LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huwezi kusema eti waukraine zamani walikuwa ni warusi, hapo unaonyesha ulivyo na uelewa mdogo sana wa mambo, ni sawa na kusema hapo zamani wanyamwezi walikuwa ni wasukuma sasa unaweza ukaulizwa imekuwaje leo wamekuwa watu wawili tofauti.

Huo uongo wa dikteta Putin kwamba kuna kipindi Russia na Ukraine walikuwa kitu kimoja unakanushwa vibaya sana na Ukraine na kwamba ni uongo unaotumiwa na huyo dikteta kuhalalisha uovu wake dhidi ya Ukraine.
 
Huyo ni Mnafki namba moja kuwahi kutokea. Anaweza kukuingiza cha kike ukashangaa. Pia hizi sanctions kuna za Ban na Suspended Pia kuna Public image.

Kwenye Public image kuna baadhi ya nchi zimetamka sanctions lakini majasusi wanakwambia services zinaendelea kama kawa.

Waliongea ili kuonekana wanaunga mkono hoja lakini nyuma ya pazia hakuna kitu cha namna hiyo, Tusiamini kila tunachokisikia..vingine hata ukivisikia ni vigumu kuviona.
 
Duh..eti kikao hakiusiani na kipigo

Sipati picha kipigo alichoshusha mrusi Allepo..agekishusha na Ukraine
Huenda ameamua kutumia nguvu ya wastani tuu ili kuepusha maafa kwa raia na miundombinu.

Ila bado maafa yapo....vita ni mbaya Sana kwa ustawi wa taifa na raia wake.......

Wanasiasa wanaotumbukiza mataifa yao vitani wanafanya dhambi na uovu mbaya.
 
Narcologist, psychiatrist, member of the National Drug League Vasily Shurov - about Zelensky's behavior:

We see very strange behavior. This can be alcohol intoxication, drugs, taking certain sedatives, tranquilizers or sedatives. Yes, it is similar to drug intoxication, because a person does not evaluate himself adequately. He came out in a very bad shape, speaks with a delay, forgets words, switched to some kind of slang.

This is a classic situation when a person has either used a sedative drug - and he, as they say, sticks, he is relaxed, and it is difficult to concentrate on a conversation. Or, after the psychostimulant stopped working, the number of neurotransmitters dropped sharply, then it is also difficult to maintain the desired level of activity.

Problems with understanding begin and we see the efforts that a person makes to understand. Moreover, you need to answer, and we see that there is no clear answer, but there is some kind of slang

Source: shot
Your browser is not able to display this video.
 
Huenda ameamua kutumia nguvu ya wastani tuu ili kuepusha maafa kwa raia na miundombinu.

Ila bado maafa yapo....vita ni mbaya Sana kwa ustawi wa taifa na raia wake.......

Wanasiasa wanaotumbukiza mataifa yao vitani wanafanya dhambi na uovu mbaya.
Ila mkuu nimegundua Marekani ni taifa moja lilijaa wana siasa wanafiki ebu ona hapa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
"He could not have done otherwise. He constantly told me: dad, I will never bend my knees to anyone in my life, I will never do that. I had him both as a friend, and as a son, and as a colleague. Of course , I would like him to stay, but, on the contrary, they buried me. Well, fate turned out that way "

The father of 25-year-old officer Nurmagomed Gadzhimagomedov, who died in Ukraine, proudly talks about his son. Yesterday, Vladimir Putin awarded the military title of Hero of Russia posthumously.

Nurmagomed grew up in the Kulinsky district of Dagestan, from early childhood he practiced karate and won championships. He graduated from the Ryazan Higher Military Command School of the Airborne Forces, was on two business trips in Syria. After that, he was appointed company commander. According to the officer's father, his son had about 100 subordinates. During the battle in Ukraine, he was seriously wounded. When he was surrounded by neo-Nazis, he blew them up and himself with a grenade.

 
Wajiangalie kisije kikawakuta kama kilichowakuta waasi wa Syria katika mji wa Aleppo, Aleppo warusi walipapiga mabomu mpaka pakawa panaonekana kama vile wakandalasi wameweka vifusi kwa ajili ya kuanza ujenzi
Ha ha ha umenichekesha kweli
 
Ukiona mtu humu ndani ana support NATO au US jua ni CCM uyo wameshazoea kuonewa. Mataifa mengi yameichoka US kama sisi tulivoichoka CCM
Duh!! Nadhani kichwani haupo sawa. Sera ya CCM ni ujamaa na kujitegemea.

Au hujui historia ya Tanzania!? Ebo
 
Ukiona mtu humu ndani ana support NATO au US jua ni CCM uyo wameshazoea kuonewa. Mataifa mengi yameichoka US kama sisi tulivoichoka CCM
Nitake radhi. Siwezi kuwa CCM na sishabikii Urusi ila naipenda sana Rusia.

Nilikuwa kinyume na wewe kwamba
Wanaoshabikia Rusia ndo CCM sababu Ujamaa na ukomunist ni wao.

Wapinzani wanashabikia USA kwa kuwa

Marekani wanahubiri demokrasia


Ni maoni yangu tu.

Ukweli napenda Urusi sio wachokozi bali ni

Peace makers

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kufa kufa tu.... Haina maana tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…