Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Huwezi toa hoja bila ya kutukana?Gharama ya kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme, mtambo wa kuzalisha thermo power, miundombinu ya maji na mawasiliano ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifaru kimoja!!!
Hivi wewe jamaa una akili kweli?
Hivi unaweza kulinganisha hasara ambayo Ukraine imepata kwa kupoteza hiyo miundombinu kwa pamoja na hasara ya Russia ya kupoteza kifaru kimoja
Mpumbavu mkubwa wewe
Source!?Manaibu 18 mjini Moscow na St. Petersburg wamesaini kumtaka Putin ajiuzuru, umeona hilo?
Putin kashapata kibarua cha kuua watu wake wengine
Huu mgogoro kuna point inaweza fikia huko.
Wewe jiulize, Europeans countries ingawa baadhi ya nchi zina reserve ya gas lakini wanaiogopa winter. Sasa hii Ukraine ambayo haina reserve ya gas itaweza ku survive vipi.
Russia agonge Infrastructures za maji, apige infrastructures za umeme, apige infrastructures za gas... Hapo unadhani Nini kitatokea wakati wa winter...
Hizo ni square kms L x W SASA hapa hadi mwanza ndio kitu gani.Km 8300 ni kama kutoka Mwanza kwenda Dar mara nane. Basi Ukraine ni kubwa zaidi ya Afrika.
Muwe mnajiongeza unapoongea na sisi
Hayo sini maoni ya watu kadhaa MKUU kama upendavyo kusema ama!!?Manaibu 18 mjini Moscow na St. Petersburg wamesaini kumtaka Putin ajiuzuru, umeona hilo?
Putin kashapata kibarua cha kuua watu wake wengine
MkuuAcheni kutishia watu na ujinga wenj wa winter. Hii haitakuwa vita ya kwanza duniani kupiganwa kwenye winter. Tangu karne na karne vita zimekuwa zinapiganwa kwenye winter. Hapo mwaka 1939 tu kwenye Winter War, Finland iliyokuwa na watu milioni 4 na bila gesi walikiwasha vibaya sana na USSR yenye watu milioni 170 ilipowavamia.
Hizo ni square kms L x W SASA hapa hadi mwanza ndio kitu gani.
Source not authentic.Sasa kulikuwa na umuhimu gani jana mmelipua leo 80% wamerudisha umeme na maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2354298
Huyo moderators wameshampa anachostailiHuwezi toa hoja bila ya kutukana?
Mnalipwa ni nani mpka mtukanane.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app