Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Russian T-90 Tank Crews Capture Ukrainian Weapons & US-Made Equipment
The Ministry of Defense has published video of Russian tank units in action.
As a result of the combat work of T-90 tank crews together with motorized rifle units, three military vehicles were destroyed – two Ukrainian tanks and one US-made M113 armored personnel carrier.
Subscribe to RT
Propaganda hiyoWazee wa Propaganda au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amkeni warusi[emoji2957]View attachment 2353773
Zelenksy kahukumiwa kunyongwa had kufaPropaganda hiyo
Warusi wamefika hadi Kyiv na Putin ndo Rais wa Ukraine
Sasa naanza kuelewa kwa Nini Zelensky anasemaga hii Vita ikienda hadi winter Basi Ukraine watakuwa wameshindwa.Ukraine ipo gizani baadhi ya miji baada kituo cha umeme kulipuliwa na walume ndago [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The blackout occurred in Ukraine after the incident at the Kharkiv CHP-5.
There is information that electricity was lost in Poltava, Kremenchuk, Kharkiv and Odessa.
There is no connection and there is a railway connection.
[emoji3502]Kharkiv CHP-5 is one of the largest thermal power plants in Ukraine.
Subscribe to @SputnikView attachment 2353891
Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.Ukrops are saying Russia started hitting critical infrastructure, no electricity in multiple cities.
Unajua nilikuwa najiulizaga ni kwa Nini Russia hajawaigi kutuma mabomu kwenye key infrastructures Kima umeme, maji, telecom, government buildings, etc.Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.
Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.
Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.
Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Kwa alichokifanya Russia wanalo!Sasa naanza kuelewa kwa Nini Zelensky anasemaga hii Vita ikienda hadi winter Basi Ukraine watakuwa wameshindwa.
(Uwaga anasemaga Ukraine inabidi ishinde hii Vita kabla ya kipindi cha winter)
Huyu kweli ndo super pawer wa mchongo, wengine photocopy [emoji12][emoji12]Wanakimbiana huku kipigo ni kikali sana
Can you imagine walishindwa hata kuamini Kharkiv kutakuwa na offensive, wakati huo wimbo NAFO tulikuwa tunashinda nao. Na walikuwa wanaona preparations tangu July wakajiandaa uko, baadae Ukraine ikaona haiwezi kuwapiga na defensive lines zao uko, ikashambulia madaraja ya Kherson kisha ikatangaza raia wake waondoke, Urusi ikakurupuka ikahamisha majeshi kuyapeleka uko. Walipofika uko Ukraine ikamalizia madaraja, sasa wanavuka kwa pontoons ambazo nazo zinashambuliwa.
Ukraine ikashambulia Kherson inafanya attrition waishiwe nguvu. Kisha ikashambulia Kharkiv inapeta kiurahisi defensive lines ziko weak mpaka wanafikia kumkamata huyo tujue ilikuwa ghafla na walienda kwa kasi upinzani ni mdogo. Makamanda wa superpower wanatumia akili zao wenyewe
Mie ningekuwa yule Zelensky..nisingekubali kupigana hii vita, ningekuwa mnafiki tu..kuingia hata mkataba wa uongo wa kutojiunga NATO etc.....France kwenye vita ya pili pamoja na ubabe wake, ilipopima maji cha Ujerumani na Hitler yake ilisalimu amri mapema sana 1940-mwanzoni kabisa kwa vita...walijifanya wanyonge na ilisaidia sana kupunguza maafa kwenye nchi yao....wamekuja kuingia baadae 1944 huko baada ya Ujerumani kuwa na hali ngumu.....Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.
Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.
Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.
Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Kwani hizo HIMARS zimekomboa vijiji vingapi mpaka Sasa [emoji1787][emoji1787]Miji inazidi kurudi pigeni tu kelele za kujifariji
Huyu kweli ndo super pawer wa mchongo, wengine photocopy [emoji12][emoji12]
Naomba wote tuwe hapa kwenye uzi kama tuliyokuwa tumehamasishana kukaa kwenye uzi tangu offensive ya Ukraine ilivyoanza.Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.
Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.
Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.
Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
Hapo wahame labda pakipambazuka ila kwa usiku wa leo sijajua watafanya nini!Unajua nilikuwa najiulizaga ni kwa Nini Russia hajawaigi kutuma mabomu kwenye key infrastructures Kima umeme, maji, telecom, government buildings, etc.
Kumbe haya Mambo yanaendaga kwa phases.
Sasa hapo Kama Wananchi wana akili inabidi wahame hayo maeneo haraka Sana...
Ukraine wanasema walijishusha miaka minane wakitumia Minsk Agreement huku wakijiandaa kwa vita. Kwa kifupi walifuata ushauri wako.mwingine...kujishusha na kuwa walaghai is better huku ukitafuta muda sahihi...
"Counteroffensive, but at what cost?"Su-34 imeshushwa huko Izium.
Jamaa kabinywa kila mahali kuanzia angani mpaka ardhini