Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Okey: humu ndani kale kaugomvi ka wazalendo kutupiana tumatusi twa hapa na pale naona upepo umebadilika.

Kipimo cha ushindi kwa kutazama objectives kama dimilitarization si hoja tena, hoja hapa sasa ni baada ya kura iwapo maeneo mapya ya Urusi yatashambuliwa, yakishambuliwa tafsiri ni kwamba Urusi imeshambuliwa.

Yale mambo ya kwanza yamefutika tu vuup, na mm nasema tuachane nayo sababu hakuna namna, sasa kipimo cha ushindi ni iwapo kuna atakayeweza kugusa ardhi mpya ya Urusi baada ya kura.
MUDA UTASEMA.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu acheni kunichekesha.ivi dunia hii kuna mtu gani mwenye ujasiri wa kwenda kuipiga URUSI.ULAYA itangamia na MAREKANI pia itangamia.mshindi atqkayebaki labda akaishi mwezini
Wewe unaona tu ulaya kuangamia , lakini urusi Amna..,si ajaribu Sasa kutumia hizo nyukria Ili aokoe ghalama anazotumia huko Ukraine [emoji12][emoji12]
 
Unajua watu humu wanaongea kama wamekatwa vichwa.

Embu chukulia mfano, Russia akashusha Tactical Nukes kwenye baadhi ya sehemu za Ukraine.

Je, hao Nato members watarusha nukes kwa Russians? Yaani maana yake wakishafanya hivyo ni kwamba wamekubali na wao miji yao ipigwe. Vita itoke Ukraine ije kwenye miji yao...? Ni kitu kisichowezekana. Je, wana incentive gani ya kukubali hiyo miji yao ishambuliwe? Je, Ukraine Ni NATO member mpaka wakubali na wao kupigwa?

Dhumuni kubwa la hizo referendums na ku absorb hayo maeneo ni kutengeneza "shields". Kwamba haya maeneo baada ya referendums yanakuwa maeneo rasmi ya Russia. Kwa hiyo Russia anakuwa na nguvu ya ku retaliate endapo haya maeneo ya Russia yatashambuliwa.

Na ndio maana unaona eneo Kama Crimea, wamekuwa wanafanya yale mashambulizi ya sabotage au terrorism, lakini sio "boots on grounds"... Maana ukifanya boots on grounds ndio unakuwa umeshaingia kwenye ardhi ya Russia.

Hii partial mobilisation ni kutengeneza contingent force kwa ajili ya vita Kama hao Ukraine watashambulia hizo ardhi mpya za Russia. Na hapo Russia watakuwa na legitimate reason ya ku retaliate harshly.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu acheni kunichekesha.ivi dunia hii kuna mtu gani mwenye ujasiri wa kwenda kuipiga URUSI.ULAYA itangamia na MAREKANI pia itangamia.mshindi atqkayebaki labda akaishi mwezini
Hivi ushawahi sikia Marekani anatishia Nuclear?! Nakumbuka Trump alitishia kuifuta NK kwenye hotuba yake ya UN alishambuliwa nchi nzima ikiwemo wanachama wenzake wa Republican. Marekani haina haja ya kusema Sana kuhusu uwezo wake wa nyuklia sababu unajulikana,tuje sasa kwa Urusi kila siku anatishia Nuclear,je haamini uwezo wa silaha zake?!

Alikua akisifu uwezo wa silaha zake lakini zimeprove failure vitani sio Ndege wala helicopters, nakumbuka wakati wa operation Desert storm Apache helicopters zilikua zinafanya SEAD operation,njoo sasa kwa Urusi Ka-52 helicopters kila siku zinapopolewa kama kumbikumbi. Njoo kwenye ndege sasa,si Su-35 au ndege yoyote ya Urusi inayothubutu kuingia anga la Ukraine,maana ikinusa tu inashushwa. Vifaru vyake alivyokua anavisifia hakuna ambacho kinapona dhidi ya ATGMs. Air defenses zake zimeprove failure kudaka vikombora kama vya Himars,kila siku ammunition depots zake zinalipuliwa,madaraja yanalipuliwa mpaka anakimbilia kutumia pontoon bridge sababu SAMs hazifanyi kazi ipasavyo kuzuia Makombora ya adui.
Urusi imechomoa mpaka S-300 iliyoipeleka Syria kuileta Ukraine,imechomoa baadhi ya Air defenses ambazo zilikua zinalinda miji kama St Petersburg na kuzipeleka Ukraine,je hii INA maana zile za mwanzo zimelipuliwa na HARMS za Ukraine?!

Halafu Putin anatuambia eti silaha zake zimewapita mbali West Kwa Miongo kadhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. INASIKITISHA NA KUFURAHISHA.

*" This is not a bluff" in Putin's voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha....umesema kweli Mkuu TUUPE MUDA NAFASI
 
Hakuna upepo uliobadilika na wala hakuna mambo yaliyofutika. Upepo ni uleule na mambo ni yaleyale

Hiko kipimo chako unachotaka kukiweka cha ushindi hakikidhi
 
Russia atumie basi hizo nyukria Ili kuokoa ghalama na muda, anasubiri nini?

Ghalama zote alizoingia anapigana na Ukraine tu?

Jamaa anajua fika akijichanganya wanamkaanga mazima[emoji2]
 
Teh teh.. Subiri Putin atoe Kauli nyingine watajazana kwenye huu uzi utasikia;- leo Putin kaongea kwa hasira sana na waziri wa ulinzi kasema tutaichukua Alaska. 😂
 
Putin mwenyewe kasema mobilization ni kwa ajili ya kulinda territory ya urusi. Au itakayaokuwa territory ya urusi baada ya referendum.

"When the territorial integrity of our country is threatened, we, of course, will use all the means at our disposal to protect Russia and our people."

Kura inapigwa si muda mrefu, tuone
 
Acha waendelee na kampeni wakati Vidume wanashusha makolokocho yao
 
Hakuna upepo uliobadilika na wala hakuna mambo yaliyofutika. Upepo ni uleule na mambo ni yaleyale

Hiko kipimo chako unachotaka kukiweka cha ushindi hakikidhi
Kwa triga, ila kwa Tsh anayetumia akili ya kawaida kabisa na asiye na uelewa wa mambo ya kivita, maeneo aliyochukua kimabavu ni sehemu ya kipimo cha mshindi.

Ukiwa msomaji zaidi kuna mambo mengi unayaona, na ninachokiona hapa ni kwamba Urusi ina nia ya kumaliza hii vita kwa mtindo wa kuyakalia maeneo aliyoyateka na kusema si sehemu ya Ukraine.

Kwamba Hii ilikuwa ni objective tangu mwanzo au kabadili gia hilo siwezi thibitisha, ninachosubiri kuona ni je ardhi aliyoiba Urusi itashambuliwa na Ukraine? Kama ndio atafanyaje? MUDA UTASEMA.
 
View attachment 2364596
"How to survive in the UK during a nuclear war - a map of the country's safest places": After Vladimir Putin's televised address, the British panicked and began to seek shelter

Hawa UK jinsi geographical location yao ilivokaa hawana haja ya kombora ni tsunami tu inatumwa kwisha habari
 
Jazba inazidi kupanda haya ni matangazo tu ya referendum na mobilization . Tukipiga kadogo tu ka technical itakuwaje . Tunaanza ndogondogo techn
Nuke hapo Kyve .
Jazba ya nini wakati ukraine anazidi kusoma mbele
Na Leo sijamuona manning na Ile article yake ya Kila siku kutoka Russian ministry of defense, sijui nini kimemsibu[emoji1787][emoji1787]
 
Hawa UK jinsi geographical location yao ilivokaa hawana haja ya kombora ni tsunami tu inatumwa kwisha habari
Wakati wanashambuliwa wao watakuwa wametulia tulii huku wakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
UK kamhujumu sana urusi huko Ukraine,Cha ajabu urusi anaishia kubweka tu,
 

Huyu mama ajifunze kwa BJ bora atumie muda vzr kumpa bwana ake utamu vita na Russia haiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…