Ha ha haaaa! Tupe somo, Mkuu. Masomo yenu ni muhimu kweli kweli kwetu. Maana mtatutoa kwenye kile wengine wanakiita kutokujua ukweli.Kumbe na wewe upo huko, pole!
Hakuna Cha nuclear Wala nini..,ni kumtembezea kichapo super pawer wa mchongo mpaka aombe poo [emoji90][emoji90]YETU MACHO TU
Biden said nuclear wars "can't be won" and the US is ready to negotiate arms treaties
Yaani mpaka hapo bado hauoni anayeumbuliwa!!! Ha ha haaaa! Mnayo lakini hamuoni.What a betrayal to ...
Fashisti dikiteta shetani wa urusi anazidi kupelekewa moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123][emoji120]Tazama unyama uliofanyika hapa daa hii hasara noma sana mrusi atoke tu hii vita hachomoki
Unadhani Russia hajui Kila kitu Cha USANa ndo maana Marekani anakuwa na kiburi sana, kwani anajua kila kitu
Kwa hiyo unadhani Russia haijui Kila kitu kuhusu USA?!Na ndo maana Marekani anakuwa na kiburi sana, kwani anajua kila kitu
Endelea na msimamo na pia uelewa huo huo kwamba Russia inapigana na ka nchi kadogo ambako ni Ukraine...teh tehyaaan taifa kubwa unapigana na ka nchi kadogo mpaka unaita jeshi la akiba
Putin alikuwa ni Jasusi wa KGB na sio mwanajeshi.Waliotakiwa kupanga mikakati ya kivita ni majenerali wake na sio yeye.Yeye amekuwa mtu wa kulazimisha mambo na sio kufuata ushauri wa wanajeshi.Matokeo yake imetokea wanajeshi wake wengi kufa wakiwemo na hao majenerali.Hata hili la kuita reservists nalo atapigwa za uso🤔View attachment 2363701
"Putin's speech is an escalation"
Russia will not be able to win in a nuclear conflict — NATO Secretary General
Russian troops are poorly equipped, they lack proper command and control
Putin miscalculated regarding Ukraine, he made a big mistake-Jens Stoltenberg
OKPutin alikuwa ni Jasusi wa KGB na sio mwanajeshi.Waliotakiwa kupanga mikakati ya kivita na majenerali wake na sio yeye.Yeye amekuwa mtu wa kulazimisha mambo na sio kufuata ushauri wa wanajeshi.Matokeo yake imetokea wanajeshi wake wengi kufa wakiwemo na hao majenerali🤔
Haya majambo hayaendi kama munavyo ama tunavyotakaWiki moja kabla, msemaji wa Putin alidai hivi: