Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Swali simple tu nimekuuliza unaleta maelezo mareefu. Nimekuuliza verification ipi inayoonesha kuwa USA alikuwa anatetea raia wema!? Hao ni raia wema kwa Mungu au raia wema kwa Marekani!?
 
Nenda jkt kama unataka kujifunza uzi mliharibu wenyewe kuleta mihemuko kumsifia Putin na kumbe ni ujinga
Hawa wapuuzi walitaka kuona Uzi ukiendelea kujazwa na article zao za kubumba zinazomsifia fashisti wao,

Wanaumia sana kuona hili halijafanikiwa wanasahau kwamba jamiiforum ni jukwaa huru la watu wote

Washenzi kweli Hawa[emoji848]
 
mpaka hapo umeshaonesha tayari kua uko upande Gani.

Kuogopa madhara ya vita au nyukilia ndio kuogopa kwenyewe huko.
 
Kazi yake hiyo
 
Yaani hawa Ukraine isijekuwa hata Zelensky ni agent wa Urusi...usikute anachokifanya hapo anaelewa kabisa....kuigawa Ukraine vipande...Wewe mtu gani hataki kukaa chini na kuzungumza??anakomaa kama hana akili vile
 
Head of the Office of the President of Ukraine, Andrei Yermak says that 5 commanders of the Armed Forces of Ukraine captured at Azovstal were exchanged for 55 Russian POWs
aisee hii vita iishe jamani Hivi Hawa commander's ni kama wale wa sherehe za uhuru, kumuua komando ni wastage hivi zile stori za vijiweni kwamba komando wa nchi Fulani akikutana na komando mpinzani vitani hawauani ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…