Umeshuhudia Imetumika mara ngapi tangu umezaliwa?Nuclear ni silaha sio pambo hivyo lazima itumike
Umerogwa hizo nukes anazo yeye Tu ?
Akipiga nyukria, urusi yote inageuka majivu ndani ya dakika kidogo tu.., kumbuka kila nchi ya NATO imeelekeza mitambo yake ya nyukria urusi,.., hivyo akijichanganya tu atagombaniwa kama mpira wa KonaHata apige ukraine yote kwa NUCLEAR hakuna wa kusogeza pua yake kwenye vita ya NUCLEAR.wewe unaona ni nani atakayeingilia kwenye vita ya nuclear?
Mara ya mwisho imetumika sababu ilikuwa nn?Shida sio kuwa nazo shida upo tayari kufa kwa ajili ya taifa la UKRAINE?.
Mfano mzuri wewe upo tayari kufa kwa ajili ya UKRAINE?
Unategemea USA atangaze vita ya Nuclear na URUSI kwa sababu ya UKRAINE?.
USITEGEMEE ICHO KITU
USA akitangaza vita ya nyukria hapo automatically mataifa yote yenye nyukria ya NATO ikiwemo France na england zitahusika..,Shida sio kuwa nazo shida upo tayari kufa kwa ajili ya taifa la UKRAINE?.
Mfano mzuri wewe upo tayari kufa kwa ajili ya UKRAINE?
Unategemea USA atangaze vita ya Nuclear na URUSI kwa sababu ya UKRAINE?.
USITEGEMEE ICHO KITU
Wako busy na referendum huku Ukraine akizidi kuwatembezea kichapo [emoji2]#Ukraine: Further Russian losses in the vicinity of Bilohorivka, #Luhansk Oblast; a BMP-2 IFV captured, plus T-72B tank, BMP-1 IFV and BTR-82A APC all destroyed. Two tanks and an MT-LB can also be seen, but it is unclear of date/what side operated them.
Wazee wa referendum mkujeni hukuuu [emoji2]Ila shabaha ya hizi HIMARS ni balaa na Nusu
#Ukraine: Previously unseen and very rare footage of the moment of impact of two M31A1 GMRLS missiles fired from the HIMARS/M270 system hitting a Russian ammunition staging point in #Kharkiv Oblast. At least one vehicle is seen to be destroyed as the munitions detonate.
USA akitangaza vita ya nyukria hapo automatically mataifa yote yenye nyukria ya NATO ikiwemo France na england zitahusika..,
Hapo urusi atagombaniwa kama mpira wa Kona na kitakachofuata ni kufutika kwenye uso wa dunia,