RUSSIA dude kuuuuuuubwa sanaThe European Union is not ready to unilaterally try to impose a price ceiling on Russian oil, it intends to continue negotiations on this within the framework of the G7 - representative of the European Commission
@Pietro suala la Mir card nchini TURKEY linaenda kufungwa kesho[emoji1250] Erdogan said that on Friday he will make a decision on the use of "Mir" cards in Turkey
Kaka US treasury hawadili na Erdogan,wanadili Banks zinazoprocess hayo malipo ya hizo card. Erdogan anaweza ruhusu lkn Banks zikipigwa mkwara au sanction na US watakua hawana jinsi.@Pietro suala la Mir card nchini TURKEY linaenda kufungwa kesho
Tuuombe uhai na uzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ninaamini kabisa Urusi ingeweza kuandaa referendum huko Lviv kama jeshi lao lingetawala Lviv, na bila shjaka wangepate 93% "Ndiyo".Wewe mtu unaubishi wa kijinga sana....huo mgogoro wa hayo maeneo huwezi kuuelewa mpaka urudie historia ya nyuma...(Wewe unafikiri kwa nini wananchi wa hayo maeneo wanakubaliana na wavamizi yaani Urusi...?Hivi unafikiri Urusi ingeweza kuandaa referendum Kiev au Lviv au mikoa mingine ya magharibi??Unajua ni kwa nini tangu mwaka 2014 Kiev inapigana na hao watu wa mashariki, Unajua hata Minsk Agreement kwa nini ilikuwepo???
Pili achana na habari sijui za kukosa viatu, sijui nguo etc....
Aamini nini? Huyu si mjinga. Amejifunza jeshi lake ni taka bila nyuklia.Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Nimeshasikia mara kadhaa wanawake wakisema, tabia ya "udume" ni ujinga fulani wa kutoelewa mipaka yako. Sawa, Putin Dume Mkuu!.Aisee tuseme ukweli urusi ndyo dume anaweza pigama na nchi kubwa zaidi ya 30wakati vikwazo kibao amewekewa na bado anamudu
Kua serious MKUUKaka US treasury hawadili na Erdogan,wanadili Banks zinazoprocess hayo malipo ya hizo card. Erdogan anaweza ruhusu lkn Banks zikipigwa mkwara au sanction na US watakua hawana jinsi.
Narudia tena TUUPE MUDA NAFASI.
Wewe unaona tu ulaya kuangamia , lakini urusi Amna..,si ajaribu Sasa kutumia hizo nyukria Ili aokoe ghalama anazotumia huko Ukraine [emoji12][emoji12]
Nikupe pole MKUU [emoji23][emoji16][emoji23]Nimechukua muda mrefu nikitafakari ni kwa nini nikujibu comment yako.
1. Unachanganya sana Mambo, unaongelea Kura Bandia unaongelea Armenia , unaongelea China , unaongelea Armenia, nani amekuuliza kuhusu Armenians, . Unaongelea Crimea, Nani amekuuliza kuhusu Crimea
2. Sio, kila kitu unajibu jibu tu.
Haha Kaka km Marekani alizipiga ban bank za EU Licha ya wao kutaka kufanya biashara na Iran kipindi kile mpaka wakatengeneza kitu wanaita INSTEX ili wakwepe vikwazo vya USA na ikashindikana itakua Turkey?! Turkey ana Uchumi mkubwa kuzidi EU?!Kua serious MKUU
Unadhani vikwazo vya US kwa bank za TURKEY na kauli ya ERDO ambae ndio rais wa TURKEY
Ipi inaweza kuamua kutumika ama kutokutumika kwa Mir card
Tuupe muda nafas ila kama erdo atakubali Mir itumike nakuhakikishia itatumika na US hatakua nalakufanya zaidi ya vikwazo ambayo havitakua vyaawali wala vya 100 kwa TURKEY
Sera ya vikwazo ya US na west kupitia hii SVO imeenda kupoteza maana na inazidi kupoteza
Naam muda hua haudanganyi
Sent using Jamii Forums mobile app