Jamani mjifunze kusoma historia.
Hivi hii kura wanayopiga ina utofauti gani na uchaguzi wa mwaka 2020 wa wabunge nchini Tanzania.
Nadhani wote mwaifahamu Tanzania, na nini kilimtokea bwana yule...
Pili mkae kujua kwamba Marekani sio kwamba anataka kukaa pale juu, Amewekwa na na atashuka endapo tuu aliyemweka ataona inafaa.
Dunia yetu ina mengi ya ziada ambayo tumejitia upofu kuyajua. Kibaya zaidi kila anayefungua kinywa chake kujaribu kuwaweka wengine bayana huwa anapuuzwa na kupewa majina ya ajabu.
The less you know, the safer you are!
Tutafika tumechoka sana Jomba!
vilio na mayowe zaskika-winter is coming
The Estonian Prime Minister warned that Russia could be preparing to disconnect the three Baltic countries from its electricity grid, which could lead to blackouts
Nilitegemea na nategemea hilo zoezi liwe gumu sababu ya msimamizi kuwa adui. Wanajeshi kupigwa mawe, visu na mambo kama hayo, imenishangaza.
Incomplete story.vilio na mayowe zaskika-winter is coming
The Estonian Prime Minister warned that Russia could be preparing to disconnect the three Baltic countries from its electricity grid, which could lead to blackouts
Alafu mtu mwenye akili hawezi kuwa upande wa NATO au ukraine.kuna msemo kama mnasikilizaga Kwa Warusi wanasema Wanahitaji multipolar world ni kwamba urusi anataka Dunia isiwe na nchi yenye nguvu moja yaani hawataki mambo ya New world order kwamba kuwe na serikali moja,dini moja yaani dunia itawaliwe na MTU moja.yaani Warusi wanapingana na waanzilishi wa huu mfumo wa New world order ambao wanatumia marekani na NATO Kuleta huu mfumo wa kishetani.sasa hawa NATO wanataka kuizunguka urusi Kwa sababu ni kikwazo katika Jambo lao.kwa hiyo MTU anayeiunga mkono NATO au Ukraine SASA hivi ni mtu anayeiunga mkono NEW WORLD ORDER ambao unataka kuangamiza mfumo wa Sasa hivi wanataka kuua ukristo na uislamu ili kuleta dini moja Chini ya shetani duniani pia wanataka kuleta serikali moja ili mtawaliwe kiurahisi na muwatumikie amkeni nyie mnaoshabikia NATO.this is new world order game.
Russia's patience is unmatched 😊 ni wavumilivu na wastaarab mno, tena mno. Wanafaham yote ni mihemko ya wanasiasa wao, so wala hawana haja ya kuwa-adhibu raia wa kawaida kwa makosa ya viongozi wao.Kwani haya majitu yanapata umeme kutoka Urusi? Mbona sasa Mwamba Putin amewapendelea hivyo wakati wanajifanya majeuri eti wanaiwekea Urusi vikwazo!
Boss, Kwa akili ya kawaida kunatakiwa kuwe na upinzani mkubwa kutoka kwa raia kwa kiwango cha zoezi kutowezekana.
maybe yes maybe no. let me dig deep i stand to be correctedIncomplete story.
Estonia is self dependent on electricity, the cut off would affect the electricity balancing mechanisms which will take a couple of hours to resolve.
Another False narrative.Russia's Foreign Ministry says Western delegations' requests to meet with Russian Foreign Minister Lavrov have GONE off the radar, apparently being ORDERED to keep quiet from Washington.
Please check.maybe yes maybe no. let me dig deep i stand to be corrected