Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Ohh mkaa nyie ndo mnaoharibu mazingira na umeamua kujitangaza kabisaNilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Nimeamini hakuna mbabe wa vita hapa duniani.
Ukraine Ni nchi ya pili kws ukubwa kieneo katika bara ulaya. Unasema nchi ndogo kweli?Kumbe vita bado inaendelea tu. Nilikuwa porini nachoma mkaa, nikajua Russia ameshaipiga Ukraine siku nyingi na sasa anaimiliki. Kumbe bado anapambana tu. Russia anaweza kuipiga hata North Korea kweli? Atachezea kichapo kibaya sana kwa kiduku. Ka nchi kadogo km Ukraine anakashindwa. Hii vita Russia alikurupuka 100%
Ni jambo la kawaida kwenye uwanja wa vita.Kharkiv nafikiri ndo sehemu iliyodondoshwa mizinga mingi kuliko mkoa wowote ule Ukraine kwa sababu WARUSI wanatoka na kuingiaSasa kwanini maeneo mlishakalia mnayaachia au mmeyachoka mnataka kubaki Crimea
Umepita mle mle mkuu [emoji2][emoji2]Ni sawa na kumkamia sana mwanamke huku umepanga utamkomesha kwa kumpiga paipu za kutosha mpaka ashindwe kutembea.
Siku ya mechi, hautaki hata kumuandaa mwanamke, unachomeka. Unapiga tak tatu wazungu haooo, hapo kwanza mwanamke hamu ndiyo imeanza. Unajifuta, huku unavuta hisia kali huku unasugua mashine kwenye kichwa.
Unakunywa maji mengi huku unawaza imekuaje. Inasimama huku imelegea, unamvuta mwanamke haraka haraka ili isilale. Unaweka chapuchapu. Unapiga tak 5 wazungu haooo.
Unaanza kumwambia mwanamke hukufanya muda mrefu, uliumwa siku mbili zilizopita na sababu zingine nyingi.
Ndicho kinachomtokea Russia kwasasa sababu nyingi mara ni small military mara ni operation ndogo. Hii vita Putin alikurupuka na aliikamia 100% kwahiyo ili kutohaibika visingizio vimekuwa vingi.
Twende nao taratibu mkuu utafika wakati wataongea ukweli tu japo watakuwa wanyonge sana[emoji12]Wakuu vunjo , mtarimbo na kp kipanya44 kwanza Pro russia wengi naona wameanza kukubali maeneo yameenda ila wanasema Ukraine hana muda atayaachia. Wameanza kazi ya shekh yahaya kutabiri.[emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ukraine inazidi kusonga mbele
Mbona ume-reply kwenye video game Sasa[emoji2]Russia ame re allocate troops from Kharkiv to Kherson kwaiyo Russia anasonga Kherson NIKOLAEV na HAWA wameenda kucover maeneo aliyotoka Russia. Kharkiv haina strategic importance km Kherson NIKOLAEV kuelekea I love Oddessa
Wanatia huruma sana [emoji26][emoji26]Tazama video edited za computer lab zinaonesha warusi wametekwa wanalia kama watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha!Hao mateka wachunwe ngozi wakiwa hai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635]
Mzee wa kulishwa tango pori... Huyo vunjo na kp kipanya ni wehu. Wanavyoleta video, ziwe za kweli au uongo utafikiri russia wao wamekaa tu wanasikilizia kipigo. Wanajibu tena zaidi ya mara 10 yao. Na ushahidi mkuu mixx anauweka hapa toka kwenye vyanzo vya kuaminika. Hii one sided story ni kujidanganya tu. Na taarifa zao ni kutoka kwenye visite vinavyoegemea ukraine. Unaweza kuta page 2 ni wao tu wamejaza video na vicomment vya mipasho. Dunia nzima, inajua na kutambua kuwa Ukraine haitakaa iweze kuishinda russia kwa jambo lolote.Wakuu vunjo , mtarimbo na kp kipanya44 kwanza Pro russia wengi naona wameanza kukubali maeneo yameenda ila wanasema Ukraine hana muda atayaachia. Wameanza kazi ya shekh yahaya kutabiri.[emoji23]
Ushaid gan unataka sasa ,anzisha chombo chako basi ili watu wakuamin
Urusi ina ushaid gan imewafurumusha Ukraine au ushaid gan uliopo kwamba Ukraine hawajasonga mbele.
Hahahaha Leo umekubali kwamba wanakomboa maeneo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Ukraine wametumia akili kubwa Sana walichofanya ni kwambaRussia ame re allocate troops from Kharkiv to Kherson kwaiyo Russia anasonga Kherson NIKOLAEV na HAWA wameenda kucover maeneo aliyotoka Russia. Kharkiv haina strategic importance km Kherson NIKOLAEV kuelekea I love Oddessa
Putin is fighting the US,NATO, Europe and Ukraine!You believe fighting all those countries is a simple task?No friend.Infact Russia has indeed proved that it is a super without any shadow of a doubt.Usimlaum sana Putin mkuu,hata yeye alitamani amalizane na Ukraine angalau ndani ya siku 3,akatumia asikari wa parachute waliokuwa wanashuka kama mvua mjini Kyiv
Lakini mambo hayakwenda kama alivyopanga..,ndoto ya Putin ya kuionyesha dunia kuwa yeye ni super pawer kwa kuitiisha Ukraine ndani ya saa 72 ilizimika kama moto wa mshumaa,
Wewe taarifa zako unazitoa wapi?Mzee wa kulishwa tango pori... Huyo vunjo na kp kipanya ni wehu. Wanavyoleta video, ziwe za kweli au uongo utafikiri russia wao wamekaa tu wanasikilizia kipigo. Wanajibu tena zaidi ya mara 10 yao. Na ushahidi mkuu mixx anauweka hapa toka kwenye vyanzo vya kuaminika. Hii one sided story ni kujidanganya tu. Na taarifa zao ni kutoka kwenye visite vinavyoegemea ukraine. Unaweza kuta page 2 ni wao tu wamejaza video na vicomment vya mipasho. Dunia nzima, inajua na kutambua kuwa Ukraine haitakaa iweze kuishinda russia kwa jambo lolote.
US na EU na Nato yao wamepiga hesabu zao vibaya. Matarajio yao ni kilichotokea ni mbingu na ardhi.
Ukraine inapigana na Russia,China,iran,Belarus and North KoreaPutin is fighting the US,NATO, Europe and Ukraine!You believe fighting all those country is a simple job,no friend.Infact Russia is indeed a super power.The ongoing war between Russia and Ukraine has proved that.
Ndio nini sasa umeandika/unasema? Tuedit ili nini? Lala tu ndugu yangu.Wewe taarifa zako unazitoa wapi?
Kwanini na nyie msiedit hizo videos[emoji3]?
Unataka kunambia kua team Russia hamuwezi kuedit hata video moja ya hypersonic inatua kyiv mnazidiwa hadi na bongo movie[emoji1][emoji1]