Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio 200 mkuu Ni watu 10 ambao wengi wao Ni kutoka Tunisia, England nk.
 
Your browser is not able to display this video.


🗳The referendums on joining Russia kick off in the DPR, LPR, and the Kherson and Zaporozhye regions on Friday.

The five-day vote will come to an end on 27 September. For security reasons, for the first four days, election commission officials will go from door-to-door to collect the votes. On the final day, people will have a chance to vote at polling stations.

❓In the Zaporozhye and Kherson regions voters are being asked: "Are you in favor of [the region’s] secession from Ukraine, the formation of an independent state by the region and its joining the Russian Federation as a subject?" And in the DPR and LPR, the question is: "Do you want to join Russia as a subject of the federation?"
 
Habari njema hii kama mpaka huyu kashazitambua hizo jamhuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787]
Dawa ili itibu lazima iume. Wanaosoma wanajua nani shujaa wa mihemko na kuamisha magoli

Silaha zilitumwa kbl hata warusi hawajaingia Ukraine. Ila haikusaidia kitu watu wamepita na maeneo wamechukua.

Alaf hivyo vinavyotumwa sio silaha ni vijisilaha. Kama kweli wanataka kukwamisha uvamizi watume silaha kweli. Za kisasa na kubwa kubwa. Iwe tit for tat. Au wanamuogopa jasusi? [emoji1787]
 
Baada ya lile limsafara la km 64 kule Kyiv kushindwa kumchoma Zelenskyy mmerudi kubweka kwenye propaganda zenu za wakoswa akili.Chukua hii hapa ya mwezi February
View attachment 2365275
Sawa wewe mtu mwenye akili....naona umeweka na kapicha hapo...but wenye akili hawatumii nguvu nyingi na matusi juu....

Tufanye Ukraine kashinda basi....kapiga mpaka Moscow...na Putin kashindwa vita....tena wewe mwenyewe mtu mwenye akili dunia nzima umemsindikiza Zelensky kumuondoa Putin Kremlin....
Hapo vipi mwenye akili nyingi...tuongeze sifa gani???
 
Yes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kunyoosha maelezo,kumbe ni vijisilaha.

Vijisilaha vimewakimbiza vijana wa Putin mkuku Mkuu mpaka kuacha zana zao za kivita, Dadekiiiii!!! Comedian Vs Jajusi hlf Jasusi kakaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"This is not a bluff"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ni key board worriors, wanapigana vita ya comments.Wanakuwa frontline wanashinda vita ya hapa JF.Njoo sasa kwenye uhalisia,warusi wenyewe wapo hoi huko Ukraine wanakimbia kuokoa maisha yao.Wazoee tu hawa Warusi wa JF
Wewe ambaye sio key board warrior si uko mstari wa mbele hapo kharkiv kwenye counter offensive, [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyani haoni...
 
UKRAINE ilimegwa karne hii hii mwaka 2014 na inaendelea kumegwa karne hii hii mwaka 2022
Ugumu kwenu ila kwa RUSSIA jambo jepesi sana kama akiamua nandio maana anafanya mbele ya UN NATO EU na mbele ya vikwazo vyao uchwara
RUSSIA dude kuuubwa sana MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ambaye sio key board warrior si uko mstari wa mbele hapo kharkiv kwenye counter offensive, [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyani haoni...
Hahaha.....yaani huyo sijui Nyamizi...nasikia ni msaidizi wa Zelensky..yaani ndo yupo msitari wa mbele pale akipeleka taarifa kwa Zelensky...na kaishaua makomamdoo 700 wa Urusi...nasikia hata ule msafara wa Urusi uliokua ukielekea KIEV yeye ndo alipanga mikakati
 
Haya maneno ya kujifariji yalianza tokea feb24 na hayataishia leo
Mtasema mengi sana MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…