permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Ile judgement day ikiwa Crimea itashambuliwa iliishia wapi, huyu ni Mandonga mweupe.[emoji736]If these imbeciles continue pumping the Kiev regime with the most dangerous types of weapons, then sooner or later the military campaign will move to another level. Everything will catch fire around them. They will literally have the earth burning, concrete melting. - Medvedev.
FactKwa hiyo kununua ndio kutegemea!? Ebhana tafsiri zenu za maneno sijui mnazitoa kwenye kamusi zipi!
Kwa hiyo Us akinunua injini za roketi kutoka russia tuseme us anaitegemea Russia!?
Mazoea hayabadili uhalisia. Suala la china kuingilia anga la taiwan (nchi huru) ni kosa na uchokozi hata kama angekuwa na kawaida ya kuingia mara milioni. Hizo ni dalili za kutaka kulianzisha.
Mkuu Ukubwa na nguvu wa russia ni intrinsic. Hautegemei sijui nani afanye au asifanye nn. Na ndio maana ya ukubwa wa uhakika. Putin kupokelewa na PM hakumpunguzii chochote. Hata asing4pokelewa kbs. Bado atabaki kuwa ndiye putin raisi wa urusi inayopigana na nato na inashinda. Mf. Joe Biden ndio 'the most powerful man on the planet' kwa hiyo siku akija tz akapokelewa na mpango ndio kitakuwa kimepungua nini kwenye ukubwa na nguvu za marekani!? Make it make sense budda
SafiThank you NATO View attachment 2360233
Safi saanaTazama move ya Ukraine frontline hadi raha wanajiamini kabisa wako vizuri
Ni kweliRussia yupo mbali ya US lakini cha ajabu huo umbali wake hatuuoni kwenye uwanja wa Vita pale Ukraine tena Ukraine ikiwa na silaha za zamani toka Marekani.
Air defense systems za Russia zimeshindwa kabisa kuzuia vikombora dhaifu kama M31 za Himars. AGM 88 HARM zinabomoa Rada za Urusi mpaka kufanya ndege za Ukraine kuanza tena mashambulizi halafu Leo unatuambia Yuko mbali ya USA?! Seriously?!
Hiyo habari ya Donald cook ni fake news ambayo ilianzishwa na vyombo vya habari vya Urusi na Marekani ilisha itolea ufafanuzi! Hivi kama hiyo Khibiny inaweza kuzima Meli nzima kwanini isizime vikombora vya Ukraine,juzi hapa nilipost picha ya Su-30 imetunguliwa Kharkiv ikiwa na huo mfumo WA Khibiny ambao Ukraine waliondoka nao baadae,sasa kwann hiyo ndege haikuzuia hiyo ant aircraft missile Kwa kuijam?!
Moskva ilizamishwa Kwa Makombora ya Ukraine huo mfumo ulikua wapi kujam hayo Makombora?! Achana na propaganda za Urusi kubrand silaha zao kwenye TV na magwaride lkn zikija kwenye battlefield zinakalishwa,Israel kila siku inaingia na kutoka Syria kama chooni lakini air defenses za Urusi zipo tu!
Bayraktar drones zimelipua Mifumo ya Ulinzi ya Pantsir kuanzia Armenia, Syria,Libya,Ukraine...
Well ukraine was poor defencively. Wanachofanya ni kupokea silaha kokote watakapopata, even if zinatoka kuzimu. They want to defends na kuchukua maeneo hayo hawana options.POOR UKRAINE
President of Ukraine Volodymyr Zelensky, having agreed with the United States on the supply of weapons under lend-lease, agreed to give the West part of the territories of his country as payment. Writes about it Spanish news site Rebelion.
A serious threat to the sovereignty of this European country is materializing, and this, no doubt, will mean that in order to facilitate the payment of the debt, which will become unworkable, the Ukrainian authorities will have to provide their territory to the location of US and NATO troops. Proof of this is the signing of the lend-lease law by US President Joe Biden," the website says.
It is noted that the North Atlantic Bloc, led by Washington, turned a similar scheme with Germany after World War II, building military facilities in Berlin-controlled territories on extremely unfavorable conditions for the German authorities.
"Ukraine is digging its own grave, showing that it is on the way to becoming Washington's main front man in Europe, to become the spearhead of the interests of the energy lobby and the country's military-industrial complex," the author of the article concluded.
Well ukraine was poor defencively. Wanachofanya ni kupokea silaha kokote watakapopata, even if zinatoka kuzimu. They want to defends na kuchukua maeneo hayo hawana options.
Long shot...90% FULL
German gas storage 90% full ahead of winter despite Russian cuts
German Economy Minister Robert Habeck said Germany has a chance of getting through the winter "comfortably" despite the lack of Russian gas. Germany is on track to meet a 95% storage capacity target by November.
Gas storage facilities in Germany are more than 90% full, according to data released by the Aggregated Gas Storage Inventory (AGSI), a European energy data platform.
The German government has planned for 95% of storage capacity to be filled by November. The storage is seen as essential for Germany to get through winter without Russian gas imports.
"If everything goes well, savings in Germany are high and if we have a bit of luck with the weather, we will have a chance at getting through the winter comfortably," Economy Minister Robert Habeck said on Monday.
German gas storage 90% full ahead of winter despite Russian cuts | DW | 20.09.2022
Tuliwaambia warusi wa humu kwamba nia ya Watu wa magharibi si ushindi, bali ni kuweka mazingira mazuri kwa Ukraine wakati wa mazungumzo - Putin hana njisi nyingine zaidi ya kukaa mezani.Turkey's President Recep Tayyip Erdogan told PBS that Vladimir Putin is willing to talk to Ukraine after Kyiv's lighting counteroffensive pushed Russians out of Kharkiv Oblast.
Erdogan said he "asked (Putin) to return Crimea to its rightful owners."
Kaka mchina ni mchina tu, unavyowaona wachina wa bongo ndiyo hao hao wa huko uchinani, ukitaka kuona mchina ni balaa mkamatwe na police - ha ha hapro ukraine huko telegram wanadai huko kwe mkutano wa SCO president wa china hakutak kabisa kumention issue ya ukraine walipokutana na putin, pamoja na kuwa putin alisema anaelewa china ina wasiwasi na maswali kuhusu kinachoendelea ukraine but Xi hakutk kabisa kuiongelea ukraine,
Ni kweliiko ivo mkuu ,hio ndio demokrasia tunayohubiriwa kila siku
nakuhakikishia mpaka museveni aombe msamaha kwa mabeberu na akane urusi ,hilo bomba tusahau for now