Hahhahhah kwani hayo maeneo hakuna watu au wanaume wa kuyalinda?lengo la malekani Lita timia lazima Russia ifilisiwe.Picha ya chini warussi wakiomba hifadhi uko georgiaPartial mobilization.. Kwa tafsiri rahisi kabisa ni kwamba baada ya kuteka na kuyadhibiti maeneo waliyayataka na yamepiga kura kujiunga na Urusi inabidi nchi iongeze human resources na material kulinda maeneo husika. Mnaotafsiri hii kama kufeli kwa operation nadhani mmeelewa vibaya
Bwana mdogo Nyani huoni kundulo! MamaeeeKipimo kipi kilikuonesha USA alikuwa akitetea raia wema!? You are stupid.
Na Kwa wakati huo wote hatukuwahi sikia USA anatishia Mtu nuclear, lakini Putin kapigana miezi 7 tu kaona pumzi inakata anatishia Nuclear [emoji38]Kwa ufupi.
Ilimchukua USA miaka ishirini kupigana Vietnam, wengi mpaka leo hawajui USA alikuwa anataka nini kwenye hio vita. Kwa ufupi alichokuwa anataka ni kutetea maslahi mapana ya wananchi wema wa Vietnam kama alivyofanya south Korea. Unakuta lijitu linacheka Marekani kutotimiza agenda zake Vietnam, laiti kama angejua ni bithaa, gadget za aina ngapi tumekosa: another Samsung, or LG dunia imekosa asingefurahia madudu yanayofanywa na mwadamu kwa kigezo cha sera za Ujamaa.
Je Urusi yupo tayari kupigana mda huo bila kutumia nukes?
😂😂😂😂😂😂 Daaah!!!!!Ni kweli Mrusi haijaanza kutumia Jeshi lake "Elite," hao inawezekana ni Mercenaries au Contractors Kama hiyo story ni kweli,maana it could be fake.
Na Russia amefanikiwa hapo kuona kwamba waRusi kama hawana shida ya kuishi Dunia ivi.kisaikolojia mtu anaye tishia ni mwoga.pia Russia inatumia vitisho Ili kufanikisha malengo yake.Putini kila siku nyuklia nani alimwambia nchi zingine hazina.Nahisi watanzania wengi hawajui geopolitics, kwa speech aliyotoa PUTIN leo ni hatar kwani NATO na EU wakifanya kosa kidogo tu tayari Dunia nzima inaangia kwenye WW3, na Tanzania hatutabaki salama asa kwenye upande wa gharama ya maisha.
Kama umesikiliza speech vizuri, PUTIN anaandaa hii mobilization sio kwa UKRAIN tu bali na kwa nchi yotote itakayo hatarisha wanajeshi wa urusi watakao kuwa kwenye russian occupied territories uko UKRAIN.
Na watu wengi hawana huelewa na neno mobilization, kwenye vita mobilization sio wanajeshi tu (Human Resources) bali ni wanajeshi na silaha hatari zote zinaweka standby kwa matumizi muda wowote na saa yoyote.
Mobilization maana yake vitengo vya usalama na ulinzi vyote vinakuwa kwenye high alert [emoji599] kwa vita kamili pale reconnaissance survey kwenye uwanja wa vita ikionesha hali ni ngumu zaidi ya ilivyotegemewa basi nchi inatumia chchte kilichopo ikiwemo nukes.
Ni jambo la kuomba huu mgogoro usifike uko kwenye WW3, maana nukes za Russia au NATO basi hata Tanzania hatutabaki salama, maana Russia hatanii linapokuja kwnye swala la kushindwa vita yaani hatakubali itokee yeye kuonekana kashindwa vita na western countries au Ukrain, na akiona hali ni mbaya basi atataka tukose wote ikiwemo kutumia silaha yoyote ya maangamizi ikiwemo nuke na nyingne.Watanzania haya mambo sio ya kushabikia ni tishio for human extinction.
Kuhendo na Kuingiza field ni vitu viwili tofauti mkuuMwamba kama mwamba nileteeni picha ya kiongozi yoyote wa west anayeweza kuhandle bunduki kama mzee Putin.View attachment 2363773
Jana wameachiwa hakuna aliye katwa kichwa1.Donbass na maeneo mengine ambayo hayakuwa kwenye mpango huo yatahamia Russia
2. Ukraine haijaingia NATO
3. Denazification imefikia asilimia 65% kukamilisha baada ya kukata kichwa cha Nazis walizokuwa AZov na kwenye mahandaki huko Mariopol.
4.Demilitarization hiyo imefanikiwa kwa asilimia 80. Kwa Sasa Russia ana demilitarize EU kwa kuunguza silaha wanazopeleka Ukraine . Si ulisikia EU wakilalamika kuwa stock Yao ya silaha inapungua na kasi ya kurudishwa silaha hizo ni Karibu na sifuri?
Leta hoja nyingine hapa ifanyiwe kazi.
Wabongo banaa.... Mimi naongea mambo ya hivi wewe unaleta mambo ya vile.. ni wapi nimeongelea kuhusu libya rudi shule kwanza ukajifunze kujibu maswali ya essay bila kuingia chaka.Endelea kudanganywa shekhe!! Na Libya kule vipi??
Mkuu tunajuaje kwamba hao ni Warusi na sio cooked stories?Mna bore kweli kweli,leteni taarifa ambazo mtu mwenye akili timamu akiisoma inampa majibu ya maswali yake.Hahhahhah kwani hayo maeneo hakuna watu au wanaume wa kuyalinda?lengo la malekani Lita timia lazima Russia ifilisiwe.Picha ya chini warussi wakiomba hifadhi uko georgiaView attachment 2364436
Ukiona Mwanamume unatajwatajwa hivi jua Kazi yako ya Kumbandua huyo akutajae kila mara imetukuka kabisa.
Tazama video na raia wanaandamana hawataki vijana wao na waume zao wakauliwe na Mobilization warAiseee huko Moscow ndege zinapishana tu angani watu hawataki kwenda kufa kwa upumbafu wa Mtu mmoja
Flights departing Moscow and St. Petersburg today. The @AP is reporting international flights departing Russia have either sold out or skyrocketed in price after Putin announced a mobilization of reservists.
Search SVO, VKO, DME for Moscow airports and LED for St. Petersburg.
Hakuna aliye nyongwa na atakaye nyongwa View attachment 23644591.Donbass na maeneo mengine ambayo hayakuwa kwenye mpango huo yatahamia Russia
2. Ukraine haijaingia NATO
3. Denazification imefikia asilimia 65% kukamilisha baada ya kukata kichwa cha Nazis walizokuwa AZov na kwenye mahandaki huko Mariopol.
4.Demilitarization hiyo imefanikiwa kwa asilimia 80. Kwa Sasa Russia ana demilitarize EU kwa kuunguza silaha wanazopeleka Ukraine . Si ulisikia EU wakilalamika kuwa stock Yao ya silaha inapungua na kasi ya kurudishwa silaha hizo ni Karibu na sifuri?
Leta hoja nyingine hapa ifanyiwe kazi.