mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Tuletee basi drone za Irani hapa wakati zinatunguliwa kama kumbikumbi huko frontline
Yote kwa yote hatuna budi kusema jeshi la urusi lina Hali mbaya,na hili linaadhihirishwa na uandikishwaji wa lazima kwa raia kujiunga jeshini, bila ridhaa Yao,Sijasema sio kweli bali media za west zinakuza baadhi ya vitu, hivyo inabidi taarifa nyingine uchanganye na akili zako, asa anakwambia jeshi la Urusi limegawanyika kuwa kuna mgomo…..wakati kwa sheria za ujamaa ambazo pia TZ inazitumia, mwanajeshi ukileta mgomo wa kumpinga amiri jeshi mkuu ni unakula shaba papo kwa papo.
Na kwa majeshi ni ngumu sana kutokea kugomea kauli ya Raisi, ni almost impossible unless mkuu wa majeshi ahasi na kutengeneza rebels.
Hizo blah blah tu, lakini ukweli unabaki palepale kwamba USA ndo kilanja mwangalizi wa dunia.., mengine utajua mwenyewe,Kiranja aliyepigwa na Vietnam? Aliyeshindwa somalia? Aliyeshindwa syria? Wewe Us kamwe hawez kupigana vita ya moja kwa moja... anayajua aliyoyapata Vietnam miaka ya 1950s
Nikileta post yangu cheki popote,you will prove that it is correct.Taarifa zangu zinatoka kwenye chungu Vunjo,tena hot.Na-subscribe kwenye "covert intel" sources.Wewe ndio mzee wa habari za telegram groups unaleta bila source ndio unaziita independent news[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yote kwa yote hatuna budi kusema jeshi la urusi lina Hali mbaya,na hili linaadhihirishwa na uandikishwaji wa lazima kwa raia kujiunga jeshini, bila ridhaa Yao,
US hana roho ya unyma siku zote katika vita anazopigana yuko very calculative, utosikia amepiga mahali na kuua raia waio na hatia, yeye anawataka wanajeshi, kama ni vita vya moja kwa moja angekuwa anamaliza mchezo mapema tu.Kiranja aliyepigwa na Vietnam? Aliyeshindwa somalia? Aliyeshindwa syria? Wewe Us kamwe hawez kupigana vita ya moja kwa moja... anayajua aliyoyapata Vietnam miaka ya 1950s
Malengo ya urusi yalikuwa ni kuuangusha utawala wa mjini Kyiv ndani ya saa 72..yaani urusi alifikiri ataiteka Ukraine kwa saa 72, akatumia askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo, matokeo yake tunaelekea mwezi wa 8 Sasa..,bado ameshindwa kutimiza lengo Hilo.., mbaya zaidi jeshi la Ukraine linazidi ku-advance tuMkuu unatumia ushabiki au?, unawezaje kusema jeshi la urusi lina hali mbaya wakati miji ya ukrain imeharibiwa na iko hatarini kupoteza 15% ya ukanda wake wa kiuchumi, Je unafahamu kuwa hyo miji ikiondoka basi italazimika maeneo yaliobaki yategemee chakula kutoka kwnye hiyo miji iliyojiunga na Urusi maana ndo miji ya mashamba makubwa ya taifa na viwanda vikubwa vipo uko.
Na unasema Urusi hali mbaya wakati kwasasa hivi Ukrain imebakiza Odessa, macho yote ya Ukrain yapo uko maana wakifanya masihara wanakuwa rasmi landlocked country kama Rwanda.
Super pawer wa mchongo Yuko busy na referendum huku vijana wakimtembezea kichapo tu na kusonga mbele [emoji91]Wanajeshi wa Ukraine ndio wanajua kutumia drones tazama video mjeda anafagia handaki kilichomkuta atasimulia ahera[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malengo ya urusi yalikuwa ni kuuangusha utawala wa mjini Kyiv ndani ya saa 72..yaani urusi alifikiri ataiteka Ukraine kwa saa 72, akatumia askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo, matokeo yake tunaelekea mwezi wa 8 Sasa..,bado ameshindwa kutimiza lengo Hilo.., mbaya zaidi jeshi la Ukraine linazidi ku-advance tu
Hii ni fedheha kubwa sana kwa jeshi la dikiteta Putin [emoji848]
☑️☑️☑️☑️☑️☑️👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍Unamshawishi nani wakati sote ni mashahidi tu . Hoja ya Russia anapigana na nani ipo wazi ndio maana hatuijadili. Inajulikana kama ni Ukraine ama NATO. NAFIKIRI TUNAKOSA ELIMU YA ULINZI.
Ukiwa na elimu ya Ulinzi utaelewa maana ya vita na wapiganaji na wapiganishaji. Utaelewa allies , Utaelewa political moral economic and military supporters na utaweza kutofautisha direct na indirect engagement.
Hapa naona wengi tunatumia nguvu kuelezea uhusika wa baadhi ya mataifa katika huu mgogoro .Kama mataifa yanatoa silaha mpaka yanaathiri stock zao. Kama mataifa yanatoa political na military commands . Kama media zao ndio ziko busy kwa propaganda, Kama mataifa yanatoa trainings , kama mataifa yanatoa intelligence yao na makomando wao , Kama mataifa yanaweka sanctions , Kma mataifa yanasogeza vikosi vya na kutoa kauli mabalimbali za kuingilia ugomvi ni mwehu pekee atasema hawapigani hiyo vita. World war ilipopiganwa hata watanzania walipigana
Urusi awavimbie,na sisi tuwavimbie duh!si mnasema ni Nchi zenye demokrasia hizo kwa Nini m wavimbie?Kabisa tuvimbe tu na sisi, hawa mabeberi ukiwachekea sana utakwama mambo mengi
Jeshi limegawanyika huku Putin akitoa maelekezo directly kutoka Kremlin [emoji116]
Ukiacha hao 10, wapo wapiganaji wapatao 200 ambao walikuwa ndani ya kile kiwanda cha vyuma.Sio 200 mkuu Ni watu 10 ambao wengi wao Ni kutoka Tunisia, England nk.
Japan Vipi?US hana roho ya unyma siku zote katika vita anazopigana yuko very calculative, utosikia amepiga mahali na kuua raia waio na hatia, yeye anawataka wanajeshi, kama ni vita vya moja kwa moja angekuwa anamaliza mchezo mapema tu.
Ona huyu..Japana alichokifanya hakuna taifa lilishawahi fanya..ule ulikua ukatiri wa hali juu..nchi yenyewe kisiwa ile unapiga nyuklia mbili heavy...US hana roho ya unyma siku zote katika vita anazopigana yuko very calculative, utosikia amepiga mahali na kuua raia waio na hatia, yeye anawataka wanajeshi, kama ni vita vya moja kwa moja angekuwa anamaliza mchezo mapema tu.
Hicho chungu chako kina habari zinaegemea Russia tu hakina habari ya kusifia Ukraine wanavyorudisha miji na ndio unaita independent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikileta post yangu cheki popote,you will prove that it is correct.Taarifa zangu zinatoka kwenye chungu Vunjo,tena hot.Na-subscribe kwenye "covert intel" sources.
Iran sio watu wazur, walimuuzia Putin makopo wakimdanganya kwamba hizo ni dronesWakuu mambo vipi, warusi wa buza bado tu? Qmamake hizo Drone za Iran ni nyoko [emoji3525].
Dunia yetu ina mengi ya ziada ambayo tumejitia upofu kuyajua. Kibaya zaidi kila anayefungua kinywa chake kujaribu kuwaweka wengine bayana huwa anapuuzwa na kupewa majina ya ajabu.