Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Tukiwaambia watu Russia ni dude kubwa watakuletea mapambio embu fikiria kichwa kimoja kinafanya viongozi wote wa west wanaweweseka sidhani hata kama week hii watalala. Maana Putin anawapeleka mputa puta wameishia kulia lia wakitafuta huruma ya UN
 
Naona US nae anaingia mzimaaaa,hizi Switchblade 600 ni kamikaze drone na zina range kubwa zaidi kushinda switchblade 300

[emoji298]️ US orders kamikaze drones Switchblade 600 for Ukraine.

The Pentagon signed a $2.2 million contract for the kamikaze drones Switchblade 600 that will be later delivered to Ukraine, according to a document published by the U.S. Department of Defense on Sept. 20.

The Switchblade 600 drones have a flight range of 40 kilometers and can stay in the air for up to 40 minutes, according to Pentagon spokeswoman Jessica Maxwell.
 
Baada ya binti wa miaka 15 kuuwawa na askari wa nidhamu kisa hajafunika kichwa, maandamano na fujo zinaendelea nchini Iran. Ni kawaida ya Iran kuwa na maandamano na kisha kuyazima kwa nguvu ila wasiwasi wangu ni kwamba yatasambaa zaidi na yapate nguvu miji mingi.

Na nchi nyingi zinaitakia mabaya Iran. Ikitokea utawala wa sasa ukaondoka mambo mengi sana yatabadilika nchi ile
 
Ayatollah hawezi kukubali kuchomolewa pale,wako radhi waue hata nchi nzima lakini waendelee kutawala
 
Kauli ya Putin sio ya kubembeleza wala kulemba.

Turkey akitaka kuingia SCO ajitoe NATO.

Achague Sasa .
Nilisema ..tunakarbia TOTAL WAR....Urusi hajawahi KUFANYA Partial Mobilization tangu vita vya pili... Na alifanya Baada ya Churchill na Truman kumgeuka ..... wakaingia makubaliano... Na ujeruman..MIMI NAFURAHI SANA ... WAPIGWE NA WATAPGWA KAMA NGOMA .. KUNA RESERVE SOLDIERS 25M .. tunadraft 300,000 tu.
 
NATO STATEMENT

Russia cannot win nuclear conflict – NATO
21 Sep, 2022 15:49

NATO has told Moscow very clearly that Russia cannot win a nuclear war and has been amassing troops on its eastern border to “remove any room for miscalculation or misunderstanding,” the secretary general of the US-led bloc, Jens Stoltenberg, told Reuters on Wednesday

This is dangerous and reckless nuclear rhetoric,” he told Reuters editor-in-chief Alessandra Galloni on the sidelines of the UN General Assembly in New York. “He knows very well that a nuclear war should never be fought and cannot be won and it will have unprecedented consequences for Russia,” he added, referring to Russian President Vladimir Putin.

Asked what NATO would do in the event that Russia used atomic weapons, however, Stoltenberg said it “depends” on the circumstances, but that the bloc was very clear in their communications with Moscow that “a nuclear war cannot be won by Russia.”

“So far we are not seeing any changes in the nuclear posture” of Russia, he added, but NATO is “monitoring very closely” if that changes.

RT
https://www.rt.com/news/563266-nato-nuclear-war-russia/amp/
 
Ayatollah hawezi kukubali kuchomolewa pale,wako radhi waue hata nchi nzima lakini waendelee kutawala
Jeshi linaweza okoa jahazi. Revolutionary Guards ndio hasa wanalinda maslahi ya utawala ila military ipo kwa maslahi ya nchi. Iranians ni wagumu hawashindwi chochote.

Nina wasiwasi kuna mkono wa nje. Ile mikwara ya hakuna kuipa silaha Urusi naanza kuichukulia serious. Kwani mara ngapi raia wanauwawa na maandamano yanakuwa hamna
 
Kwa hichi kitendo cha Putin kuagiza wanajeshi wa akiba Sasa naamini ripoti ya Ukraine ya hasara aliyopata Russia kwenye hivi vita 🤔
 
Masahihisho kwanlivyosikia mie binti alizaliwa 2000
Hvyo yupo na miaka yake 22 kama sijakosea ama wao hawajakosea
Ila binafsi sijaunga mkono kabisa na hili lililomkumba huyo ke wamemnyima haki yake yakuishi bure
Mwisho :-haya maandamano hayajayafikia hata robo yale maandamano yaliotokea mwaka 2009 kama sijakosea baada ya Nejad kurejelea madarakani na naamini yalikua na mkono kutoka nje na yalishindwa kuleta changes TEHRAN
Sidhanii kwenye haya kama watafanikisha hilo ingawaje pia inawezekana ila acha tuone khatma ila kwaupande wangu sioni haya maandamano yakiiondoa sirikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ikawa kuna mkono wa nje ila unaona kabisa waandamanaji wamekuja kwa hoja
Ingawaje mambo kama yale huanza hv hv mwisho chali
Ila sioni maandamano yakiiangusha TEHRAN nchi bado ipo salama sana hata RAISI yupo huko UNGA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maandamano kama hayana mkono wa mtu si chochote wala si lolote. Iran kashazoea maandamano makubwa sana, tatizo hatujui lini yatafanikiwa. Sina uhakika ila nimesoma kwamba internet imeshafungwa.
Huyo binti naamini itakuwa kafa bahati mbaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…