Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ni mimi muhanga wa TOZO.Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.
Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.
Ni mimi muhanga wa TOZO.
Usikute mmoja ana msugua mwenzie hawa ni wajaa laana.Acha Putin awa peruse tuu
Kwani mkuu wewe mbwembwe za s300 na s400 bado unazisikia?
Vietnam ilimdunda Marekani.....wachunga mbuzi wa Afghanistan nao walimdunda Marekani...au unasemaje Ndugu?!?! Halafu taifa pekee lililowahi kutumia silaha za nyuklia mpaka Sasa ni Marekani huko Japan...na taifa lililowahi kutumia silaha za sumu kwa wingi ni Marekani huko Vietnam kwa kutumia napalm....Marekani ni taifa ovu na la kishetani...Na ndo maana kila kukicha wanatishia kutumia nyuklia. Tulikua tunasema humu kila siku kwenye convectional war hakuna wa kumdunda Marekani kwenye dunia hii bado hajatokea.
Wewe Ndugu yangu endelea tu kuwa 'muhanga wa tozo'Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.
Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.
Ni mimi muhanga wa TOZO.
Duh....Yaani wewe Ndugu unataka kutuaminisha Nini?!?! Yaani eti Russia asijue mbinu hizo na wewe huku bongo ndiyo uzifahamu?!?! Duh...Bro Russia waliingizwa Chaka Ukraine ilitangaza counteroffensive kherson Russia ikajaza wajeda kherson.Ukraine imeanza na kaskazini.
Hahahaha.... "bringing down HIMARS rockets like flies" wakati maghala yake ya silaha kila siku yanalipuliwa na hizohizo HIMARS. Madaraja na pontoon bridge ambazo kila akijaribu kujenga apitishe supplies zinalipuliwa na HIMARS halafu Leo unakuja kuzihype hzo obsolete defense system!!!!Hivi unafikiri ni air defense system zipi zina zina sweep out of the sky majority of HIMARS rockets ie by bringing down HIMARS rockets like flies.
Si hilo tu hata AGM-88 High Speed anti radiation missiles designed to destroy Russian integrated air defense system radars, they too have been intercepted and destroyed at a lightening speed by no nonsense S-400, actually it has already been proven that actually AGM-88 have been hyped all along by western media, but inside the hood AGM rockets have failed miserably to live up to US Military and potenial buyers expectations - Russians have already figured out how to neutralise them in mid air - nawakumbisheni mara kwa mara kwamba Russia kitu ingine, believe it or not - up2U.
Hv kati ya wewe na mimi (sisi) nani alompa hizo sifa alonazo RUSSIAHata uwezo tuliokuwa tunaamini wanao bado tulikuwa tunazidisha
Duh[emoji848]Silaha ambazo Ukraine anazipata kutoka Urusi zimekuwa nyingi na zitamsaidia sana maana anapata artillery shells nyingi..
Pia yaonekana wanajeshi wengi wanakimbia au wanajisalimisha, maana si kwa silaha zote zile...
Nione na mimi.Silaha ambazo Ukraine anazipata kutoka Urusi zimekuwa nyingi na zitamsaidia sana maana anapata artillery shells nyingi..
Pia yaonekana wanajeshi wengi wanakimbia au wanajisalimisha, maana si kwa silaha zote zile...
Hahahaha.... "bringing down HIMARS rockets like flies" wakati maghala yake ya silaha kila siku yanalipuliwa na hizohizo HIMARS. Madaraja na pontoon bridge ambazo kila akijaribu kujenga apitishe supplies zinalipuliwa na HIMARS halafu Leo unakuja kuzihype hzo obsolete defense system!!!!
Ukraine juzi imekiri kuishambulia Saki airbase pale Crimea kwa maroketi na Makombora,hizo S300 na s400 zilikua wapi?! Embu fikiria kambi kubwa kama Saki inapigwa Makombora na kuharibu ndege za kijeshi karibu kumi. Tatizo unasikiliza Sana daily briefing za warusi maana siku hizi kila wakitoa lazima waseme wamedondosha Himars wakati mambo Kwa front lines ni tofauti.
Nina video air defenses za Urusi zikihangaika kudaka Makombora ya HIMARS lkn zikashindwa,Yani walirusha Makombora 24 kudaka Himars 6 tu.