mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Hivi ushawahi sikia Marekani anatishia Nuclear?! Nakumbuka Trump alitishia kuifuta NK kwenye hotuba yake ya UN alishambuliwa nchi nzima ikiwemo wanachama wenzake wa Republican. Marekani haina haja ya kusema Sana kuhusu uwezo wake wa nyuklia sababu unajulikana,tuje sasa kwa Urusi kila siku anatishia Nuclear,je haamini uwezo wa silaha zake?!
Alikua akisifu uwezo wa silaha zake lakini zimeprove failure vitani sio Ndege wala helicopters, nakumbuka wakati wa operation Desert storm Apache helicopters zilikua zinafanya SEAD operation,njoo sasa kwa Urusi Ka-52 helicopters kila siku zinapopolewa kama kumbikumbi. Njoo kwenye ndege sasa,si Su-35 au ndege yoyote ya Urusi inayothubutu kuingia anga la Ukraine,maana ikinusa tu inashushwa. Vifaru vyake alivyokua anavisifia hakuna ambacho kinapona dhidi ya ATGMs. Air defenses zake zimeprove failure kudaka vikombora kama vya Himars,kila siku ammunition depots zake zinalipuliwa,madaraja yanalipuliwa mpaka anakimbilia kutumia pontoon bridge sababu SAMs hazifanyi kazi ipasavyo kuzuia Makombora ya adui.
Urusi imechomoa mpaka S-300 iliyoipeleka Syria kuileta Ukraine,imechomoa baadhi ya Air defenses ambazo zilikua zinalinda miji kama St Petersburg na kuzipeleka Ukraine,je hii INA maana zile za mwanzo zimelipuliwa na HARMS za Ukraine?!
Halafu Putin anatuambia eti silaha zake zimewapita mbali West Kwa Miongo kadhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. INASIKITISHA NA KUFURAHISHA.
*" This is not a bluff" in Putin's voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iran says EU-initiated payment system not working due to U.S. sanctionsKua serious MKUU
Unadhani vikwazo vya US kwa bank za TURKEY na kauli ya ERDO ambae ndio rais wa TURKEY
Ipi inaweza kuamua kutumika ama kutokutumika kwa Mir card
Tuupe muda nafas ila kama erdo atakubali Mir itumike nakuhakikishia itatumika na US hatakua nalakufanya zaidi ya vikwazo ambayo havitakua vyaawali wala vya 100 kwa TURKEY
Sera ya vikwazo ya US na west kupitia hii SVO imeenda kupoteza maana na inazidi kupoteza
Naam muda hua haudanganyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako hua moja eidha mahaba ama kusudi ama kupotosha ama hua hujapata taatifaUkraine inazidi kupata bargaining power kadri inavyorudisha maeneo yake na inavyochukua POWs wengi.
Ilianza maadui wakiwa Kyiv, leo maadui wanategemea referendums ndio watishie kwa nukes. Lazima bargaining power kubwa iwe kwa Ukraine. Mpaka sasa malengo yamehama kutoka kumuondoa Zelensky na kufanya denazification kuwakamata Nazis, wamebaki kufanya annexation ya maeneo jirani yao ambayo hata hivyo yalikuwa karibu na Donetsk na Luhansk zilizokuwa chini yao tangu 2014. Net gain yao sio kubwa.
How comes wanafanya denazification, then Azov battalion ambazo ndio wanashutumiwa ndio Nazis halisi wameachiwa. Malengo ya denazification yameyeyuka, walikuja wakijua wanapambana na wazembe kumbe sivyo
Unafikiri referendum ikipita Kuna mtu yeyote atasogeza pua kwenye hayo maeneo. Labda awe hajipendi maana hiyo Ni sababu tosha ya urusi kujibu kwa nguvu zake zote, hata iwe nuclear sababu yeye tayari Ni father of nuclear weapons, na Putin kadhamilia sababu hakuna haja yakuyahifadhi hayo mabomu wakati taifa lipo kwenye tishio kubwa la kuangamizwa.[emoji635][emoji1255][emoji298]Vladimir Putin is more dangerous than ever - New York Times
The Kremlin has signaled that if it seizes the territory, Ukrainian counter-offensives in the east and south to seize the territory liberated by Russia will be seen as attacks on Russian territory that justify any level of retaliation, up to and including a nuclear response.
Putin's speech on the use of nuclear weapons has exacerbated a dilemma for the West that has existed since the beginning of the war: how far intensive military support for Ukraine can go.
Hem hizi kura zipigwe upesi ili tuone kipi kitatokea Baada ya kujiunga na RUSSIA kwahizo nchi huru za LPR na DPR
Sent using Jamii Forums mobile app
USSR alikimbia Afghanistan,unadhani kupigana na magaidi wanajificha mapangoni ni sawa na kupigana na nchi ambayo unajua kambi zake ziko wapi,silaha, ammunition depots,nk?!Wenye silaha nzuri wapo wapi mbona siwaoni sasa.kule afghanistan kuna mtu alitumia kila aina ya silaha kasoro ru nuclear,ila mwisho wa siku kakimbia. Kule IRAQ base yake ilipigwa na balistic kutoka IRAN na mwisho wa siku wakaishia tu kuita wandishi wa habari.
Hakuna silaha bora inayotengenezwa na mwanadamu.silaha zote zina mapungufu.
Acha hasira,kura ikishapigwa na ikaonyesha ya kwamba watu wapo tayari kuwa sehemu ya urusi,basi jua fika sio lazima Hadi Dunia nzima ikubali.mfano mzuri ni hapo Zanzibar hakuna Mzanzibar anayetaka Muungano na Tanganyika lakini inatambuka Zanzibar ipo ndani ya Jamhuri-Dunia inajiendesha namna hiyo sio kwa ambavyo unataka wewe.Sidhani kama kuna jambo kama wangejitenga na kkujiunga ....
Ni tofauti kidogo wakitengwa na kuunganishwa tena kwa njia ya kura bandia.....
Kama Krimea - nani anatambua Krimea kuwa sehemu ya Urusi?? Labda Belarus, Korea Kaskazini..? Ila China, Uhindi, Kazakhstan, Uturuki na wengine hawakubali.
(Armenia labda anakubali maana inatehemea jeshi ka Urusi kwa usalama wake dhidi Azerbaijan..)
Kwakweli sijafikia kikomo chakufikiria ila sijajua hata niwaze nnUnafikiri referendum ikipita Kuna mtu yeyote atasogeza pua kwenye hayo maeneo. Labda awe hajipendi maana hiyo Ni sababu tosha ya urusi kujibu kwa nguvu zake zote, hata iwe nuclear sababu yeye tayari Ni father of nuclear weapons, na Putin kadhamilia sababu hakuna haja yakuyahifadhi hayo mabomu wakati taifa lipo kwenye tishio kubwa la kuangamizwa.
Wenye silaha nzuri huwaoni?! Hujui kama ni Warusi au humsikii Putin kila siku kwenye Television akisifu silaha zake kwamba zipo mbele ya West kwa Miongo kadhaa lakini cha ujabu huo umbele wake hatuuoni pale Ukraine [emoji38][emoji23][emoji23]Wenye silaha nzuri wapo wapi mbona siwaoni sasa.kule afghanistan kuna mtu alitumia kila aina ya silaha kasoro ru nuclear,ila mwisho wa siku kakimbia. Kule IRAQ base yake ilipigwa na balistic kutoka IRAN na mwisho wa siku wakaishia tu kuita wandishi wa habari.
Hakuna silaha bora inayotengenezwa na mwanadamu.silaha zote zina mapungufu.
Hongera kwa kutafakari muda mrefu! Labda uongeze muda kidogo mpaka utakapoelewaNimechukua muda mrefu nikitafakari ni kwa nini nikujibu comment yako.
1. Unachanganya sana Mambo, unaongelea Kura Bandia unaongelea Armenia , unaongelea China , unaongelea Armenia, nani amekuuliza kuhusu Armenians, . Unaongelea Crimea, Nani amekuuliza kuhusu Crimea
2. Sio, kila kitu unajibu jibu tu.
Kwasababu Nyuk nisilaha kama silaha nyengine MKUUHivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Source?!View attachment 2365100
[emoji298][emoji298][emoji298]Ukrainian tugboat in Ochakiv burning after being hit by an Iranian drone[emoji298][emoji298][emoji298]
Unaiamini?? Sawasawa.⚡⚡⚡During the first day of partial mobilization, more than 10,000 reserve soldiers arrived independently at military registration and enlistment offices, the Russian Armed Forces General Staff said⚡⚡⚡
Demilitarization haijafutika MKUUOkey: humu ndani kale kaugomvi ka wazalendo kutupiana tumatusi twa hapa na pale naona upepo umebadilika.
Kipimo cha ushindi kwa kutazama objectives kama dimilitarization si hoja tena, hoja hapa sasa ni baada ya kura iwapo maeneo mapya ya Urusi yatashambuliwa, yakishambuliwa tafsiri ni kwamba Urusi imeshambuliwa.
Yale mambo ya kwanza yamefutika tu vuup, na mm nasema tuachane nayo sababu hakuna namna, sasa kipimo cha ushindi ni iwapo kuna atakayeweza kugusa ardhi mpya ya Urusi baada ya kura.
MUDA UTASEMA.
Kwani nuclear nayo si ni mmoja ya Silas au unataka atishie gobole?Hivi why putin huwa anatishia nuclear? Haamin conventional power yake?
Hahahaha Mkuu unambishia mpaka Putin?! Au hukusikiliza hotuba yake ya juzi?! Sijasikia tena Demilitarisation of Ukraine au ww ulisikia[emoji23]