?[emoji848]Unaweza taja maeneo waliyosonga Mbele?
Maana Zelensky amesema kwa sasa hayo maeneo "hayajulikani"
Wewe na Zelensky tumuamini Nani? View attachment 2350301
Mimi sihusiki kuwapa majibu, wao watafutw vyanzo vyaoKikubwa SI wanasonga mbele hata kama hayo maeneo hayajulikani?[emoji848]
Unaweza kufika kwenye eneo fulani ukadumu kwa muda ule wa mapigano na ukafurushwa kabla ya KUWEKA base ."No sustainability" hii ni unategemea advance ya ukraine itarudishwa tena au ni wamesharudishwa? Na unakubali kwamba Ukraine wame rudisha baadhi ya maeneo.
Ule wa $60 bil umeshateketezwa.Marekani ameshatangaza mzigo mwingine wa Dola billion 2 huko..,huu mchezo hauitaji hasira[emoji12]
Chanzo; dw kiswahili
Mimi sio Muislam.wazee wa kazi
From Grozny, soldiers of 2 elite special forces flew out from Grozny to the special operation zone - the "North" regiment and the "South" battalion of the Russian Guard.
In the ranks of the allied troops, they will carry out the tasks set by the President of Russia V. Putin, R. Kadyrov said.
View attachment 2349139
Bila shaka, silaha zinaletwa Ili zitumike mkuu, haijalishi zitatumikaje,iwe ni Kwa kuteketezwa,kutekwa na adui..au kumshambulia adui adi zikaisha..hiyo ndo kazi ya silaha,Ule wa $60 bil umeshateketezwa.
Badae wasije laumu ooh rusia makatiliSubiri majibu yake hapo wanawekwa kwenye mfumo
Kwa hiyo mizigo ya awali imeisha....na huu wa Sasa utaisha pia na inayofuatia nayo itaisha Tena na Tena...SMO was and/or is strategically planned...Marekani ameshatangaza mzigo mwingine wa Dola billion 2 huko..,huu mchezo hauitaji hasira[emoji12]
Chanzo; dw kiswahili
Tusubirie Mariupol nyingine upande huoUkraine imeweza songa mbele km 50 ndani ya masaa 24
Nilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.Mimi sio Muislam.
Lkn navutiwa sana na nchi ya Urusi,
Kuwa ndani ya jeshi Kuna vikosi vya askari ni waislam kwa 100%
Na wanapiga kazi bega kwa bega na vikosi vingine.
Utulivu na amani ndani ya jeshi la Urusi ni akili hekima na busara za Putin.
Rais mwenye akili kuliko Marais wote wa NATO na west.
Nadhani hayo ni ya baadae ni kusubiri kuona vinginevyo unazungumzia mtazamo wako na si uhalisia wa mambo.Unaweza kufika kwenye eneo fulani ukadumu kwa muda ule wa mapigano na ukafurushwa kabla ya KUWEKA base .
Silaha zipo kwa ajili ya kutumika bwashee,Kwa hiyo mizigo ya awali imeisha....na huu wa Sasa utaisha pia na inayofuatia nayo itaisha Tena na Tena...SMO was and/or is strategically planned...
Kumbe vita bado inaendelea tu. Nilikuwa porini nachoma mkaa, nikajua Russia ameshaipiga Ukraine siku nyingi na sasa anaimiliki. Kumbe bado anapambana tu. Russia anaweza kuipiga hata North Korea kweli? Atachezea kichapo kibaya sana kwa kiduku. Ka nchi kadogo km Ukraine anakashindwa. Hii vita Russia alikurupuka 100%Badae wasije laumu ooh rusia makatili